Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Nkone, Lissu, Mwangila waahidi makubwa Tamasha la Amani Dar

 

Mwenyekiti wa maandalizi ya Tamasha la Kuombea Amani katika Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 25, Alex Msama akifafanua jambo kuhusu maandalizi ya tamasha hilo jijini Dar es Salaam. Kushoto ni mwimbaji wa nyimbo za injili, Christopher Mwahangila na Upendo Nkone. (Picha na Francis Dande)
 Mwimbaji wa nyimbo za injili, John Lissu akiimba kwa hisia moja ya nyimbo zake wakati wa mkutano na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam, kuhusu maandalizi ya Tamasha la kuombea Amani Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 25,...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Michuzi

GLOBAL BREAKING, TAMASHA LA JOGGING WAAHIDI MAKUBWA DAR LIVE J’PILI HII

Kutoka kushoto ni mratibu mwenza wa Tamasha la Jogging, Mashauri, Mratibu wa Jogging, KP, Meneja wa Global Publishers, Abdallah Mrisho, Mratibu wa Matukio wa Global, Luqman Maloto na Meneja wa Stamina, Said Ramadhani 'Kabwela'. Abdallah Mrisho akisisitiza jambo katika mkutano huo na waandishi wa habari (hawapo pichani) Mkutano ukiendelea. Waandishi wa habari wakifuatilia mkutano huo. Mwanamuziki wa Bendi ya Msoondo Ngoma, Said Mabela akizungumzia maandalizi yao katika bonanza hilo.

Mambo...

 

11 years ago

GPL

GLOBAL BREAKING, TAMASHA LA JOGGING WAAHIDI MAKUBWA DAR LIVE J’PILI HII

Kutoka kushoto ni mratibu mwenza wa Tamasha la Jogging, Mashauri, Mratibu wa Jogging, KP, Meneja wa Global Publishers, Abdallah Mrisho, Mratibu wa Matukio wa Global, Luqman Maloto na Meneja wa Stamina, Said Ramadhani 'Kabwela'. Abdallah Mrisho akisisitiza jambo katika mkutano huo na waandishi wa habari (hawapo pichani)…

 

9 years ago

Michuzi

UPENDO NKONE ACHOMOZA TAMASHA LA KUOMBEA AMANI KATIKA UCHAGUZI MKUU

indexG MUIMBAJI mahiri wa muziki wa Injili anayetamba katika muziki huo, Upendo Nkone amekubali kushiriki katika Tamasha la Kuombea amani katika uchaguzi Mkuu unaotarajia kufanyika Oktoba 25 mwaka huu.Kwa mujibu wa Mwenyekiti wa Kamati ya Maandalizi ya tamasha hilo, Alex Msama Nkone ni muimbaji wa kwanza wa Tanzania kukubali kushiriki katika tamasha la hilo la Amani linalotarajia kufanyika Oktoba 4.Msama alisema  wanaendelea na mchakato wa kuzungumza na waimbaji wengine ili kuwa na idadi...

 

9 years ago

Michuzi

WASANII WAPANIA MAKUBWA TAMASHA LA AMANI

Na Mwandishi WetuTAMASHA la Amani linatarajiwa kufanyika Oktoba 4, mwaka huu Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam na tayari wasanii mbalimbali wamepania kutoa burudani ya nguvu kwa mashabiki watakaojitokeza.
Taarifa kwa vyombo vya habari iliyotolewa wiki hii na Mwenyekiti wa Kamati ya Maandalizi ya tamasha hilo,Alex Msama ilieleza kuwa wasanii hao wamesema kuna mambo mazuri watayafanya siku hiyo.
Baadhi ya wasanii waliotajwa kwamba watatumbuiza siku hiyo ni Sarah K, John Lissu, Rose Muhando, Upendo...

 

11 years ago

Mwananchi

Mawaziri waahidi makubwa

Baada ya Mawaziri na Manaibu Waziri kuapishwa jana na Rais Jakaya Kikwete, wametoa ahadi lukuki kwa Watanzania kuhusu utendaji wao.

 

11 years ago

Mwananchi

Mawaziri waahidi mambo makubwa

Baada ya Mawaziri na Manaibu Waziri kuapishwa jana na Rais Jakaya Kikwete, wametoa ahadi lukuki kwa Watanzania kuhusu utendaji wao.

 

9 years ago

Habarileo

Upendo Nkone kuombea amani

MWIMBAJI mahiri wa muziki wa Injili anayetamba katika muziki huo, Upendo Nkone amekubali kushiriki katika Tamasha la Kuombea Amani katika Uchaguzi Mkuu unaotarajia kufanyika Oktoba 25, mwaka huu.

 

9 years ago

Michuzi

Upendo Nkone naye ajitosa Tamasha la Krismasi

MWIMBAJI maarufu wa muziki wa Injili Tanzania, Upendo Nkone naye amejitokeza kuwa mmoja wa waimbaji watakaofikisha ujumbe wa Shukrani kwa Mungu katika Sikukuu ya Krismasi kupitia tamasha linalotarajia kufanyika Desemba 25 mwaka huu kwenye ukumbi wa Diamond Jubilee jijini Dar es Salaam.
Kwa mujibu wa Mwenyekiti wa Kamati ya Maandalizi ya tamasha hilo, Alex Msama Kamati imefanikisha makubaliano na mwimbaji huyo.Msama alisema Nkone anaungana na wenzake Rose Muhando, Ephraim Sekeleti...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani