Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


PROF. MUHONGO AZINDUA RASMI KONGAMANO LA MAFUTA NA GESI BERLIN, UJERUMANI

Waziri wa Nishati na Madini Profesa Sospeter Muhongo (Mb.) (kushoto) akisalimiana na mmoja wa wajumbe anayewakilisha wafanyabiashara kabla ya kufungua kongamano la mafuta na gesi linaloendelea huko Ujerumani kama moja ya maadhimisho ya muungano wa Tanganyika na Zanzibar Mtaalamu kutoka Shirika la Maendeleo ya Petroli Nchini (TPDC) Bi Venosa Ngowi (kulia) akimweleza Waziri wa Nishati na Madini Profesa Sospeter Muhongo (mwenye suti nyeusi) shughuli zinazofanywa na shirika hilo...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Michuzi

Prof. Muhongo kuongoza kongamano la mafuta na gesi Ujerumani

Na Greyson Mwase, Ujerumani
Waziri wa nishati na madini Profesa Sospeter Muhongo anatarajiwa kuwa mgeni rasmi katika kongamano litakalofanyika kesho Berlin nchini Ujerumani ambapo atawasilisha mada kuhusiana na fursa za uwekezaji nchini Tanzania hususan katika sekta ya mafuta na gesi.
Kongamano hilo litakaloshirikisha wasomi mbalimbali litaenda sambamba na maonesho yatakayooneshwa na wataalamu kutoka Wizara ya Nishati na Madini kama moja ya maadhimisho ya jubilee ya miaka 50 ya...

 

11 years ago

Michuzi

KARIBUNI WOTE KATIKA KONGAMANO LA BIASHARA MJINI BERLIN, UJERUMANI

Mhe. Philip S. Marmo, Balozi wa
Tanzania nchini Ujerumani   Kama mnavyofahamu kuwa siku ya tarehe 26 Aprili, 2014 Jamhuri ya Muungano wa Tanzania inatimiza miaka hamsini (50), kwa lugha nyingine ni “Golden Jubilee”.  Katika kuadhimisha sherehe hii kubwa na muhimu, Ubalozi umeamua kuandaa Kongamano la Biashara (Investment Forum) kwa siku ya tarehe 25 Aprili, 2014 pamoja na siku ya terehe 26 Aprili, 2014 kuwa siku ya mdahalo (Scholars' day) mjini Berlin, Ujerumani.  Madhumuni makubwa...

 

10 years ago

Michuzi

MAONESHO YA UTALII YA ITB YAANZA RASMI BERLIN, UJERUMANI

Na Geofrey Tengeneza - Berlin Maonesho ya Utalii ya kimataifa ya ITB ya siku tano yameanza leo jijini Berlin. Maonesho haya yanayofanyika kila mwaka na ambayo ni makubwa kuliko yote duniani yanahudhuriwa na waoneshajio zaidi ya 10000 kutoka nchi 190 duniani. Tanzania katika maonesho haya inawakilishwa na waoneshaji 160 kutoka katika makampuni 60 kutoka sekta ya umma na binafsi . Taasisi za serikali zinazoshiriki maonesho haya ni Idara ya Utalii ya Wizara ya Maliaslili na Utalii, Bodi ya...

 

11 years ago

Michuzi

SHEREHE ZA MIAKA 50 YA MUUNGANO ZAFANA UJERUMANI, PROFESA MUHONGO MGENI RASMI

 Waziri wa Nishati na Madini Profesa Sospeter Muhongo (Mb.) (kushoto) akiingia katika ukumbi wa Deustche Bank uliopo Berlin, Ujerumani kabla ya kuzindua rasmi sherehe za jubilee ya muungano wa Tanganyika na Zanzibar. Kulia ni balozi wa Tanzania Ujerumani Mhe. Philip Marmo.

 Waziri wa Nishati na Madini Profesa Sospeter Muhongo (Mb) akizungumza na  baadhi ya wajumbe waliohudhuria  sherehe hizo

 Kikundi cha ngoma za sanaa kutoka Jeshi la Wananchi Tanzania kikitumbuiza  kabla ya kuanza kwa...

 

11 years ago

Michuzi

Kampuni ya Mafuta na Gesi ya Swala yakaribishwa rasmi Soko la Hisa la Dar

Rais mstaafu wa awamu ya pili wa Jamhuri ya Muungano Tanzania Mh.Alhaj Ali HAssan Mwinyi akigonga kengele kuashiria kuingia rasmi kwa kampuni ya Mafuta na Gesi ya Swala kwenye Soko la Hisa la Dar es salaam. Afisa Mtendaji Mkuu wa Kampuni ya Mafuta na Gesi ya Swala Bw. David Mestres akiongea na waandishi wa habari(hawapo pichani) wakati wa sherehe za kukaribishwa rasmi kwa kampuni ya Swala kwenye soko la Hisa la Dar Es Salaam. Mwenyekiti wa Kampuni ya Mafuta na Gesi ya Swala Bw. Ernest...

 

10 years ago

Dewji Blog

Balozi Sefue azindua timu ya wataalam wa serikali wa kufanya mazungumzo katika mikataba ya gesi asilia na mafuta

1

Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Ombeni Sefue akizungumza wakati wa kuzindua timu ya wataalam wa mazungumzo katika mikataba ya gesi na mafuta kutoka serikalini na mafunzo yao maalum yaliyofanyika katika hoteli ya Park Hyatt kisiwani Zanzibar jana. Kutoka kulia ni Katibu Mkuu Kiongozi wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar Dk. Abdulhamid Yahya Mzee na Bi. Sheila Khama Mkurugenzi wa Kituo cha Rasilimali za Afrika katika Benki ya Maendeleo ya Afrika. 

2

Afisa Mtendaji Mkuu wa UONGOZI Institute...

 

11 years ago

Dewji Blog

Kampuni ya Mafuta na Gesi ya Swala yakaribishwa rasmi Soko la Hisa la Dar es Salaam

1

Rais mstaafu wa awamu ya pili wa Jamhuri ya Muungano Tanzania Mh.Alhaj Ali Hassan Mwinyi akigonga kengele kuashiria kuingia rasmi kwa kampuni ya Mafuta na Gesi ya Swala kwenye Soko la Hisa la Dar es salaam. 2

Afisa Mtendaji Mkuu wa Kampuni ya Mafuta na Gesi ya Swala Bw. David Mestres akiongea na waandishi wa habari(hawapo pichani) wakati wa sherehe za kukaribishwa rasmi kwa kampuni ya Swala kwenye soko la Hisa la Dar Es Salaam.

4

Mwenyekiti wa Kampuni ya Mafuta na Gesi ya Swala Bw. Ernest...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani