Upendo Nkone naye ajitosa Tamasha la Krismasi
MWIMBAJI maarufu wa muziki wa Injili Tanzania, Upendo Nkone naye amejitokeza kuwa mmoja wa waimbaji watakaofikisha ujumbe wa Shukrani kwa Mungu katika Sikukuu ya Krismasi kupitia tamasha linalotarajia kufanyika Desemba 25 mwaka huu kwenye ukumbi wa Diamond Jubilee jijini Dar es Salaam.
Kwa mujibu wa Mwenyekiti wa Kamati ya Maandalizi ya tamasha hilo, Alex Msama Kamati imefanikisha makubaliano na mwimbaji huyo.Msama alisema Nkone anaungana na wenzake Rose Muhando, Ephraim Sekeleti...
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
VijimamboUPENDO NKONE, MIKE KALAMBAY WANOGESHA TAMASHA LA GOSPEL COLUMBUS, OHIO
9 years ago
Michuzi28 Aug
UPENDO NKONE ACHOMOZA TAMASHA LA KUOMBEA AMANI KATIKA UCHAGUZI MKUU
11 years ago
MichuziUpendo Nkone, Kilahiro, Voice of Acapela, Sarah K wachomoza Tamasha la Pasaka
Kwa mujibu Mwenyekiti wa Kamati ya maandalizi ya Tamasha hilo, Alex Msama waimbaji hao wamepata nafasi hiyo kupitia mfumo wa upigaji kura kupitia ujumbe mfupi wa maandishi ya simu za mkononi.
Msama aliwataja waimbaji hao kuwa ni pamoja na Upendo...
11 years ago
GPLUPENDO NKONE ANUSURIKA KULAANIWA
9 years ago
Habarileo29 Aug
Upendo Nkone kuombea amani
MWIMBAJI mahiri wa muziki wa Injili anayetamba katika muziki huo, Upendo Nkone amekubali kushiriki katika Tamasha la Kuombea Amani katika Uchaguzi Mkuu unaotarajia kufanyika Oktoba 25, mwaka huu.
10 years ago
Mtanzania21 May
Upendo Nkone: Umaarufu ni shida, mateso
NA RHOBI CHACHA
MWIMBAJI mahiri wa nyimbo za injili, Upendo Nkone, amesema umaarufu kwa wasanii ni mateso kwa kuwa humjengea woga msanii kufanya jambo lolote popote hata kama moyo wake unapenda.
Upendo alieleza kwamba, msanii maarufu anapofanya jambo tofauti jamii humchukulia tofauti hali inayofanya ashindwe ama afikie mafanikio kwa mateso makubwa ya kutafuta kimya kimya.
“Umaarufu kwa msanii ni mzuri lakini ni mateso, uzuri ni kwa kuwa unarahisisha kazi zako lakini ni mateso kwa namna...
10 years ago
MichuziUpendo Nkone kumsindikiza Bonny Mwaitege
Kwa mujibu wa Mkurugenzi wa Kampuni ya Msama Promotions, Alex Msama Nkone amekuwa wa kwanza na ameonesha nia ya kumsindikiza Mwaitege kwa sababu ya ubora wa uzinduzi huo. “Uzinduzi wa Mwaitege utakuwa ni wa aina yake kwa sababu maandalizi yake kwa yamefanywa kwa ustadi mkubwa hasa...
11 years ago
MichuziUpendo Nkone kumsindikiza Rose Muhando
MWIMBAJI mahiri wa nyimbo za Injili, Upendo Nkone ni miongoni mwa wasanii watakaosindikiza uzinduzi wa albamu ya Rose Muhando.Muhando anatarajia kuzindua albamu hiyo Agosti 3, mwaka huu ukumbi wa Diamond Jubilee, Dar es Salaam na kuendelea katika mikoa mbalimbali nchini ukiwemo Mwanza Uwanja wa CCM Kirumba, Agosti 10. Akizungumza na gazeti hili, Muhando alisema Nkone tayari amekubali kushiriki katika uzinduzi huo na ana matumaini litakuwa tamasha la aina yake.Nkone ametamba na albamu...