Wasanii watakiwa kushiriki kwenye maadhimisho ya ‘Msanii Day’ mwezi ujao
Wasanii nchini wametakiwa kuwa mstari wa mbele kuhamasika na kushiriki kikamilifu kwenye maazimisho ya Siku ya Msanii maarufu kama Msanii Day ambayo yanatazamiwa kufanyika mwezi Desemba mwaka huu wa 2015 jijini Dar es Salaam na maeneo mbalimbali nchini.
Wakizungumza kwa nyakati tofauti kwenye programu maalum ya kujadili ushiriki wa wasanii kwenye siku hii muhimu kwao marais wa mashirikisho ya wasanii nchini walisema kwamba wakati umefika kwa wasanii wote nchini kuamka na kuwa mstari wa...
Bongo5
Habari Zinazoendana
10 years ago
Bongo512 Jan
T-Pain wa Marekani kuja Tanzania mwezi ujao, kutumbuiza na Diamond kwenye uzinduzi wa Radio mpya, Mwanza
9 years ago
Bongo527 Nov
Kala Jeremiah kuachia wimbo mpya mwezi ujao, pia aeleza sababu za kumtumia director Pablo kwenye video nyingi
![Kala](http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2015/11/Kala-300x194.jpg)
Baada ya kipindi cha kampeni kupita Kala Jeremiah pia yuko kwenye foleni ya wasanii wanaotaka kutoa kazi mpya za kufungua mwaka.
Kala ameiambia Bongo5 kuwa tayari video ya kazi mpya imekamilika na anatarajia kuitoa hivi karibuni.
“Video ya wimbo mpya na nimeshoot na PABLO ila nisingependa kwanza kutaja jina la wimbo, lakini mwezi wa 12 lazima itoke”.
Video nne zilizopita za Kala (Nchi ya Ahadi, Usikate Tamaa, Simu Ya Mwisho, Wale Wale) zote zimeongozwa na Pablo, kuhusu kwanini ameamua...
11 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-4i1w6W-bFmE/U7MBkgH5VuI/AAAAAAAFt_4/haAWClKy-xo/s72-c/images.jpg)
WAZIRI MKUU: OMBEENI TAIFA NA UCHAGUZI MKUU UJAO - Askofu Niwemugizi ataka UKAWA warudi bungeni mwezi ujao, asema siyo ombi
![](http://2.bp.blogspot.com/-4i1w6W-bFmE/U7MBkgH5VuI/AAAAAAAFt_4/haAWClKy-xo/s1600/images.jpg)
WAZIRI MKUU Mizengo Pinda amewaomba viongozi wa dini kote nchini na wananchi waungane pamoja ili kuombea uchaguzi mkuu wa viongozi wakuu wa Rais, wabunge na madiwani unaotarajiwa kufanyika mwakani.
Ametoa wito huo leo mchana (Jumanne, Julai mosi, 2014) wakati akizungumza na maelfu ya waumini na viongozi mbalimbali waliohudhuria ibada ya Jubilei ya miaka 25 ya Askofu Mkuu wa Jimbo Katoliki la Iringa, Mhashamu Tarsicius Ngalalekumtwa katika uwanja wa Kichangani wa Kanisa Kuu la Kihesa.
"Maaskofu...
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/Ug6ORo4NSNS5w*DpjZPYqEwVSxyWHquiNQgvt*wWw-178NBDe5be*yliuYuunjrLJlbw-MO7j3MGHDNOWAp0i82IhP0wCRQ3/VICKING.jpeg?width=650)
NGUZA VIKING NA MWANAE PAPII KOCHA WATUMBUIZA KWENYE MAADHIMISHO YA MAGEREZA DAY
10 years ago
MichuziMAKAMU WA RAIS AHUTUBIA WASANII KWENYE MADHIMISHO YA SIKU YA MSANII MLIMANI CITY JANA USIKU OCTOBA 25-2014
10 years ago
Habarileo12 Feb
Zabuni barabara za juu mwezi ujao
ZABUNI ya ujenzi wa barabara za juu jijini Dar es Salaam inatarajiwa kutangazwa mwezi ujao.
10 years ago
Habarileo19 Jun
Ugawaji wa majimbo ya uchaguzi mwezi ujao
UGAWAJI wa majimbo mapya ya uchaguzi yanatarajia kutangazwa mapema mwezi ujao na Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC).
10 years ago
Mwananchi07 Jan
Umeme wa gesi kuanza mwezi ujao
11 years ago
GPLAKON KUTUA KENYA MWEZI UJAO