Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


AIRTEL FURSA YATUA MWANZA

 Meneja Uhusiano wa Airtel Tanzania Jackson Mmbando akiongea na vijana
wa Mwanza wakati wa uzinduzi  wa warsha maalum kwa vijana  ya'Airtel
Fursa'  kutoka Airtel Tanzania yenye lengo la kuwawezesha Vijana
wajasiliamali nchini iliyofanyika katika ukumbi wa Halmashauri ya jiji
Mwanza. Baadhi ya vijana wa mwanza wakifuatilia kwa makini mafunzo yalikuwa
yakiendeshwa na Airtel Fursa yenye lengo la kuwawezesha vijana kupata
mafunzo kwenye usimamizi wa fedha, upatikanaji wa mikopo, kufungua
akaunti ya...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

Airtel Fursa Yatumia zaidi ya milioni 3 kumpiga tafu mjasiliamali mwingine - Airtel Fursa wiki hii kuwafaidisha mamia ya vijana Mwanza

 Meneja Huduma kwa Jamii wa Airtel Tanzania, Hawa Bayumi (kulia), akiwa na kijana Mariam Mrisho (wa pili kulia) aliyewezeshwa na Airtel Fursa-Tunakuwezesha vifaa mbalimbali na jokufu kwa ajili ya kumsaidia katika biashara yake ya mama lishe na kutengeneza vitafunwa na juisi Dar es Salaam jana. Wa tatu kushoto ni mama wa Mariam Mrisho, Amina Lugome. Wengine ni ndugu zake Mrisho. Meneja Huduma kwa Jamii wa Airtel Tanzania, Hawa Bayumi (katikati), akimkabidhi jokofu kijana Mariam Mrisho (wa...

 

9 years ago

Michuzi

AIRTEL FURSA YATUA BUKOBA, YAONGEA NA VIJANA KUTOOGOPA VIKWAZO KATIKA UJASILIAMALI

 Mjasiliamali wa mjini Bukoba Adamu Hemed akipokea cheti kutoka kwa meneja biashara wa kampuni ya simu za mkononi ya Airtel Mohamedi kabeke baada ya kuhudhuria mafunzo ya ujasiliamali yaliyoendeshwa na mradi wa Airtel FURSA kwa Zaidi ya vijana 200. kati ni Afisa ujasilimali wa VETA mjini bukoba Bw, Frabius Ngemela na Meneja Uhusiano wa Airtel Jackson Mmbando mwishoni mwa wiki hii mkoani Kagera. .Mkulima wa mboga mboga kutoka Bukoba mjini Agnetha Frenk akipokea cheti toka kwa meneja wa...

 

10 years ago

GPL

AIRTEL FURSA YAZINDULIWA NA WARSHA MKOANI MWANZA

Meya Stanslaus Mabula akiongea na vijana jijini Mwanza wakati wa uzinduzi wa warsha maalum kwa vijana ya 'Airtel Fursa' kutoka Airtel Tanzania yenye lengo la kuwawezesha Vijana wajasiliamali nchini iliyofanyika katika Ukumbi wa Halmashauri ya Jiji Mwanza. Meneja Uhusiano wa Airtel Tanzania Jackson Mmbando akiongea na vijana wa Mwanza wakati wa uzinduzi wa warsha hiyo.… ...

 

10 years ago

GPL

AIRTEL FURSA YAMUWEZESHA KIJANA MWINGINE KUTOKA MKOA WA MWANZA

Meneja huduma kwa jamii  Hawa Bayumi akisalimiana na Innocent Kipondya, kijana aliyewezeshwa na Airtel kupitia mradi wake wa Airtel Fursa Katika kijiji cha Mabanda wilaya ya Misungwi mkoani Mwanza. Huku wakishuhudiwa na ndugu wa Innocent na wafanyakazi wa Airtel mara baada ya kukabidhiwa zawadi ya generator, pampu ya maji na vifaa vingine vya Kilimo. Wafanyakazi wa Airtel wakibeba zawadi kwa ajili ya kijana Innocent Kipondya...

 

9 years ago

Michuzi

AIRTEL FURSA YAENDELEA KUKWAMUA VIJANA HAPA NCHINI: Vijana wa Tanga wanufaika na mafunzo ya ujasiriamali kupitia Airtel Fursa

Wafanyabishara wadogo na wa kati zaidi ya 300 waliopo katika wilaya mbali mbali mkoani Tanga wameongezewa ujuzi wa elimu ya biashara ili waweze kufanya shughuli zao kwa ufanisi na kuweza kuongezaza kipato chao na kuchangia pato la taifa.  Kampuni ya Airtel Tanzania, kupitia mpango wake wa “Airtel Fursa Tunakuwezesha” imewapatia mafunzo ya ujasiriamali vijana wa manispaa ya Tanga kwa lengo la kuwawezesha kuboresha uendeshaji biashara na kukuza mitaji yao katika warsha iliyofanyika katika...

 

9 years ago

GPL

WAJASIRIAMALI WALIOWEZESHWA NA AIRTEL FURSA WATEMBELEA OFISI ZA AIRTEL ZILIZOPO JIJINI DAR ES SALAAM

Mkurugenzi mkuu wa Airtel Tanzania Sunil Colaso akiangalia bidhaa aliyopokea kutoka kwa Marius Mutashobelwa mkazi wa Mbeya, ambaye ni miongoni mwa vijana waliowezeshwa na Airtel FURSA walipotembelea ofisi za Airtel jijini Dar es Salaam na kupata mafunzo ya kuendeleza biashara zao mwishoni mwa wiki hii. Mkurugenzi mkuu wa Airtel Tanzania Sunil Colaso akisalimiana na vijana waliowezeshwa na Airtel Kupitia mradi wake wa Airtel...

 

9 years ago

Michuzi

Airtel yabadilisha maisha ya vijana na Airtel Fursa Tunakuwezesha

Kijana Iddy Abdallah Chilumba, akionyesha baadhi ya bidhaa zake anazotengeneza na kuziuza baada ya kuwezeshwa na Airtel Kupitia mpango wake wa Airtel Fursa Tunakuwezesha .Misaada hiyo ikiwemo mashine ya kubangulia korosho, meza maalum kwa kazi hiyo, vifaa mbalimbali na pikipiki mpya inayomrahisishia katika nyanja ya usambazaji wa bidhaa hizo. Airtel Tanzania imejikita katika safari ya kuwezesha vijana hapa nchini na kuweza kubadili maisha yao kupitia nyanja ya ujasiriamali kupitia mradi...

 

10 years ago

Vijimambo

TIMU YA IMETOSHA YATUA MWANZA



Katibu wa Imetosha Salome Gregory akifuatiwa na Balozi Mdimu na Issaya Mwakilasa(wakuvwanga) wakiteremka toka ndegeni leo asubuhi katika uwanja wa ndege wa Mwanza.Toka kushoto Wakuvwanga, Zaytuni Biboze, Salome Gregory, Henry Mdimu na  msanii wa muziki wa reggae Jhikoman Manyika wakiwa nje ya uwanja wa ndege jijini Mwanza mara baada ya kuwasili leo asubuhiUjumbe wa taasisi ya Imetosha inayojishughulisha na utoaji elimu juu ya kumaliza unyanyapaa,  ukatili na mauaji kwa watu wenye ualbino...

 

11 years ago

GPL

HOMA YA DENGU YATUA MWANZA

Mbu aina ya Aedes anayeeneza virusi vya homa ya dengue. UGONJWA wa homa ya dengue yaani “dengue fever” umeingia jijini Mwanza ambapo mgonjwa wa kwanza ameripotiwa kulazwa hospitali ya mkoa, Sekou Toure. Mganga Mkuu wa Mkoa wa Mwanza, Valentino Bangi amehibitisha kuingia ugojwa huo ndani ya mkoa wake. Ugonjwa huu ulithibitishwa kuingia nchini baada ya sampuli zilizochukuliwa kutoka kwa watu waliohisiwa kuwa na ugonjwa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani