WASANII MJIANDIKISHE KUSHIRIKI TAMASHA LA MTANZANIA ,KOLON,UJERUMANI
Tamasha litafanyika mjini Koloni,Ujerumani April 2015
Wasanii wanaotaka kushiriki katika katamasha la kongamano la wasanii wa Tanzania na afrika mashariki linalotarajiwa kufanyika mjini Kolon,Ujermani siku ya 8 November 2014 mnaombwa mjiandikishe kwa kuwasiliana katika namba ya simu +49(0)15778645623 .Tamasha hili linania ya kutangaza sanaa za maonyesho za Tanzania nchini ujerumani,wasanii wa ngoma za asili,Sarakasi,Maigizo, Muziki n.k mnakaribishwa kujiandikisha kushiriki Tamasha hili...
Vijimambo
Habari Zinazoendana
9 years ago
MichuziWASANII 74 WAOMBA KUSHIRIKI TAMASHA LA AMANI
Na Mwandishi WetuKAMATI ya Maandalizi ya Tamasha la Amani, imesema inapata wakati mgumu kuhusiana na idadi ya waimbaji ambao wanaomba kushiriki tamasha hilo litakalofanyika Oktoba 4, mwaka huu. Mwenyekiti wa kamati hiyo, Alex Msama amesema wiki hii kuwa idadi ya wanaoomba washiriki tamasha hilo imekuwa kubwa kuliko kawaida, ambapo hadi juzi walikuwa waombaji wamefikia 74. “Tunapata maombi mengi, tunajitahidi kadri ya...
10 years ago
Michuzi14 Aug
10 years ago
Dewji Blog02 Mar
Nyalandu awaaga wafanyabiashara wanaoenda kushiriki maonyesho ya ITB, Berlin Ujerumani
Waziri wa Maliasili na Utalii, Mh. Lazaro Nyalandu akitoa nasaha za kuwaaga wafanyabiashara wa Tanzania wanaoenda Berlin, Ujerumani kushiriki maonyesho makubwa Duniani ya biashara maarufu kama ITB kuanzia Machi 4-8 mwaka huu.(Picha zote na modewjiblog)
Na Andrew Chale wa modewji blog
Waziri wa Maliasili na Utalii Mhe. Lazaro Nyalandu amewataka wafanyabiashara wa Tanzania wanaoenda kushiriki maonyesho makubwa Duniani ya biashara maarufu kama ITB, mjini Berlin, Ujerumani Machi 4 hadi 8,...
9 years ago
Habarileo18 Sep
Vikundi 65 kushiriki Tamasha la Sanaa
VIKUNDI 65 kutoka ndani na nje ya nchi vinatarajia kushiriki katika Tamasha la 34 la Kimataifa la Sanaa na Utamaduni la Bagamoyo kuanzia wiki ijayo wilayani Bagamoyo mkoani Pwani.
11 years ago
Tanzania Daima10 Jan
Wasanii 200 kushiriki Sauti za Busara 2014
VIKUNDI 32 kutoka ndani na nje ya nchi vimechaguliwa kufanya maonesho ya muziki kwenye tamasha la 11 la Sauti za Busara linalotarajiwa kufanyika viwanja vya kihistoria vya Ngome Kongwe visiwani...
9 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-5LlYLDXnTXQ/VkxPaMVyHpI/AAAAAAADCi0/N5UwFSZF6Fw/s72-c/_MG_0928.jpg)
Kwaya ya Wakorintho wa pili kushiriki tamasha la shukrani
![](http://4.bp.blogspot.com/-5LlYLDXnTXQ/VkxPaMVyHpI/AAAAAAADCi0/N5UwFSZF6Fw/s400/_MG_0928.jpg)
Akizungumza jijini Dar es Salaam, Mwenyekiti wa Kamati ya Maandalizi ya tamasha hilo, Alex Msama alisema uongozi wa kwaya hiyo umekubali kushiriki katika tamasha hilo baada ya uchaguzi Mkuu uliofanyika Oktoba 25 nchini kote.
“Kwaya ya Wakorintho wa pili wameanza kuthibitisha...
9 years ago
Bongo509 Nov
Wasanii watakiwa kushiriki kwenye maadhimisho ya ‘Msanii Day’ mwezi ujao
![wasanii](http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2015/11/wasanii-300x194.jpg)
Wasanii nchini wametakiwa kuwa mstari wa mbele kuhamasika na kushiriki kikamilifu kwenye maazimisho ya Siku ya Msanii maarufu kama Msanii Day ambayo yanatazamiwa kufanyika mwezi Desemba mwaka huu wa 2015 jijini Dar es Salaam na maeneo mbalimbali nchini.
Wakizungumza kwa nyakati tofauti kwenye programu maalum ya kujadili ushiriki wa wasanii kwenye siku hii muhimu kwao marais wa mashirikisho ya wasanii nchini walisema kwamba wakati umefika kwa wasanii wote nchini kuamka na kuwa mstari wa...
9 years ago
MichuziMSANII WA KENYA SARA K KUSHIRIKI TAMASHA LA KUOMBE AMANI HAPA NCHINI
10 years ago
Dewji Blog13 Apr
Tamasha la AAF laanza kupokea maombi ya filamu zitakazoanza kushiriki mwaka huu
Thank you for your interest in the Arusha African Film Festival.
The festival is open to everyone with particular focus on the theme of AAFF: “Understanding Africa through Film.”
Filmmakers with stories and images that promote the understanding of Africa through film are most welcome to submit their films for the festival.
The categories are feature films, shorts and documentaries. All genres are welcome.
Films submitted should be of good production quality and of topical content that...