Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Shein ataka makumbusho Zanzibar, Berlin kushirikiana

Rais wa Zanzibar, Dk Ali Mohamed Shein.RAIS wa Zanzibar, Dk Ali Mohamed Shein ametaka kuwepo ushirikiano kati ya makumbusho ya viumbehai ya mjini Berlin na Zanzibar ili kutoa fursa za kufanyika tafiti mbalimbali ya hazina ya viumbehai vilivyopo Zanzibar.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

DK.SHEIN ATENMBELA SKULI NA MAKUMBUSHO BERLIN UJERUMANI

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la MapinduziDk.Ali Mohamed Shein na ujumbe waliofuatana katika ziara ya kikazi Mjini Berlin wakiwa wamesimama wakiimbiwa wimbo maalum na Wanafunzi wa Skuli ya Bruno H-Burgel Schule ya Postdam walipotembelea Skuli hiyo ambayo inaushirikiano na Skuli ya Mwanakwerekwe ya Zanzibar.Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein na Mkewe Mama Mwanamwema Shein pamoja na ujumbe wake wakiwaangalia wanafunzi wa Skuli ya Bruno...

 

10 years ago

Vijimambo

Dk Shein atembelea Skuli na Makumbusho mjini Berlin, Ujerumani

Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mwanamwema Shein akisalimiana na Naibu Meya wa Postdam Bibi Elona Muller wakati alipotembelea Skuli ya Bruno H-Burgel Schule ya Postdam mjini Berlin akiwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein na ujumbe waliofuatana katika ziara ya kikazi Nchini Ujerumani nao ambapo Skuli hiyo inaushirikiano na Mwanakwerekwe Skuli ya ZanzibarWanafunzi wa Skuli ya Bruno H-Burgel Schule ya Postdam walipomkaribisha Rais wa Zanzibar na...

 

9 years ago

Habarileo

Shein ataka Zanzibar iharakishwe kuwa jiji

RAIS wa Zanzibar, Dk Ali Mohamed Shein, amesema hatua mbalimbali zinazochukuliwa na serikali kuimarisha huduma katika Manispaa ya Mji wa Zanzibar iwe ni changamoto kwa mamlaka zinazoshughulikia Serikali za Mitaa kuuandaa mji huo kuwa jiji kama majiji mengine duniani.

 

10 years ago

Michuzi

DKT. SHEIN AHUDHURIA MKUTANO WA BIASHARA BERLIN, NCHINI UJERUMANI

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein(kulia) akiwa na Balozi wa Jamhuri ya Watu wa Gabonese Mhe,Jean ClaudeBouyobartkabla ya kuanza kwa Mkutano wa Wafanyabiashara na Wawekezaji wa Afrika na Wajerumani uliofanyika Mjini Berlin Nchini Ujerumani.Balozi wa Jamhuri ya Watu wa Gabonese Mhe,Jean ClaudeBouyobart akizungumza na washiriki mbali mbali wa Mkutano wa Wafanyabiashara na Wawekezaji wa Afrika na Wajerumani alipoufungua rasmi katika jumba la Baraza la...

 

9 years ago

Habarileo

Ataka SADC kushirikiana

MAKAMU wa Pili wa Rais wa Zanzibar, Balozi Seif Ali Iddi amesisitiza umuhimu wa Nchi za Kusini mwa Jangwa la Sahara (SADC) kuendelea kushirikiana kiuchumi kutokana na historia ndefu ya mataifa hayo ya kusaidiana wakati wa kujikomboa kutoka kwa wakoloni.

 

11 years ago

GPL

DK. SHEIN AKUTANA NA MAKAMU WA RAIS WA INDIA, AWEKA SHADA LA MAUA MAKUMBUSHO YA MAHATMA GHANDHI

 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akifuatana na Balozi wa Tanzania nchini India John W.H.Kijazi walipofika katika Makumbusho ya Mahatma Ghandhi Mjini New Delhi India na kuweka shada la maua katika makumbusho hayo, akifuatana na ujumbe wake katika ziara ya siku tatu nchini humo

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed  Shein akifuatana na ujumbe...

 

11 years ago

Mwananchi

Makumbusho Zanzibar yaboreshwe

>Nilipokuwa ziarani Zanzibar nilipata fursa ya kutembelea majumba ya makumbusho.

 

11 years ago

Dewji Blog

MO ataka madhebebu dini kushirikiana na serikali ili kuleta maendeleo endelevu

DSC_0575

Mbunge wa jimbo la Singida Mjini, Mh. Mohammed Dewji (MO), akizungumza na waumini wa Msikiti wa kijiji cha Mtamaa wakati wa ziara yake ya siku tatu jimbo kwake.

Na Nathaniel Limu, Singida

MBUNGE wa Jimbo la Singida mjini, Mohammed Gulam Dewji amewahimiza waumini wa madhahebu mbalimbali ya dini kuendelea kushirikiana na serikali ili kurahisisha upatikanaji wa maendeleo endelevu.

Mbunge Dewji maarufu kwa jina la MO,ametoa wito huo hivi karibuni kwa nyakati tofauti wakati akikagua ujenzi wa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani