Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


KOCHA SAID CHAKU AMNOA AZIZI RASHIDI KWA AJILI YA MPAMBANO WAKE NA AZIZI ABDALLAH SIKU YA NYERERE DAY

Kocha wa mchezo wa masumbwi nchini Said Chaku kulia akimwelekeza jinsi ya kupiga makonde bondia Azizi Rashidi anayejitaalisha kwa ajili ya mpambano wake na Azizi Abdallah mpambano utakaofanyika siku ya sikukuu ya Nyerere Day katika ukumbi wa musoma bar tandika Kocha wa mchezo wa ngumi Said chaku kulia akiwaelekeza mabondia wa Gongolamboto jinsi ya kufanya mazoezi ya kukaza misuli ya tumbo jana wakati wa mazoezi ya klab hiyo jana Kocha wa mchezo wa masumbwi nchini Said Chaku kulia...

Vijimambo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Vijimambo

MPAMBANO WA NGUMI KUPIGWA SIKU YA NYERERE DAY TANDIKA

Na Mwandishi Wetu
BONDIA Imani Daudi anatarajia kupigana na Patrick  Amote kutoka kenya kwenye mpambano wa kimataifa wa mchezo wa masumbwi utakaofanyika katika ukumbi wa musoma bar Tandika siku ya kumbukumbu ya baba wa Taifa Nyerere Day tarehe 14 mwezi huu mpambano huo unaoratibiwa na oganaizesheni ya ngumi za kulipwa nchini TPBO chini ya Rais wake Yassin Abdallah 'Osthadhi'
lina marengo ya kumkumbuka baba wa taifa katika siku hiyo ya kipekee kabisa kwa nchi yetu ya Tanzania
akizungumza na...

 

11 years ago

Michuzi

WALIOSOMA USSR WAMPONGEZA BALOZI MPYA WA MALAYSIA DKT. AZIZI MRIMA

WATAALAMU MBALIMBALI NCHINI WALIOSOMA USSR WALIFANYA SHEREHE KUBWA SIKU YA JUMAMOSI TAREHE 08.08.2014 KWENYE HOTEL YA ANGITTHI ILIYOPO KWENYE BARABARA YA ALLY HASSAN MWINYI MAENEO YA VICTORIA JIJINI DAR-ES-SALAAM.
KATIKA SHEREHE HIYO ILIYOANZA SAA 12.30 JIONI HADI SAA 5.45 USIKU, WASOMI HAO WAKIONESHA IMANI KUBWA KWA DTR. AZIZI MRIMA KWA KUMPONGEZA NA KUMPA ZAWADI KWA KUTEULIWA KWAKE KUWA BALOZI WA TANZANIA NNCHINI MALAYSIA NA KUAHIDI KUMPA USHIRIKIANO WA KARIBU KATIKA KAZI ZAKE ZA...

 

11 years ago

Michuzi

DKT. BILAL AHANI MSIBA WA BABA YAKE ROSTAM AZIZI JIJINI DAR LEO

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akisalimiana na Rostam Azizi, wakati alipofika nyumbani kwake Oysterbay jijini Dar es Salaam, leo Mei 31, 2014 kwa ajili ya kumpa pole kwa kufiwa na Baba yake mzazi aliyefariki katikati ya wiki hii.     - Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akijumuika na waombolezaji waliofika  nyumbani kwa Rostam Azizi, Oysterbay jijini Dar es Salaam, leo Mei 31, 2014 kwa ajili ya...

 

11 years ago

Dewji Blog

Makamu wa Rais Dkt. Bilal alipohani msiba wa Baba yake Rostam Azizi Jijini Dar

1

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akisalimiana na Rostam Azizi, wakati alipofika nyumbani kwake Oysterbay jijini Dar es Salaam, jana Mei 31, 2014 kwa ajili ya kumpa pole kwa kufiwa na Baba yake mzazi aliyefariki katikati ya wiki hii. (Picha na OMR).

2

heikh Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Alhad Mussa, akitoa mawaidha wakati wa dua maalum iliyofanyika nyumbani kwa Rostam Azizi Oysterbay kumuombea Baba mzazi wa Rostam, aliyefariki katikati ya wiki...

 

10 years ago

Vijimambo

MABONDIA KUPIMA UZITO IJUMAA STEND YA BAGAMOYO KWA AJILI YA MPAMBANO WA JUMAMOSI

Na Mwandishi Wetu MABONDIA Iddi Pialali wa Kiwangwa Bagamoyo na Adam Ngange wa Chanika Dar es salaam watapima uzito siku ya ijumaa katika stendi kuu ya mabasi Bagamoyo na kupigana siku ya jumamosi ya mei 16 katika ukumbi wa che kwa che

uliopo Bagamoyo mjini ambapo mabondia hawo watamalizia ubishi wao wa nani zaidi kati ya bagamoyo na Chanika

mpambano uho utakaosimamiwa na chama cha ngumi za kulipwa P.S.T litakuwa la raundi sita na kg 61 ambapo kutakuwa na mapambano mengine ya utangulizi siku...

 

11 years ago

GPL

MABONDIA WAPIMA UZITO KWA AJILI YA MPAMBANO WA LEO PTA SABASABA, DAR ES SALAAM

Bondia Sukkasem Kietyongyuth kutoka Thailand kulia akitunishiana misuli na Fransic Miyeyusho baada ya kupima uzito leo kwa ajili ya mpambano wao wa jumamosi ya leo April 19 katika ukumbi wa PTA Sabasaba Dar es salaam Bondia Sukkasem Kietyongyuth kutoka Thailand kulia akitunishiana misuli kwa mkono na Fransic Miyeyusho baada ya kupima uzito leo kwa ajili ya… ...

 

11 years ago

Michuzi

MABONDIA WAPIMA UZITO KWA AJILI YA MPAMBANO WA LEO UKUMBI WA PTA SABASABA, DAR ES SALAAM

Bondia Sukkasem Kietyongyuth  kutoka Thailand kulia akitunishiana misuli na Fransic Miyeyusho baada ya kupima uzito leo kwa ajili ya mpambano wao wa Jumamosi ya leo April 19 katika ukumbi wa PTA Sabasaba Dar es salaam. Bondia Sukkasem Kietyongyuth  kutoka Thailand kulia akitunishiana misuli kwa mkono na Fransic Miyeyusho baada ya kupima uzito leo kwa ajili ya mpambano wao wa Jumamosi ya leo April 19 katika ukumbi wa PTA Sabasaba Dar es salaam  Bondia Sukkasem Kietyongyuth ...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani