Ataka SADC kushirikiana
MAKAMU wa Pili wa Rais wa Zanzibar, Balozi Seif Ali Iddi amesisitiza umuhimu wa Nchi za Kusini mwa Jangwa la Sahara (SADC) kuendelea kushirikiana kiuchumi kutokana na historia ndefu ya mataifa hayo ya kusaidiana wakati wa kujikomboa kutoka kwa wakoloni.
habarileo
Habari Zinazoendana
10 years ago
Habarileo10 Jun
Shein ataka makumbusho Zanzibar, Berlin kushirikiana
RAIS wa Zanzibar, Dk Ali Mohamed Shein ametaka kuwepo ushirikiano kati ya makumbusho ya viumbehai ya mjini Berlin na Zanzibar ili kutoa fursa za kufanyika tafiti mbalimbali ya hazina ya viumbehai vilivyopo Zanzibar.
10 years ago
Michuzi
WAZIRI MKUU ATAKA SADC IWABANE WANACHAMA WAKE

Ametoa kauli hiyo leo mchana (Jumanne, Agosti 18, 2015), wakati akizungumza na waandishi wa Habari mara baada ya kumaliza mkutano wa 35 wa wakuu wa nchi za...
11 years ago
Dewji Blog27 May
MO ataka madhebebu dini kushirikiana na serikali ili kuleta maendeleo endelevu
Mbunge wa jimbo la Singida Mjini, Mh. Mohammed Dewji (MO), akizungumza na waumini wa Msikiti wa kijiji cha Mtamaa wakati wa ziara yake ya siku tatu jimbo kwake.
Na Nathaniel Limu, Singida
MBUNGE wa Jimbo la Singida mjini, Mohammed Gulam Dewji amewahimiza waumini wa madhahebu mbalimbali ya dini kuendelea kushirikiana na serikali ili kurahisisha upatikanaji wa maendeleo endelevu.
Mbunge Dewji maarufu kwa jina la MO,ametoa wito huo hivi karibuni kwa nyakati tofauti wakati akikagua ujenzi wa...
5 years ago
CCM BlogWAZIRI WA MAMBO YA NJE PROF. KABUDI ATAKA NCHI ZA SADC KUIMARISHA USHIRIKIANO
Prof. Kabudi amesema hayo jijini Dar es salaam wakati akifungua Mkutano wa Baraza la Mawaziri wa SADC kwa njia ya Video katika Ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa wa...
11 years ago
GPL
MO ATAKA MADHEBEBU YA DINI KUSHIRIKIANA NA SERIKALI ILI KULETA MAENDELEO ENDELEVU
11 years ago
Michuzi.jpg)
MKUU WA MKOA WA ARUSHA AAGIZA MAMLAKA ZA HALI YA HEWA KUSINI MWA AFRIKA KUSHIRIKIANA KATIKA KUTATUA CHANGAMOTO ZA HUDUMA ZA HALI YA HEWA KATIKA KANDA YA SADC
Mkutano huo unafanyika mkoani Arusha. Akifungua mkutano huo kwa niaba ya Mkuu wa Mkoa wa Arusha mgeni rasmi ambaye ni mkuu wa Wilaya ya Monduli Mhe. Jowika W. Kasunga alizitaka taasis za hali ya hewa kusini mwa Afrika ikiwemo TMA kushirikiana katika kutatua changamoto zinazoikabili...