CHAKU MASTER KUTOA VIDEO YA WIMBO WAKE
Msanii wa chipukizi wa Bongo Fleva aliyewahi kushiriki mashindano ya The Mic King. Msanii wa chipukizi wa Bongo Fleva aliyewahi kushiriki mashindano ya The Mic King yaliyodhaminiwa na kampuni ya Global Publishers, Athman Mohamed ‘Chaku Master,’ anatarajia kutoa video ya wimbo wake mpya alioshirikisha Mr.Blue. Akiongea na mwandishi wetu Chaku Master alisema kuwa video ya wimbo huo alioupa jina la ‘kanuni ya...
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
VijimamboMaster J asema sio haki kwa msanii kurekodi wimbo kwa laki 2 na kushoot video South kwa milioni 25
9 years ago
Bongo510 Nov
Kanye West asahau mashairi ya wimbo wake kwenye birthday ya mama mkwe wake na kuanza kuimba wimbo wa adui yake 50 Cent
Kanye West anadaiwa alijikuta akisahau mashairi ya wimbo wake mwenyewe wakati alipoombwa kutumbuiza kwenye birthday ya mama mkwe wake, Kris Jenner aliyetimiza miaka 60 wiki iliyopita.
Rapper huyo mwenye umri wa miaka 38 alipewa mic na muimbaji Charlie Wilson, aliyekuwa akiimba wimbo wake kabla ya kuanza kuimba wimbo wa Kanye, ‘See Me Now’ – aliomshirikisha Beyonce na – lakini alikiri kuwa hakumbuki mashairi ya wimbo huo wa mwaka 2010 na haraka akaanza kuimba wimbo wa adui yake.
Chanzo...
11 years ago
Bongo504 Aug
Video Snippet: Nicki Minaj aonjesha kipande cha video ya wimbo wake mpya ‘Anaconda’ uliotoka rasmi leo
9 years ago
VijimamboNuru the Light aachia video ya wimbo wake mpya ‘L’
Muimbaji wa Tanzania mwenye makazi yake nchini Sweden, Nuru The Light ameachia video ya wimbo wake mpya ‘L’. Nuru alifanya uzinduzi rasmi wa video hiyo Jumamosi hii kwenye kiota kipya cha starehe, Jozi Lounge kilichopo Msasani jijini Dar es Salaam.
Uzinduzi huo ulihudhuriwa na mastaa, marafiki zake wa karibu na mashabiki.
Video ya wimbo huo imefanyika jijini Dar es Salaam na kuongozwa na muongozaji na mshindi wa tuzo kibao, Adam Juma aka AJ. Mandhari ya kuvutia ya fukwe za bahari ya Hindi...
10 years ago
Vijimambo02 Oct
KOCHA SAID CHAKU AMNOA AZIZI RASHIDI KWA AJILI YA MPAMBANO WAKE NA AZIZI ABDALLAH SIKU YA NYERERE DAY
9 years ago
Bongo520 Nov
Naj kuachia video ya wimbo wake ‘No Going Home’ Ijumaa hii
Akinadada wameamua. Wakati Shaa akiwa na silaha yake kutoka kwa Justin Campos, Naj anatarajia kuachia video ya wimbo wake ‘No Going Home’ Ijumaa hii.
Video hiyo itaoneshwa kwa mara ya kwanza kwenye kipindi cha Friday Night Live cha EATV.
Hajasema ni muongozaji gani aliyeongoza video hiyo bado.
Hivi karibuni muimbaji huyo aliyewahi kufanya vizuri na wimbo wake ‘Don’t Let Me Go’ alionekana akiwa studio na Barnaba japo haijulikani kama alikuwa akirekodi wimbo huu mpya.
Jiunge na Bongo5.com...
9 years ago
Bongo513 Oct
Video: Izzo Bizness azungumzia wimbo wake mpya ‘Shem Lake’
9 years ago
Dewji Blog05 Nov
Jeff aachia video ya wimbo wake mpya wa “Mama Afrika” unaotangaza utalii wa Tanzania
Mwanamuziki aliyewahi ishi nchini Tanzania na pia mwenye asili ya Congo, Jeff Maximum ambaye anaishi Ughaibuni katika shughuli zake za Muziki katika pozi ambapo kwa sasa ameachia video ya wimbo wake mpya wa “Mama Afrika” ambao wimbo huo unatangaza Utalii wa Tanzania.
Na Mwandishi Wetu
Mwanamuziki anayefanya kazi zake nchini Marekani na Dubai, Jeff Maximum tayari ameshaachia video ya wimbo wake mpya uitwao “Mama Afrika” ambao umetayarishwa Bagamoyo Nchini Tanzania hivi karibuni.
Kwa mujibu...