Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Nyalandu awaaga wafanyabiashara wanaoenda kushiriki maonyesho ya ITB, Berlin Ujerumani

Waziri wa Utalii na Maliasili Razalo Nyarandu akitoa nasaha za kuwaaga wafanyabiashara wa Tanzaia wanaoenda Berlin Ujerumani

Waziri wa Maliasili na Utalii, Mh. Lazaro Nyalandu akitoa nasaha za kuwaaga wafanyabiashara wa Tanzania wanaoenda Berlin, Ujerumani kushiriki maonyesho makubwa Duniani ya biashara maarufu kama ITB kuanzia Machi 4-8 mwaka huu.(Picha zote na modewjiblog)

Na Andrew Chale  wa modewji blog

Waziri wa Maliasili na Utalii Mhe. Lazaro Nyalandu amewataka wafanyabiashara wa Tanzania wanaoenda kushiriki maonyesho makubwa Duniani ya biashara maarufu kama ITB, mjini Berlin, Ujerumani Machi 4 hadi 8,...

Dewji Blog

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

MAONESHO YA UTALII YA ITB YAANZA RASMI BERLIN, UJERUMANI

Na Geofrey Tengeneza - Berlin Maonesho ya Utalii ya kimataifa ya ITB ya siku tano yameanza leo jijini Berlin. Maonesho haya yanayofanyika kila mwaka na ambayo ni makubwa kuliko yote duniani yanahudhuriwa na waoneshajio zaidi ya 10000 kutoka nchi 190 duniani. Tanzania katika maonesho haya inawakilishwa na waoneshaji 160 kutoka katika makampuni 60 kutoka sekta ya umma na binafsi . Taasisi za serikali zinazoshiriki maonesho haya ni Idara ya Utalii ya Wizara ya Maliaslili na Utalii, Bodi ya...

 

10 years ago

GPL

WAZIRI NYALANDU AKUTANA NA WAZIRI MWENZAKE WA UTALII WA KENYA KWENYE MAONESHO YA ITB BERLIN

Mh. Waziri  Nyalandu akihojiwa katika banda la Tanzania na mwandishi wa habari wa kituo cha Televisheni cha Check inn cha Qatar Bw. Tajamul Hussain kuhusu utalii wa Tanzania kwa ujumla. MKurugenzi wa kampuni ya usafirishaji watalii ya Zara tours…

 

10 years ago

Michuzi

WAZIRI NYALANDU AKUTANA NA WAZIRI MWENZAKE WA UTALII WA KENYA KWENYE MAONESHO YA ITB BERLIN

Na Geofrey Tengeneza – Berlin Ujerumani Waziri wa Maliasili na Utalii Mh. Lazaro Nyalandu amekutana na waziri mwenzake wa Biashara na Utalii wa Kenya Bibi Phylis Kandie katika banda la Kenya na kuwa na mazungumzo yanayohusu ushirikiano wa nchi mbili katika sekta ya Utalii. Mazungumzo hayo hayakuwa rasmi hivyo hayakuhudhuriwa na wandishi wa habari Aidha Wiziri Nyalandu alitembelea banda la Tanzania na kuzungumza na washiriki wa maonesho ya ITB kutoka makampuni mbalimbali washiriki hao kwa...

 

11 years ago

Michuzi

TANZANIA SHINES AT ITB BERLIN 2014

By Pascal Shelutete  Tanzanian stand attracted hundreds of tourists, travel agents and other tourism stakeholders in the ongoing International Tourism Exchange, which is the World’s largest annual tourism exhibition taking place in Berlin, Germany.  Team Tanzania in ITB is led by the Minister for Natural Resources and Tourism, Hon. Lazaro Nyalandu. The flow of visitors in the stand who were looking for various information regarding Tanzanian tourist attractions brings hope that Tanzania...

 

10 years ago

Dewji Blog

Jerry Silaa awaaga watumishi wa Manispaa ya Ilala wanaoenda kuongeza ujuzi Korea kusini

Photo 1

Mstahiki Meya wa Manispaa ya Ilala Jerry Silaa akipeana mkono wa kuagana na Mganga Mfawidhi wa zahanati ya Chanika Dk Betha Sanga ambaye pamoja na watumishi wengine sita wa afya wa Manispaa hiyo wamepata udhamini wa Serikali ya Korea Kusini kupitia Shirika lake la Maendeleo KOICA kwenda kuongeza ujuzi nchini Korea Kusini kwa ajili ya kuboresha huduma katika hospitali itakayojengwa Chanika. Wengine ni Dk  Agatha Shinyala na Dk Mary Machemba wa Amana Hospitali. Nyuma ya Meya ni Afisa kutoka...

 

10 years ago

Michuzi

Meya wa Ilala awaaga watumishi sita wa afya wa Manispaa hiyo wanaoenda kuongeza ujuzi Korea kusini

Mstahiki Meya wa Manispaa ya Ilala Jerry Silaa akipeana mkono wa kuagana na Mganga Mfawidhi wa zahanati ya Chanika Dk Betha Sanga ambaye pamoja na watumishi wengine sita wa afya wa Manispaa hiyo wamepata udhamini wa Serikali ya Korea Kusini kupitia Shirika lake la Maendeleo KOICA kwenda kuongeza ujuzi nchini Korea Kusini kwa ajili ya kuboresha huduma katika hospitali itakayojengwa Chanika. Wengine ni Dk Agatha Shinyala na Dk Mary Machemba wa Amana Hospitali. Nyuma ya Meya ni Afisa kutoka...

 

10 years ago

GPL

MSTAHIKI MEYA WA MANISPAA YA ILALA JERRY SILAA AWAAGA WATUMISHI SITA WA AFYA WA MANISPAA HIYO WANAOENDA KUONGEZA UJUZI KOREA KUSINI

Mstahiki Meya wa Manispaa ya Ilala Jerry Silaa akipeana mkono wa kuagana na Mganga Mfawidhi wa zahanati ya Chanika Dk Betha Sanga ambaye pamoja na watumishi wengine sita wa afya wa Manispaa hiyo wamepata udhamini wa Serikali ya Korea Kusini kupitia Shirika lake la Maendeleo KOICA kwenda kuongeza ujuzi nchini Korea Kusini kwa ajili ya kuboresha huduma katika hospitali itakayojengwa Chanika. Wengine ni Dk  Agatha Shinyala na Dk...

 

10 years ago

Michuzi

ANKAL AKIWA NA WADAU WA BERLIN, UJERUMANI

Ankal (wa sita toka kulia) akiwa na wadau wakubwa wa Globu ya Jamii wa jiji la Berlin alipokutana nao hivi karibuni katiuka jiji hilo. Ankal anasema anawapenda sana wadau wake popote walipo duniani na anawashukuru kwa kuendelea kumuweka pale pale juu ya orodha ya libeneke.

 

10 years ago

Michuzi

DK.SHEIN ATENMBELA SKULI NA MAKUMBUSHO BERLIN UJERUMANI

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la MapinduziDk.Ali Mohamed Shein na ujumbe waliofuatana katika ziara ya kikazi Mjini Berlin wakiwa wamesimama wakiimbiwa wimbo maalum na Wanafunzi wa Skuli ya Bruno H-Burgel Schule ya Postdam walipotembelea Skuli hiyo ambayo inaushirikiano na Skuli ya Mwanakwerekwe ya Zanzibar.Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein na Mkewe Mama Mwanamwema Shein pamoja na ujumbe wake wakiwaangalia wanafunzi wa Skuli ya Bruno...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani