Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Upendo Nkone: Umaarufu ni shida, mateso

nkoneeNA RHOBI CHACHA
MWIMBAJI mahiri wa nyimbo za injili, Upendo Nkone, amesema umaarufu kwa wasanii ni mateso kwa kuwa humjengea woga msanii kufanya jambo lolote popote hata kama moyo wake unapenda.
Upendo alieleza kwamba, msanii maarufu anapofanya jambo tofauti jamii humchukulia tofauti hali inayofanya ashindwe ama afikie mafanikio kwa mateso makubwa ya kutafuta kimya kimya.
“Umaarufu kwa msanii ni mzuri lakini ni mateso, uzuri ni kwa kuwa unarahisisha kazi zako lakini ni mateso kwa namna...

Mtanzania

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Habarileo

Upendo Nkone kuombea amani

MWIMBAJI mahiri wa muziki wa Injili anayetamba katika muziki huo, Upendo Nkone amekubali kushiriki katika Tamasha la Kuombea Amani katika Uchaguzi Mkuu unaotarajia kufanyika Oktoba 25, mwaka huu.

 

11 years ago

GPL

UPENDO NKONE ANUSURIKA KULAANIWA

Makala: Gabriel Ng’osha
UKISIKILIZA wimbo wake wa Hapa Nilipo, Usinipite Bwana, Usifurahi Juu Yangu na Upendo wa Yesu, hakika utagundua kwamba kuna kitu Mungu amekiweka katika ubongo wa mwimba  wa nyimbo za Injili mahiri nchini, Upendo Nkone. Mwimbaji mahiri wa nyimbo za Injili nchini, Upendo Nkone. Ana sauti nzuri, nyimbo zake zinagusa wengi kutokana na ujumbe mzito ambao Mungu amemtumia ahubiri Injili kwa watu...

 

11 years ago

Michuzi

Upendo Nkone kumsindikiza Rose Muhando


MWIMBAJI mahiri wa nyimbo za Injili, Upendo Nkone ni miongoni mwa wasanii watakaosindikiza uzinduzi wa albamu ya Rose Muhando.Muhando anatarajia kuzindua albamu hiyo Agosti 3, mwaka huu ukumbi wa Diamond Jubilee, Dar es Salaam na kuendelea katika mikoa mbalimbali nchini ukiwemo Mwanza Uwanja wa CCM Kirumba, Agosti 10.  Akizungumza na gazeti hili,  Muhando alisema Nkone tayari amekubali kushiriki katika uzinduzi huo na ana matumaini litakuwa tamasha la aina yake.Nkone ametamba na albamu...

 

10 years ago

Michuzi

Upendo Nkone kumsindikiza Bonny Mwaitege

MWIMBAJI nguli wa muziki wa Injili Tanzania, Upendo Nkone amekuwa wa kwanza kujitokeza kusindikiza uzinduzi wa mwenzake Bonny Mwaitege, utakaofanyika Agosti 2 kwenye ukumbi wa Diamond Jubilee jijini Dar es Salaam.
Kwa mujibu wa Mkurugenzi wa Kampuni ya Msama Promotions,  Alex Msama Nkone amekuwa wa kwanza na ameonesha nia ya kumsindikiza Mwaitege kwa sababu ya ubora wa uzinduzi huo. “Uzinduzi wa Mwaitege utakuwa ni wa aina yake kwa sababu maandalizi yake kwa yamefanywa kwa ustadi mkubwa  hasa...

 

11 years ago

GPL

UPENDO NKONE AOTESHWA NYIMBO, AANZA KUIMBA - 3

Makala: Gabriel Ng’osha
TUNAENDELEA na Exclusive Interview ya Upendo Nkone ambayo tumeianza wiki mbili zilizopita.Wiki iliyopita tuliishia pale alipojibu swali la kitu gani ambacho kimemuumiza zaidi maishani, Upendo alisema ni kuondokewa na mume wake kipenzi, Mchungaji Mbeyela hadi kutoa maneno makali yaliyoashiria kumkufuru Mungu.TUENDELEE… Mwimbaji wa nyimbo za Injili Bongo,Upendo Nkone.
Mwandishi: Huoni...

 

9 years ago

Michuzi

Upendo Nkone naye ajitosa Tamasha la Krismasi

MWIMBAJI maarufu wa muziki wa Injili Tanzania, Upendo Nkone naye amejitokeza kuwa mmoja wa waimbaji watakaofikisha ujumbe wa Shukrani kwa Mungu katika Sikukuu ya Krismasi kupitia tamasha linalotarajia kufanyika Desemba 25 mwaka huu kwenye ukumbi wa Diamond Jubilee jijini Dar es Salaam.
Kwa mujibu wa Mwenyekiti wa Kamati ya Maandalizi ya tamasha hilo, Alex Msama Kamati imefanikisha makubaliano na mwimbaji huyo.Msama alisema Nkone anaungana na wenzake Rose Muhando, Ephraim Sekeleti...

 

11 years ago

GPL

UPENDO NKONE AJIFUNGIA CHOONI KUKWEPA HESABU DARASANI - 2

Na Gbriel Ng’osha
WIKI iliyopita tuliyaanza makala haya kwa kutazama baadhi ya hatua ambazo mwanamuziki mahiri wa muziki wa Injili Upendo Nkone ameyapitia kwa mfumo wa maswali na majibu. Kwa tuliokuwa pamoja tuliishia pale Upendo alipokuwa ameiba fedha ya ambayo bibi yake aliitenga kwa ajili ya kutoa sadaka ya fungu la kumi. Akatishia kumpa laana mtu ambaye ameiba hiyo fedha lakini bahati nzuri Upendo aliirudisha, laana...

 

11 years ago

GPL

UPENDO NKONE AKITOA MATUMAINI NDANI YA UWANJA WA TAIFA

Mwimbaji wa Injili, Upendo Nkone akiwapa matumaini wananchi waliohudhuria Usiku wa Matumaini muda huu ndani ya Uwanja wa Taifa jijini Dar. Upendo Nkone akiwapa burudani wapenzi wa Gospel ndani ya Tamasha la Matumaini 2014.…

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani