Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


AIRTEL FURSA YATUMIA ZAIDI YA MILIONI 3 KUMPIGA TAFU MJASILIAMALI MWINGINE‏

Meneja Huduma kwa Jamii wa Airtel Tanzania, Hawa Bayumi (kulia), akiwa na kijana Mariam Mrisho (wa pili kulia) aliyewezeshwa na Airtel Fursa-Tunakuwezesha vifaa mbalimbali na jokufu kwa ajili ya kumsaidia katika biashara yake ya mama lishe na kutengeneza vitafunwa na juisi Dar es Salaam jana. Wa tatu kushoto ni mama wa Mariam Mrisho, Amina Lugome. Wengine ni ndugu zake Mrisho. Meneja Huduma kwa Jamii wa Airtel Tanzania, Hawa...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

Airtel Fursa Yatumia zaidi ya milioni 3 kumpiga tafu mjasiliamali mwingine - Airtel Fursa wiki hii kuwafaidisha mamia ya vijana Mwanza

 Meneja Huduma kwa Jamii wa Airtel Tanzania, Hawa Bayumi (kulia), akiwa na kijana Mariam Mrisho (wa pili kulia) aliyewezeshwa na Airtel Fursa-Tunakuwezesha vifaa mbalimbali na jokufu kwa ajili ya kumsaidia katika biashara yake ya mama lishe na kutengeneza vitafunwa na juisi Dar es Salaam jana. Wa tatu kushoto ni mama wa Mariam Mrisho, Amina Lugome. Wengine ni ndugu zake Mrisho. Meneja Huduma kwa Jamii wa Airtel Tanzania, Hawa Bayumi (katikati), akimkabidhi jokofu kijana Mariam Mrisho (wa...

 

10 years ago

GPL

AIRTEL FURSA YAMUWEZESHA KIJANA MWINGINE KUTOKA MKOA WA MWANZA

Meneja huduma kwa jamii  Hawa Bayumi akisalimiana na Innocent Kipondya, kijana aliyewezeshwa na Airtel kupitia mradi wake wa Airtel Fursa Katika kijiji cha Mabanda wilaya ya Misungwi mkoani Mwanza. Huku wakishuhudiwa na ndugu wa Innocent na wafanyakazi wa Airtel mara baada ya kukabidhiwa zawadi ya generator, pampu ya maji na vifaa vingine vya Kilimo. Wafanyakazi wa Airtel wakibeba zawadi kwa ajili ya kijana Innocent Kipondya...

 

10 years ago

GPL

AIRTEL YAITAMBULISHA PROMOSHENI YA AIRTEL YATOSHA ZAIDI KWA WAKAZI WA ARUSHA‏


 Meneja Mauzo kanda ya kaskazini Bwana Brighton Majwala akiongea na waandishi wa habari wakati wa kuitambulisha promosheni ya Airtel Yatosha Zaidi Mkoani Arusha , wakishuhudia (katika) Afisa Uhusiano wa Airtel Bi Jane Matinde  akifatiwa na Afisa Masoko wa Airtel Bi Rebecca Mauma

 Meneja Mauzo kanda…

 

10 years ago

Michuzi

VIJANA WAJASILIAMALI ZAIDI YA 650 WAKWAMLIWA KIUCHUMI NA AIRTEL FURSA

 Mkurugenzi Mkuu wa kampuni ya Solution Blocks, Msomisi Mbenna akiwakaribisha wageni katika semina ya kuhamasisha makampuni mbalimbli  kukabiriana na ukosefu wa ajira hapa nchini ili kumwezesha kijana mjasiliamali kujikwamua kiuchumi katika mkutano uliofanyika katika hoteli ya Colosseum jijini Dar es Salaam jana. Baadhi ya washiriki wa Mkutano ulioandaliwa na kampuni ya Solution Blocks wakimsikilizaMeneja wa huduma za jamii-Airtel Hawa Bayuni akielezea jinsi AIRTEL FURSA ilivyokwamua...

 

9 years ago

GPL

AIRTEL FURSA YAENDELEA KUKWAMUA VIJANA HAPA NCHINI‏

Mkufunzi kutoka Chuo cha Utumishi wa Umma Tawi la Tanga,Hassani Juma Hassani akitoa mada wakati wa semina ya Airtel Fursa ilivyofanyika hivi karibuni kwenye ukumbi wa YDCP mkoani Tanga. Meneja mauzo wa Airtel Mkoa wa Tanga, Aluta Kweka akizungumza na wauzaji wa bidhaa za kampuni hiyo wakati wa semina ya Airtel Fursa ilivyofanyika hivi karibuni kwenye ukumbi wa YDCP mkoani Tanga.… ...

 

9 years ago

GPL

VIJANA MTWARA WAENDELEA KUWEZESHWA KUPITIA AIRTEL FURSA‏

Meneja wa Huduma kwa Jamii wa Airtel, Hawa Bayumi (kushoto), akimkabidhi kijana Prisca George Chilumba, msaada wa vifaa mbali mbali vya saluni ya wanawake kupitia mpango wa Airtel ‘Fursa Tunakuwezesha’, katika hafla fupi iliyofanyika kwenye sehemu yake ya biashara iliyokarabatiwa na Airtel katika Mtaa wa Ligula, Manispaa ya Mtwara jana. Wanaoshuhudia ni Meneja wa Airtel Mtwara, Bartholomew Masatu (wa pili kushoto) na...

 

10 years ago

GPL

MSHINDI MWINGINE WA MILIONI 100 ZA JAYMILLIONS AKABIDHIWA KITITA CHAKE‏

Mshindi wa kitita cha shilingi milioni 100/- kupitia promosheni ya JayMillions inayoendeshwa na Vodacom Tanzania, Hamisi Khalid (kushoto) mkazi wa Mtwara akifafanua jambo kwa waandishi wa habari(hawapo pichani) wakati wa hafla ya kukabidhiwa hundi yake na Mkuu wa Kitengo cha Uhusiano na Mawasiliano wa Vodacom Tanzania, Rosalynn Mworia (kulia) baada ya kuibuka mshindi wa kitita hicho kupitia promosheni hiyo hafla hiyo ilifanyika...

 

10 years ago

Michuzi

kwaya ya kijitonyama kumpiga tafu Bonny mwaitege

KWAYA ya Uinjilisti ya Kijitonyama imechomoza kumsindikiza mwimbaji nguli wa muziki wa Injili Tanzania Bonny Mwaitege anayetarajia kuzindua albamu tatu, uzinduzi unaotarajia kufanyika Agosti 2 kwenye ukumbi wa Diamond Jubilee jijini Dar es Salaam. Sambamba na Kwaya hiyo  pia uzinduzi huo utasindikizwa na mwimbaji mwingine mahiri Afrika Mashriki na Kati, Joshua Mlelwa ambaye ni machachari zaidi awapo jukwaani. Kwa mujibu wa Mkurugenzi wa Msama Promotions, Alex Msama  uzinduzi huo ...

 

10 years ago

Michuzi

UPENDO KILAHIRO KUMPIGA TAFU BONNY MWAITEGE

MUIMBAJI  mahiri wa muziki wa Injili Tanzania anayeshika kasi katika anga la muziki huo Afrika Mashariki na Kati, Upendo Kilahiro anatarajia kumsindikiza mwenzake Bonny Mwaitege anayetarajia kuzindua albamu tatu mfululizo, uzinduzi unaotarajia kufanyika Agosti 2.  
Kwa mujibu wa Mkurugenzi wa Msama Promotions, Alex Msama, Kilahiro ataungana na Kwaya ya Wakorintho wa pili ya Mufindi mkoani Iringa.Msama alisema Kwaya hiyo ni mojawapo  ya watakaomsindikiza mwimbaji huyo kwa sababu hivi sasa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani