Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


AIRTEL FURSA YAMUWEZESHA KIJANA MWINGINE KUTOKA MKOA WA MWANZA

Meneja huduma kwa jamii  Hawa Bayumi akisalimiana na Innocent Kipondya, kijana aliyewezeshwa na Airtel kupitia mradi wake wa Airtel Fursa Katika kijiji cha Mabanda wilaya ya Misungwi mkoani Mwanza. Huku wakishuhudiwa na ndugu wa Innocent na wafanyakazi wa Airtel mara baada ya kukabidhiwa zawadi ya generator, pampu ya maji na vifaa vingine vya Kilimo. Wafanyakazi wa Airtel wakibeba zawadi kwa ajili ya kijana Innocent Kipondya...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

Airtel Fursa Yatumia zaidi ya milioni 3 kumpiga tafu mjasiliamali mwingine - Airtel Fursa wiki hii kuwafaidisha mamia ya vijana Mwanza

 Meneja Huduma kwa Jamii wa Airtel Tanzania, Hawa Bayumi (kulia), akiwa na kijana Mariam Mrisho (wa pili kulia) aliyewezeshwa na Airtel Fursa-Tunakuwezesha vifaa mbalimbali na jokufu kwa ajili ya kumsaidia katika biashara yake ya mama lishe na kutengeneza vitafunwa na juisi Dar es Salaam jana. Wa tatu kushoto ni mama wa Mariam Mrisho, Amina Lugome. Wengine ni ndugu zake Mrisho. Meneja Huduma kwa Jamii wa Airtel Tanzania, Hawa Bayumi (katikati), akimkabidhi jokofu kijana Mariam Mrisho (wa...

 

10 years ago

Michuzi

AIRTEL FURSA "TUNAKUWAWEZESHA" YAMUWEZESHA FUNDI NGUO, BETHA BENEDICT MKAZI WA BUNJU JIJINI DAR

????????????????????????????????????Meneja Huduma kwa Jamii wa Airtel Tanzania, Hawa Bayumi (kulia), akizungumza wakati wa hafla ya kukabdhi mashine ya cherehani yakushonea nguo kwa fundi wa kushona nguo, Betha Benedict mkazi wa Bunju Jijini Dar es Salaam baada ya kuwezeshwa na mpango wa Airtel Fursa “Tunakuwezesha” (katikati), Betha Benedict aliyewezeshwa na mpango huo, na kushoto ni mama yake Betha Benedict.????????????????????????????????????Mama yake Betha akiishukuru Kampuni ya Airtel kwakumuwezesha Mwanae kwakupitia mpango wa Airtel Fursa “Tunakuwezesha”????????????????????????????????????

 

10 years ago

Michuzi

KIJANA MFUGAJI AWEZESHWA NA AIRTEL FURSA

  Meneja wa Huduma kwa Jamii wa Airtel, Hawa Bayumi (kulia), akikata utepe kuashiria kumkabidhi kijana Jonathan Tarimo (wa pili kulia), msaada wa Zizi jipya na Ng’ombe wawili wa maziwa kupitia mpango wa Airtel ‘Fursa Tunakuwezesha’, katika Kijiji cha Migungani ‘B’ wilayani Monduli mkoa wa Arusha jana. Wanaoshuhudia (kutoka kushoto) ni Baba mzazi wa kijana huyo, Clemence Tarimo na Mratibu wa Masoko wa Airtel wilaya ya Monduli, Polas Emmanuel. 1) Meneja wa Huduma kwa Jamii wa Airtel, Hawa...

 

10 years ago

Michuzi

AIRTEL FURSA YAMWEZESHA KIJANA MFUGA KUKU

 Meneja huduma za jamii wa Airtel, Hawa Bayumi (Kulia) akiongea na waandishi wa habari , baada ya kumkabidhi Mohamed Said (Kushoto) banda la kuku la kisasa pamoja na kuku wa kienyeji kutoka Airtel Tanzania kupitia mpango wake wa Airtel Fursa, wenye dhamira ya kuwawezesha vijana.
 Mohamed Said akiwalisha kuku baada ya kukabidhiwa banda la kuku la kisasa pamoja na kuku wa kienyeji kutoka Airtel Tanzania kupitia mpango wake wa Airtel Fursa, wenye dhamira ya kuwawezesha vijana. Meneja huduma za...

 

9 years ago

Michuzi

AIRTEL FURSA YABADILISHA MAISHA YA KIJANA MFUGA KUKU.


Afisa Uhusiano wa Airtel, Dangio Kaniki (kushoto) na Meneja uhusiano wa Airtel, Jackson Mmbando (katikati) wakipima uzito wa kuku wa kienyeji wanaofugwa kisasa na kijana Mohamed Kigumi (kulia), anayeishi Kiluvyia jijini Dar Es Salaam baada baada ya kutembelewa nyumbani kwao na kuona maendeleo aliyoyapata baada ya kuwezeshwa na Airtel kupitia mpango wa Airtel ‘Fursa Tunakuwezesha’ miezi sita iliyopita.Afisa Uhusiano wa Airtel, Dangio Kaniki (kulia) na Meneja uhusiano wa Airtel, Jackson...

 

10 years ago

GPL

AIRTEL FURSA YATUMIA ZAIDI YA MILIONI 3 KUMPIGA TAFU MJASILIAMALI MWINGINE‏

Meneja Huduma kwa Jamii wa Airtel Tanzania, Hawa Bayumi (kulia), akiwa na kijana Mariam Mrisho (wa pili kulia) aliyewezeshwa na Airtel Fursa-Tunakuwezesha vifaa mbalimbali na jokufu kwa ajili ya kumsaidia katika biashara yake ya mama lishe na kutengeneza vitafunwa na juisi Dar es Salaam jana. Wa tatu kushoto ni mama wa Mariam Mrisho, Amina Lugome. Wengine ni ndugu zake Mrisho. Meneja Huduma kwa Jamii wa Airtel Tanzania, Hawa...

 

10 years ago

Michuzi

AIRTEL FURSA YATUA MWANZA

 Meneja Uhusiano wa Airtel Tanzania Jackson Mmbando akiongea na vijana
wa Mwanza wakati wa uzinduzi  wa warsha maalum kwa vijana  ya'Airtel
Fursa'  kutoka Airtel Tanzania yenye lengo la kuwawezesha Vijana
wajasiliamali nchini iliyofanyika katika ukumbi wa Halmashauri ya jiji
Mwanza. Baadhi ya vijana wa mwanza wakifuatilia kwa makini mafunzo yalikuwa
yakiendeshwa na Airtel Fursa yenye lengo la kuwawezesha vijana kupata
mafunzo kwenye usimamizi wa fedha, upatikanaji wa mikopo, kufungua
akaunti ya...

 

10 years ago

GPL

AIRTEL FURSA YAZINDULIWA NA WARSHA MKOANI MWANZA

Meya Stanslaus Mabula akiongea na vijana jijini Mwanza wakati wa uzinduzi wa warsha maalum kwa vijana ya 'Airtel Fursa' kutoka Airtel Tanzania yenye lengo la kuwawezesha Vijana wajasiliamali nchini iliyofanyika katika Ukumbi wa Halmashauri ya Jiji Mwanza. Meneja Uhusiano wa Airtel Tanzania Jackson Mmbando akiongea na vijana wa Mwanza wakati wa uzinduzi wa warsha hiyo.… ...

 

9 years ago

Michuzi

AIRTEL FURSA YAENDELEA KUKWAMUA VIJANA HAPA NCHINI: Vijana wa Tanga wanufaika na mafunzo ya ujasiriamali kupitia Airtel Fursa

Wafanyabishara wadogo na wa kati zaidi ya 300 waliopo katika wilaya mbali mbali mkoani Tanga wameongezewa ujuzi wa elimu ya biashara ili waweze kufanya shughuli zao kwa ufanisi na kuweza kuongezaza kipato chao na kuchangia pato la taifa.  Kampuni ya Airtel Tanzania, kupitia mpango wake wa “Airtel Fursa Tunakuwezesha” imewapatia mafunzo ya ujasiriamali vijana wa manispaa ya Tanga kwa lengo la kuwawezesha kuboresha uendeshaji biashara na kukuza mitaji yao katika warsha iliyofanyika katika...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani