CCM chakabidhi usafiri kwa watendaji Njombe ili kuleta ufanisi katika maendeleo
Katika kuhakikisha shughuli za Maendeleo zinafanyika kwa kufuata kauli mbiu ya Rais John Pombe Magufuli, Chama cha Mapinduzi CCM, kimekabidhi vifaa vya usafiri kwa watendaji wake wa jimbo la Njombe vikiwemo .
Watendaji hao wakiwemo makatibu kata na viongozi wa matawi wamepewa pikipiki na baiskeli zenye thamani ya shilingi milioni 45 msaada ambao umetolewa na Mwenyekiti wa CCM Mkoa na Mbunge wa Jimbo la Makambako Deo Sanga kutimiza ahadi aliyoitoa kabla ya uchaguzi.
Akikabidhi vifaa hivyo...
StarTV
Habari Zinazoendana
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-Z_IMmzzHeLQ/XuD9a1GRg-I/AAAAAAALtZ4/-slWgggJ-EI7hx_-OIpkUhyqsM6vJOm1ACLcBGAsYHQ/s72-c/5.jpg)
DC SOPHIA MJEMA AWAPONGEZA USHIRIKIANO WA MADIWANI, WATENDAJI KATIKA KULETA MAENDELEO
MKUU wa Wilaya ya Ilala jijini Dar es Salaam Dk.Sophia Mjema amewapongeza madiwani wote, wakuu wa idara, watendaji na Mkurugenzi wa wilaya hiyo kwa utendaji kazi mzuri na ushirikiano walionesha katika Serikali ya Awamu ya Tano inayoongozwa na Rais Dk.John Magufuli.
Pamoja na hayo amesema kwa pamoja watendaji, watumishi na madiwani wa Halmashauri ya Wilaya ya Ilala wamefanikisha kuongezeka kwa ukusanyaji wa mapato pamoja na utoaji wa mikopo kwa wananchi.
Dk.Mjema...
9 years ago
StarTV06 Jan
Serikali yapanga kujenga makazi ya watumishi ili kuleta Ufanisi Wa Kazi
Naibu Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi Angelina Mabula amesema Wizara yake inaangalia uwezekano wa kushirikiana na Wizara ya Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa TAMISEMI na ile ya Utumishi wa Umma kuhakikisha watumishi wa Umma wanakuwa na nyumba bora ili kuwawezesha kufanya kazi zao kwa ufanisi.
Amesema watumishi wanaoishi vijijini ndiyo wanaoathirika zaidi kutokana na kukosa makazi bora hatua inayowafanya wengi wao kushindwa kumudu kufanya kazi zao na...
11 years ago
Dewji Blog27 May
MO ataka madhebebu dini kushirikiana na serikali ili kuleta maendeleo endelevu
Mbunge wa jimbo la Singida Mjini, Mh. Mohammed Dewji (MO), akizungumza na waumini wa Msikiti wa kijiji cha Mtamaa wakati wa ziara yake ya siku tatu jimbo kwake.
Na Nathaniel Limu, Singida
MBUNGE wa Jimbo la Singida mjini, Mohammed Gulam Dewji amewahimiza waumini wa madhahebu mbalimbali ya dini kuendelea kushirikiana na serikali ili kurahisisha upatikanaji wa maendeleo endelevu.
Mbunge Dewji maarufu kwa jina la MO,ametoa wito huo hivi karibuni kwa nyakati tofauti wakati akikagua ujenzi wa...
11 years ago
GPL![](http://dewjiblog.com/wp-content/uploads/2014/05/DSC_05751.jpg)
MO ATAKA MADHEBEBU YA DINI KUSHIRIKIANA NA SERIKALI ILI KULETA MAENDELEO ENDELEVU
9 years ago
StarTV04 Jan
Dk. Shein awataka watendaji kuwajibika ili Kuendana na Kasi Ya Maendeleo
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dokta Ali Mohammed Shein amewataka wasimamizi wa sheria na wote waliopewa dhamana ya utekelezaji wa majukumu ya Umma wawajibike katika dhamana walizopewa ili kwenda na kasi ya maendeleo yalioasisiwa Tangu yalipofanyika mapinduzi ya Zanzibar January 1964.
Amesema maeneo mengi ya kiutendaji huzorota kwa kutokuwajibika ipasavyo kwa baadhi ya watendaji ambao bado wanaendelea kufanya kazi kwa mazoea ambapo muda huo kwa sasa haupo na...
10 years ago
MichuziVIJANA WEKENI MSISITIZO MASOMO YA SAYANSI NA TEKNOLOJIA ILI MUWE WAJUZI NA KULETA MAENDELEO NCHINI
11 years ago
Michuzi25 Mar
WATENDAJI DAR WAASWA KUSHIRIKIANA ILI KUWEKA JIJI KATIKA HALI YA USAFI
![DSC_1151](http://dewjiblog.com/wp-content/uploads/2014/03/DSC_1151.jpg)
Meneja Huduma Maji taka kutoka Dawasco, Mathias Mulagwande (mwenye suti ya damu ya mzee) akinyoosha kidole kumuonyesha Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Said Meck Sadick (wa pili kulia) sehemu korofi za kutiririsha maji machafu barabara ya Morogoro kati kati ya jiji.
Na Damas Makangale
WATENDAJI wa Mamlaka za Maji Safi na Taka, Manispaa, Halmashauri, Wakala wa Barabara na Mabasi yaendayo kasi wameshauri kuwa na utaratibu wa kuwasiliana na kushirikiana kwa pamoja ili kuleta tija katika...
11 years ago
GPL![](http://dewjiblog.com/wp-content/uploads/2014/03/DSC_1151.jpg?width=640)
WATENDAJI DAR WAASWA KUSHIRIKIANA ILI KUWEKA JIJI KATIKA HALI YA USAFI