Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Upendo Nkone kumsindikiza Bonny Mwaitege

MWIMBAJI nguli wa muziki wa Injili Tanzania, Upendo Nkone amekuwa wa kwanza kujitokeza kusindikiza uzinduzi wa mwenzake Bonny Mwaitege, utakaofanyika Agosti 2 kwenye ukumbi wa Diamond Jubilee jijini Dar es Salaam.
Kwa mujibu wa Mkurugenzi wa Kampuni ya Msama Promotions,  Alex Msama Nkone amekuwa wa kwanza na ameonesha nia ya kumsindikiza Mwaitege kwa sababu ya ubora wa uzinduzi huo. “Uzinduzi wa Mwaitege utakuwa ni wa aina yake kwa sababu maandalizi yake kwa yamefanywa kwa ustadi mkubwa  hasa...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

Waimbaji wa ndani waomba kumsindikiza Bonny Mwaitege

IDADI kubwa ya waimbaji  wa nyimbo za Injili Tanzania wameonesha nia ya kumsindikiza mwenzao, Bonny Mwaitege anayetarajia kuzindua albamu yake Agosti 2 mwaka huu.
Uzinduzi huo unaotarajia kufanyika kwenye ukumbi wa Diamond Jubilee jijini Dar es Salaam ambao utashirikisha albamu tatu za muimbaji huyo zinazoendelea kurekodiwa jijini Mwanza.
Kwa mujibu wa Mkurugenzi wa Kampuni ya Msama Promotions, Alex Msama hivi sasa utaratibu wa kurekodi albamu hizo unaendelea jijini Mwanza. Msama aliyezungumza...

 

10 years ago

Michuzi

UPENDO KILAHIRO KUMPIGA TAFU BONNY MWAITEGE

MUIMBAJI  mahiri wa muziki wa Injili Tanzania anayeshika kasi katika anga la muziki huo Afrika Mashariki na Kati, Upendo Kilahiro anatarajia kumsindikiza mwenzake Bonny Mwaitege anayetarajia kuzindua albamu tatu mfululizo, uzinduzi unaotarajia kufanyika Agosti 2.  
Kwa mujibu wa Mkurugenzi wa Msama Promotions, Alex Msama, Kilahiro ataungana na Kwaya ya Wakorintho wa pili ya Mufindi mkoani Iringa.Msama alisema Kwaya hiyo ni mojawapo  ya watakaomsindikiza mwimbaji huyo kwa sababu hivi sasa...

 

11 years ago

Michuzi

Upendo Nkone kumsindikiza Rose Muhando


MWIMBAJI mahiri wa nyimbo za Injili, Upendo Nkone ni miongoni mwa wasanii watakaosindikiza uzinduzi wa albamu ya Rose Muhando.Muhando anatarajia kuzindua albamu hiyo Agosti 3, mwaka huu ukumbi wa Diamond Jubilee, Dar es Salaam na kuendelea katika mikoa mbalimbali nchini ukiwemo Mwanza Uwanja wa CCM Kirumba, Agosti 10.  Akizungumza na gazeti hili,  Muhando alisema Nkone tayari amekubali kushiriki katika uzinduzi huo na ana matumaini litakuwa tamasha la aina yake.Nkone ametamba na albamu...

 

10 years ago

Michuzi

kwaya ya kijitonyama kumpiga tafu Bonny mwaitege

KWAYA ya Uinjilisti ya Kijitonyama imechomoza kumsindikiza mwimbaji nguli wa muziki wa Injili Tanzania Bonny Mwaitege anayetarajia kuzindua albamu tatu, uzinduzi unaotarajia kufanyika Agosti 2 kwenye ukumbi wa Diamond Jubilee jijini Dar es Salaam. Sambamba na Kwaya hiyo  pia uzinduzi huo utasindikizwa na mwimbaji mwingine mahiri Afrika Mashriki na Kati, Joshua Mlelwa ambaye ni machachari zaidi awapo jukwaani. Kwa mujibu wa Mkurugenzi wa Msama Promotions, Alex Msama  uzinduzi huo ...

 

10 years ago

Michuzi

MAASKOFU WABARIKI UZINDUZI WA ALBAMU YA BONNY MWAITEGE

indexVIONGOZI wa dini wakiwemo Maaskofu na Wachungaji wa Makanisa mbalimbali hapa nchini wamebariki uzinduzi wa albamu tatu za mwimbaji mahiri wa muziki wa Injili hapa nchini Bonny Mwaitege, unaotarajia kufanyika Agosti 2 kwenye ukumbi wa Diamond Jubilee jijini Dar es Salaam.
Kwa mujibu wa Mkurugenzi wa Kampuni ya Msama Promotions, Alex Msama sababu za viongozi hao wa dini kutoa baraka kwa albamu hizo ni kutokana na umahiri wa muimbaji huyo.
Msama alisema amepokea baraka hizo kutoka kwa viongozi...

 

10 years ago

Michuzi

Danny Bulenge: Naweza kumsindikiza Mwaitege

Mkurugenzi wa Msama Promotions, Alex Msama MUIMBAJI wa Muziki wa Injili anayekuja kasi katika muziki huo, Danny Bulenge amesema anakidhi kuwa mmoja wa watakaomsindikiza mwenzake Bonni Mwaitege uzinduzi unaotarajia kufanyika Agosti 2 mwaka huu.Kwa mujibu wa Bulenge anakidhi kumsindikiza Mwaitege anayetarajia kuzindua albamu tatu ambazo ni moto wa kuotea mbali katika muziki huo.Bulenge alisema hivi sasa anaendelea na mazoezi kwa lengo la kufikisha ujumbe wa neno la Mungu na kuahidi kusindikiza...

 

10 years ago

GPL

ROSE MUHANDO, BONNY MWAITEGE NA GASTON SAPULA WATINGA OFISI ZA RADIO KASIBANTE

Msanii wa muziki wa Injili, Bonny Mwaitege (kulia) akisalimia na Mtangazaji  wa Radio Kasibante Mwl. Joyce Ruboz mapema leo katika kipindi cha Gospal Flava cha Kasibante FM 88.5.
Mtumishi wa Mungu na muimbaji wa nyimbo za Injili,  Rose Muhando akiwa kwenye studio za radio Kasibante FM 88.5 akionekana mwingi wa furaha wakati akihojiwa na mtangazaji (hayupo pichani)  wa  kipindi cha Gospal… ...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani