MABONDIA KUPIMA UZITO IJUMAA STEND YA BAGAMOYO KWA AJILI YA MPAMBANO WA JUMAMOSI
![](http://4.bp.blogspot.com/-vzGmvROQS_o/UH3BmEjEpjI/AAAAAAAAA78/E_XCPFwzd9s/s72-c/SUPER+D+BOXING+COACH.jpg)
Na Mwandishi Wetu MABONDIA Iddi Pialali wa Kiwangwa Bagamoyo na Adam Ngange wa Chanika Dar es salaam watapima uzito siku ya ijumaa katika stendi kuu ya mabasi Bagamoyo na kupigana siku ya jumamosi ya mei 16 katika ukumbi wa che kwa che
uliopo Bagamoyo mjini ambapo mabondia hawo watamalizia ubishi wao wa nani zaidi kati ya bagamoyo na Chanika
mpambano uho utakaosimamiwa na chama cha ngumi za kulipwa P.S.T litakuwa la raundi sita na kg 61 ambapo kutakuwa na mapambano mengine ya utangulizi siku...
Vijimambo
Habari Zinazoendana
9 years ago
VijimamboMABONDIA KUPIMA UZITO IJUMAA KUPIGANA JUMAMOSI KARIAKOO UHURU WASICHANA
akizungumzia mpambano uho mratibu ambaye pia ni kocha wa kimataifa wa mchezo wa masumbwi nchini Rajabu Mhamila 'Super D' amesema mabondia hawo watapima uzito siku ya ijumaa sdaa tatu asubui kwa ajili ya mpambano wao utakaofanyika jumamosi agost 22
mbali na mabondia...
11 years ago
GPLMABONDIA WAPIMA UZITO KWA AJILI YA MPAMBANO WA LEO PTA SABASABA, DAR ES SALAAM
11 years ago
Michuzi19 Apr
MABONDIA WAPIMA UZITO KWA AJILI YA MPAMBANO WA LEO UKUMBI WA PTA SABASABA, DAR ES SALAAM
10 years ago
Vijimambo27 Sep
MABONDIA WAPIMA UZITO KUPIGANA JUMAMOSI SEPTEMBE 27 LEO
10 years ago
Vijimambo27 Feb
MABONDIA WAPIMA UZITO KUZIPIGA FEB 28 UWANJA WA NDANI WA TAIFA JUMAMOSI
11 years ago
Michuzi12 Apr
MABONDIA MIYEYUSHO, CHEKA, KING CLASS MAWE WAPIMA UZITO KUPAMBANA JUMAMOSI APRIL 12 PTA SABASABA
11 years ago
Mwananchi24 Mar
Mabondia wetu wasipunguze uzito kienyeji