MO ataka madhebebu dini kushirikiana na serikali ili kuleta maendeleo endelevu
Mbunge wa jimbo la Singida Mjini, Mh. Mohammed Dewji (MO), akizungumza na waumini wa Msikiti wa kijiji cha Mtamaa wakati wa ziara yake ya siku tatu jimbo kwake.
Na Nathaniel Limu, Singida
MBUNGE wa Jimbo la Singida mjini, Mohammed Gulam Dewji amewahimiza waumini wa madhahebu mbalimbali ya dini kuendelea kushirikiana na serikali ili kurahisisha upatikanaji wa maendeleo endelevu.
Mbunge Dewji maarufu kwa jina la MO,ametoa wito huo hivi karibuni kwa nyakati tofauti wakati akikagua ujenzi wa...
Dewji Blog
Habari Zinazoendana
11 years ago
GPL![](http://dewjiblog.com/wp-content/uploads/2014/05/DSC_05751.jpg)
MO ATAKA MADHEBEBU YA DINI KUSHIRIKIANA NA SERIKALI ILI KULETA MAENDELEO ENDELEVU
10 years ago
Habarileo02 Apr
Tunatambua juhudi za taasisi za dini kuleta maendeleo -RC
MKUU wa wilaya ya Mvomero, mkoani Morogoro, Festo Kiswaga, amesema serikali ya mkoa inatambua juhudi zinazofanywa na taasisi za dini kuleta maendeleo ya jamii katika sekta mbalimbali, ikiwemo ya afya, elimu na maji.
9 years ago
StarTV15 Dec
CCM chakabidhi usafiri kwa watendaji Njombe ili kuleta ufanisi katika maendeleo
Katika kuhakikisha shughuli za Maendeleo zinafanyika kwa kufuata kauli mbiu ya Rais John Pombe Magufuli, Chama cha Mapinduzi CCM, kimekabidhi vifaa vya usafiri kwa watendaji wake wa jimbo la Njombe vikiwemo .
Watendaji hao wakiwemo makatibu kata na viongozi wa matawi wamepewa pikipiki na baiskeli zenye thamani ya shilingi milioni 45 msaada ambao umetolewa na Mwenyekiti wa CCM Mkoa na Mbunge wa Jimbo la Makambako Deo Sanga kutimiza ahadi aliyoitoa kabla ya uchaguzi.
Akikabidhi vifaa hivyo...
10 years ago
Dewji Blog08 Apr
Membe atoa rai kwa viongozi wa dini zote pamoja serikali kuhimiza vijana waipende dini ili kudumisha amani, utulivu na uadilifu
10 years ago
MichuziVIJANA WEKENI MSISITIZO MASOMO YA SAYANSI NA TEKNOLOJIA ILI MUWE WAJUZI NA KULETA MAENDELEO NCHINI
10 years ago
VijimamboWAZIRI MHE. BERNARD MEMBE ATOA RAI KWA VIONGOZI WA DINI ZOTE PAMOJA SERIKALI KUHIMIZA VIJANA WAIPENDE DINI ILI KUDUMISHA AMANI, UTULIVU NA UADILIFU
Mkurugenzi wa Msama Promotion, Alex Msama akiwapungia watu waliohudhuria katika Tamasha la kumi na tano la Pasaka, lililofanyika katika Uwanja wa Taifa, jijini Dar es...
9 years ago
StarTV06 Jan
Serikali yapanga kujenga makazi ya watumishi ili kuleta Ufanisi Wa Kazi
Naibu Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi Angelina Mabula amesema Wizara yake inaangalia uwezekano wa kushirikiana na Wizara ya Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa TAMISEMI na ile ya Utumishi wa Umma kuhakikisha watumishi wa Umma wanakuwa na nyumba bora ili kuwawezesha kufanya kazi zao kwa ufanisi.
Amesema watumishi wanaoishi vijijini ndiyo wanaoathirika zaidi kutokana na kukosa makazi bora hatua inayowafanya wengi wao kushindwa kumudu kufanya kazi zao na...
9 years ago
StarTV23 Nov
Muinjilisti Dk. Falk ataka wakazi Morogoro kuwajibika ili kujiletea maendeleo
Wakazi wa Kihonda Manispaa ya Morogoro wametakiwa kufanya kazi kwa bidii katika kujiletea maendeleo kwa kutumia njia zinazompendeza mwenyezi Mungu na kuepuka njia za mkato ambazo zinaweza kuwaingiza kwenye matatizo na kuhatarisha maisha yao.
Akihutubia katika mkutano wa injili kwa wakazi hao, Mwinjilisti wa Kimataifa kutoka Arusha Dokta Egon Falk amesema maendeleo hayaletwi kwa maombi pekee bali yanaletwa na kila mmoja katika jamii kufanya kazi kwa bidii itakayomuingizia kipato...