kwaya ya kijitonyama kumpiga tafu Bonny mwaitege
![](http://4.bp.blogspot.com/-g779p4aoLDQ/Va4svUc41OI/AAAAAAAC83Y/iprNC0KaCEg/s72-c/p.txt.jpg)
KWAYA ya Uinjilisti ya Kijitonyama imechomoza kumsindikiza mwimbaji nguli wa muziki wa Injili Tanzania Bonny Mwaitege anayetarajia kuzindua albamu tatu, uzinduzi unaotarajia kufanyika Agosti 2 kwenye ukumbi wa Diamond Jubilee jijini Dar es Salaam. Sambamba na Kwaya hiyo pia uzinduzi huo utasindikizwa na mwimbaji mwingine mahiri Afrika Mashriki na Kati, Joshua Mlelwa ambaye ni machachari zaidi awapo jukwaani. Kwa mujibu wa Mkurugenzi wa Msama Promotions, Alex Msama uzinduzi huo ...
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-lQ-IMDAM97Q/VZ4vEqafLhI/AAAAAAAC8X4/IOMvZWQ_nOs/s72-c/upendo2.jpg)
UPENDO KILAHIRO KUMPIGA TAFU BONNY MWAITEGE
![](http://3.bp.blogspot.com/-lQ-IMDAM97Q/VZ4vEqafLhI/AAAAAAAC8X4/IOMvZWQ_nOs/s320/upendo2.jpg)
Kwa mujibu wa Mkurugenzi wa Msama Promotions, Alex Msama, Kilahiro ataungana na Kwaya ya Wakorintho wa pili ya Mufindi mkoani Iringa.Msama alisema Kwaya hiyo ni mojawapo ya watakaomsindikiza mwimbaji huyo kwa sababu hivi sasa...
10 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-2EJLpT64Zi8/VZVMD2UCcaI/AAAAAAAC8HE/I0XpW_yOf14/s72-c/Upendo%2BNkone.jpg)
Upendo Nkone kumsindikiza Bonny Mwaitege
![](http://1.bp.blogspot.com/-2EJLpT64Zi8/VZVMD2UCcaI/AAAAAAAC8HE/I0XpW_yOf14/s320/Upendo%2BNkone.jpg)
Kwa mujibu wa Mkurugenzi wa Kampuni ya Msama Promotions, Alex Msama Nkone amekuwa wa kwanza na ameonesha nia ya kumsindikiza Mwaitege kwa sababu ya ubora wa uzinduzi huo. “Uzinduzi wa Mwaitege utakuwa ni wa aina yake kwa sababu maandalizi yake kwa yamefanywa kwa ustadi mkubwa hasa...
10 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-w8U2fm0AxWE/VYwiE1I-ANI/AAAAAAAC7b0/PcGZ9uZ6xVw/s72-c/10853650_783884661659685_182485499_o.jpg)
Waimbaji wa ndani waomba kumsindikiza Bonny Mwaitege
![](http://4.bp.blogspot.com/-w8U2fm0AxWE/VYwiE1I-ANI/AAAAAAAC7b0/PcGZ9uZ6xVw/s320/10853650_783884661659685_182485499_o.jpg)
Uzinduzi huo unaotarajia kufanyika kwenye ukumbi wa Diamond Jubilee jijini Dar es Salaam ambao utashirikisha albamu tatu za muimbaji huyo zinazoendelea kurekodiwa jijini Mwanza.
Kwa mujibu wa Mkurugenzi wa Kampuni ya Msama Promotions, Alex Msama hivi sasa utaratibu wa kurekodi albamu hizo unaendelea jijini Mwanza. Msama aliyezungumza...
10 years ago
Michuzi24 Jun
MAASKOFU WABARIKI UZINDUZI WA ALBAMU YA BONNY MWAITEGE
![index](http://www.fullshangweblog.com/wp-content/uploads/2015/06/index25.jpg)
Kwa mujibu wa Mkurugenzi wa Kampuni ya Msama Promotions, Alex Msama sababu za viongozi hao wa dini kutoa baraka kwa albamu hizo ni kutokana na umahiri wa muimbaji huyo.
Msama alisema amepokea baraka hizo kutoka kwa viongozi...
10 years ago
GPL![](https://images-blogger-opensocial.googleusercontent.com/gadgets/proxy?url=http%3A%2F%2F1.bp.blogspot.com%2F-7PJ85noR32U%2FVIQaYXaSK9I%2FAAAAAAAAYdY%2F0UXMvsQJAr0%2Fs1600%2F10844541_783456441702507_707133171_o.jpg&container=blogger&gadget=a&rew)
ROSE MUHANDO, BONNY MWAITEGE NA GASTON SAPULA WATINGA OFISI ZA RADIO KASIBANTE
10 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-PUR_CiKR8wE/VbXhrGut2OI/AAAAAAAC8_g/FFrUrK3xs70/s72-c/68408-2.jpg)
BONNY MWAITEGE KUZINDUA ALBAMU TATU KWA MPIGO AGOSTI 2 JIJINI DAR
![](http://4.bp.blogspot.com/-PUR_CiKR8wE/VbXhrGut2OI/AAAAAAAC8_g/FFrUrK3xs70/s640/68408-2.jpg)
Kwa mujibu wa Msama ambaye ni mdhamini wa uzinduzi huo, Maaskofu watafikisha ujumbe wa neno la Mungu kwa karibu zaidi baada ya waimbaji kumaliza kazi yao jukwaani.
Msama alisema uzinduzi huo unatarajia kusindikizwa na waimbaji mbalimbali wa...
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/pBrEDFyKDmNGI*NjgGIQGQFvPRXfAig8UC4VYvHxgcTeNWAA3nAHPipyChTZdgBGTi-Z8FCZRRkMUfSvAxEbcUnR*6ZbjT7q/17.jpg?width=650)
AIRTEL FURSA YATUMIA ZAIDI YA MILIONI 3 KUMPIGA TAFU MJASILIAMALI MWINGINE
10 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/--I0FqnOl0i8/VZOU1dM2D8I/AAAAAAAHmHQ/4EMmq8jci-0/s72-c/unnamed%2B%252834%2529.jpg)
Airtel Fursa Yatumia zaidi ya milioni 3 kumpiga tafu mjasiliamali mwingine - Airtel Fursa wiki hii kuwafaidisha mamia ya vijana Mwanza
![](http://4.bp.blogspot.com/--I0FqnOl0i8/VZOU1dM2D8I/AAAAAAAHmHQ/4EMmq8jci-0/s640/unnamed%2B%252834%2529.jpg)
![](http://2.bp.blogspot.com/-NLAxHtDkgT4/VZOU4trpdDI/AAAAAAAHmHg/UKCqdnXBI8o/s640/unnamed%2B%252835%2529.jpg)