DK.SHEIN ATENMBELA SKULI NA MAKUMBUSHO BERLIN UJERUMANI
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la MapinduziDk.Ali Mohamed Shein na ujumbe waliofuatana katika ziara ya kikazi Mjini Berlin wakiwa wamesimama wakiimbiwa wimbo maalum na Wanafunzi wa Skuli ya Bruno H-Burgel Schule ya Postdam walipotembelea Skuli hiyo ambayo inaushirikiano na Skuli ya Mwanakwerekwe ya Zanzibar.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein na Mkewe Mama Mwanamwema Shein pamoja na ujumbe wake wakiwaangalia wanafunzi wa Skuli ya Bruno...
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
VijimamboDk Shein atembelea Skuli na Makumbusho mjini Berlin, Ujerumani
10 years ago
Habarileo10 Jun
Shein ataka makumbusho Zanzibar, Berlin kushirikiana
RAIS wa Zanzibar, Dk Ali Mohamed Shein ametaka kuwepo ushirikiano kati ya makumbusho ya viumbehai ya mjini Berlin na Zanzibar ili kutoa fursa za kufanyika tafiti mbalimbali ya hazina ya viumbehai vilivyopo Zanzibar.
10 years ago
MichuziDKT. SHEIN AHUDHURIA MKUTANO WA BIASHARA BERLIN, NCHINI UJERUMANI
10 years ago
VijimamboMke wa Rais wa Ujerumani Bi Daniela Schadt Afungua Skuli Mwera.
10 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-Sg5jjPVxmQI/VMjpj2XnHcI/AAAAAAAG_6Y/nU_0FMkVivE/s72-c/0L7C0310.jpg)
ANKAL AKIWA NA WADAU WA BERLIN, UJERUMANI
![](http://4.bp.blogspot.com/-Sg5jjPVxmQI/VMjpj2XnHcI/AAAAAAAG_6Y/nU_0FMkVivE/s1600/0L7C0310.jpg)
10 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-5R45XxdsA3k/VPc-e06sdyI/AAAAAAAHHvk/9rC1AUTuHPw/s72-c/unnamed%2B(45).jpg)
MAONESHO YA UTALII YA ITB YAANZA RASMI BERLIN, UJERUMANI
11 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-HGmU-en4ZtA/U0rA-Mquj5I/AAAAAAAFagk/jV9iHuOByz4/s72-c/images+(4).jpg)
KARIBUNI WOTE KATIKA KONGAMANO LA BIASHARA MJINI BERLIN, UJERUMANI
![](http://2.bp.blogspot.com/-HGmU-en4ZtA/U0rA-Mquj5I/AAAAAAAFagk/jV9iHuOByz4/s1600/images+(4).jpg)
Tanzania nchini Ujerumani Kama mnavyofahamu kuwa siku ya tarehe 26 Aprili, 2014 Jamhuri ya Muungano wa Tanzania inatimiza miaka hamsini (50), kwa lugha nyingine ni “Golden Jubilee”. Katika kuadhimisha sherehe hii kubwa na muhimu, Ubalozi umeamua kuandaa Kongamano la Biashara (Investment Forum) kwa siku ya tarehe 25 Aprili, 2014 pamoja na siku ya terehe 26 Aprili, 2014 kuwa siku ya mdahalo (Scholars' day) mjini Berlin, Ujerumani. Madhumuni makubwa...
10 years ago
Dewji Blog02 Mar
Nyalandu awaaga wafanyabiashara wanaoenda kushiriki maonyesho ya ITB, Berlin Ujerumani
Waziri wa Maliasili na Utalii, Mh. Lazaro Nyalandu akitoa nasaha za kuwaaga wafanyabiashara wa Tanzania wanaoenda Berlin, Ujerumani kushiriki maonyesho makubwa Duniani ya biashara maarufu kama ITB kuanzia Machi 4-8 mwaka huu.(Picha zote na modewjiblog)
Na Andrew Chale wa modewji blog
Waziri wa Maliasili na Utalii Mhe. Lazaro Nyalandu amewataka wafanyabiashara wa Tanzania wanaoenda kushiriki maonyesho makubwa Duniani ya biashara maarufu kama ITB, mjini Berlin, Ujerumani Machi 4 hadi 8,...
11 years ago
MichuziPROF. MUHONGO AZINDUA RASMI KONGAMANO LA MAFUTA NA GESI BERLIN, UJERUMANI