Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


VIJANA WEKENI MSISITIZO MASOMO YA SAYANSI NA TEKNOLOJIA ILI MUWE WAJUZI NA KULETA MAENDELEO NCHINI

 Rais Mstaafu wa awamu ya Tatu, Mhe. Benjamini Wiliam Mkapa akiwahutubia Wajumbe waliohudhuria mkutano wa Jiolojia uliofanyika katika Ukumbi wa Kimataifa wa J.K Nyerere Jijini Dar es Salaam.  Baadhi wa Wajumbe waliohudhuria mkutano wa Jiolojia wakifuatilia kwa makini hotuba iliyokuwa ikitolewa na mgeni rasmi katika Ukumbi wa Kimataifa wa J.K Nyerere Jijini Dar es Salaam. Wanasayansi Vijana wakifuatilia mada wakati wa mkutano wa tatu wa Wanasayansi Vijana Duniani wenye lengo la kuhakikisha...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Michuzi

Vijana nchini watakiwa kuzingatia vigezo ili kunufaika na Mikopo ya Mfuko wa Maendeleo ya Vijana (YDF)

Kaimu Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano Serikalini wa Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Bibi Concilia Niyibitanga akizungumza na waandishi wa habari (hawapo pichani) kuhusu Mfuko wa Maendeleo ya Vijana leo jijini Dar es Salaam.Kuliani Mkurugenzi Msaidizi wa Maendeleo ya Vijana Dkt. Steven Kissui na kushoto ni Afisa Habari wa Idara ya Habari MAELEZO Bw. Frank Mvungi. Mkurugenzi Msaidizi wa Maendeleo ya Vijana Dkt. Steven Kissui akionyesha Kitabu cha Sera ya Maendeleo ya...

 

11 years ago

Habarileo

‘Bajeti ijikite zaidi maendeleo ya sayansi, teknolojia’

SERIKALI imeombwa kuangalia uwezekano wa kuwekeza zaidi na kuongeza bajeti katika eneo la maendeleo ya sayansi, teknolojia, ubunifu na utafiti ili kuharakisha maendeleo nchini na jitihada za kupunguza umasikini.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Umuhimu sayansi na teknolojia kwa maendeleo ya nchi

VIJANA nchini hawana budi kupenda kujifunza masomo ya sayansi na teknolojia, ili waweze kupata ujuzi na mitazamo katika sekta ya gesi ambayo inakuwa kwa kasi kubwa nchini na duniani kwa...

 

11 years ago

Dewji Blog

MO ataka madhebebu dini kushirikiana na serikali ili kuleta maendeleo endelevu

DSC_0575

Mbunge wa jimbo la Singida Mjini, Mh. Mohammed Dewji (MO), akizungumza na waumini wa Msikiti wa kijiji cha Mtamaa wakati wa ziara yake ya siku tatu jimbo kwake.

Na Nathaniel Limu, Singida

MBUNGE wa Jimbo la Singida mjini, Mohammed Gulam Dewji amewahimiza waumini wa madhahebu mbalimbali ya dini kuendelea kushirikiana na serikali ili kurahisisha upatikanaji wa maendeleo endelevu.

Mbunge Dewji maarufu kwa jina la MO,ametoa wito huo hivi karibuni kwa nyakati tofauti wakati akikagua ujenzi wa...

 

11 years ago

GPL

MO ATAKA MADHEBEBU YA DINI KUSHIRIKIANA NA SERIKALI ILI KULETA MAENDELEO ENDELEVU‏

Mbunge wa jimbo la Singida Mjini, Mh. Mohammed Dewji (MO), akizungumza na waumini wa Msikiti wa kijiji cha Mtamaa wakati wa ziara yake ya siku tatu jimbo kwake. Mbunge MO akijumuika na waumini wa Kanisa la FPCT kutoa burudani wakati wa ziara ya MO. Na Nathaniel Limu, Singida MBUNGE wa Jimbo la Singida mjini, Mohammed Gulam Dewji amewahimiza… ...

 

9 years ago

Michuzi

Naibu Waziri wa Elimu, Sayansi, Teknolojia na Ufundu Mhe. Eng Stella Manyanya afungua mafunzo ya walimu mahiri wa masomo ya Hisabati, Kiingereza na Kiswahili Ruvuma.





 Naibu Waziri wa Elimu, Sayansi, Teknolojia na Ufundi Eng Stella Manyanya akizungumza na washiriki wa mafunzo ya Walimu Wawezeshaji wa masomo ya Hisabati, Kiingereza na Kiswahili kutoka shule za msingi katika Halmashauri za Mkoa wa Ruvuma  na Halmashauri ya Ludewa Mkoa Njombe. Naibu Waziri wa Elimu, Sayansi, Teknolojia na Ufundi Eng Stella Manyanya akishiriki katika darasa mojawapo la mafunzo ya Walimu Wawezeshaji wa masomo ya Hisabati, Kiingereza na Kiswahili kutoka shule za msingi katika...

 

9 years ago

StarTV

CCM chakabidhi usafiri kwa watendaji Njombe ili kuleta ufanisi katika maendeleo

Katika kuhakikisha shughuli za Maendeleo zinafanyika kwa kufuata kauli mbiu ya Rais John Pombe Magufuli, Chama cha Mapinduzi CCM, kimekabidhi vifaa vya usafiri kwa watendaji wake wa jimbo la Njombe vikiwemo  .

Watendaji hao wakiwemo makatibu kata na viongozi wa matawi wamepewa pikipiki na baiskeli zenye thamani ya shilingi milioni 45 msaada ambao umetolewa na Mwenyekiti wa CCM Mkoa na Mbunge wa Jimbo la Makambako Deo Sanga kutimiza ahadi aliyoitoa kabla ya uchaguzi.

Akikabidhi vifaa hivyo...

 

11 years ago

Habarileo

Wasichana nchini kuendelea kufadhiliwa masomo ya sayansi

SERIKALI imeahidi kuendelea kutoa ufadhili wa masomo kwa wanafunzi wa kike, wanaosoma masomo ya sayansi katika ngazi ya uzamili na uzamivu.

 

5 years ago

Michuzi

MAAFISA MAWASILIANO WA WIZARA YA ELIMU SAYANSI NA TEKNOLOJIA WATEMBELEA MIRADI YA MAENDELEO INAYOFADHILIWA NA SERIKALI YA AWAMU YA TANO - MAEKANI

 Naibu Makamu Mkuu wa Chuo Utawala na Fedha (DVC(AF) Prof. Ernest Kihanga akitoa ufafanuzi kwa Maafisa Mawasiliano wa Wizara ya Elimu, kuhusu maendeleo ya ujenzi wa vyumba vya Madarasa, mradi mpya ambao unahusisha ujenzi wa vyumba vya madarasa, kumbi za mikutano na ofisi za watumishi, eneo la Maekani Chuo Kikuu Mzumbe.  Naibu Makamu Mkuu wa Chuo Utawala na Fedha (DVC(AF) Prof. Ernest Kihanga akitoa  maelezo kwa Maafisa Mawasiliano wa Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia  kuhusu ujenzi wa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani