Wasanii kutoa wimbo wa amani
Waimbaji mahiri wa muziki wa Injili watatunga wimbo maalumu wa kuhamasisha amani na upendo nchini.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
9 years ago
Habarileo02 Sep
Wasanii Injili kutoa wimbo wa amani
WAIMBAJI mahiri wa muziki wa Injili wanatarajiwa kutoa wimbo maalumu wa kuhamasisha amani na upendo wakati wa Tamasha la Amani litakalofanyika Oktoba 4, mwaka huu.
9 years ago
Bongo515 Sep
Alikiba aungana na wasanii wengine wa Afrika kurekodi wimbo maalum wa siku ya Amani Duniani —Sept. 21
9 years ago
Raia Mwema07 Oct
Tufanye yote, wimbo wetu uwe amani, amani, amani
Wiki hii Raia Mwema lilifanya mahojiano na mwanasheria mkuu wa serikali mstaafu, Jaji Mark Bomani
Mwandishi Wetu
10 years ago
Bongo510 Mar
Basata walialika wasanii kuja kutoa maoni yao kuboresha tuzo za KTMA, ni wasanii wawili tu waliofika — Nikk Wa Pili
9 years ago
Michuzi11 years ago
GPLCHAKU MASTER KUTOA VIDEO YA WIMBO WAKE
9 years ago
Michuzi11 years ago
Tanzania Daima11 May
Wasanii kuhimiza amani
WASANII wa Bongo Movie, muziki wa dansi, taarabu, maigizo na tamthilia, wametangaza kuzunguka nchi nzima wakiwa na Kamati ya Tanzania Kwanza Nje ya Bunge Maalum la Katiba kwa lengo la...
9 years ago
Bongo508 Dec
Roma agwaya kutoa wimbo aliokuwa auachie siku ya uchaguzi
Unakumbuka siku kadhaa kabla ya uchaguzi Roma aliahidi kuwa angeachia wimbo mpya siku ya uchaguzi?
Hata hivyo wimbo huo haukutoka na alikaa kimya kwa wiki kibao kiasi ambacho mashabiki wake wakaanza kuwa na hofu.
Awali rapa huyo aliahidi kuukabidhi wimbo huo kwa BASATA kabla ya kuuachia. Amekiambia kipindi cha Planet Bongo cha East Africa Radio kuwa aliamua kuachana na kazi hiyo ili kulinda sanaa yake.
“Wimbo niliotoa na Baghdad sio ile kazi ambayo niliahidi kutoa siku ya uchaguzi, kuna...