Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


TIMU YA IMETOSHA YATUA MWANZA



Katibu wa Imetosha Salome Gregory akifuatiwa na Balozi Mdimu na Issaya Mwakilasa(wakuvwanga) wakiteremka toka ndegeni leo asubuhi katika uwanja wa ndege wa Mwanza.Toka kushoto Wakuvwanga, Zaytuni Biboze, Salome Gregory, Henry Mdimu na  msanii wa muziki wa reggae Jhikoman Manyika wakiwa nje ya uwanja wa ndege jijini Mwanza mara baada ya kuwasili leo asubuhiUjumbe wa taasisi ya Imetosha inayojishughulisha na utoaji elimu juu ya kumaliza unyanyapaa,  ukatili na mauaji kwa watu wenye ualbino...

Vijimambo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

TIMU YA MAJAJI KWA AJILI YA KUMTAFUTA MSHINDI WA TUZO YA RAIS YA HUDUMA ZA JAMII NA UWEZESHAJI YATUA NANGA KATIKA MIKOA YA SIMIYU NA MWANZA

Mkuu wa Mkoa wa Simiyu Chifu Kishosha Mabiti (wa tatu kutoka kulia) akimwonesha Mwenyekiti wa Jopo la Majaji kwa ajili ya kumtafuta mshindi wa Tuzo ya Rais ya Huduma za Jamii na Uwezeshaji Prof. Samwel Wangwe (wa pili kutoka kushoto) ramani ya kijiolojia ya mkoa huo mara timu hiyo ilipomtembelea ofisini kwake. Mkuu wa wilaya ya Misungwi mkoani Mwanza Mhe. Mariam Lugaila (mbele kwa mbali) akizungumza na jopo la majaji na sekretarieti kwa ajili ya kumtafuta mshindi wa Tuzo ya Rais ya...

 

10 years ago

Michuzi

TIMU YA HARAKATI YA IMETOSHA KUELEKEA KANDA YA ZIWA KUTOA SOMO


Balozi Henry Mdimu akiongea na vyombo vya habari

Taasisi isiyo ya ki serikali ya Imetosha Foundation inayopinga unyanyapaa, ukatili na mauaji dhidi ya watu wenye ualbino kwa njia ya elimu, inatarajia kutuma ujumbe mzito kanda ya ziwa hapo kesho kwa maandalizi ya ujio wa timu nzima ya taasisi hiyo iliyojikita kwenye kubadilisha mtazamo (mind set) wa watu juu ya janga hili. Ujumbe huo utaongozwa na mwenyekiti wa taasisi hiyo Bw Masoud Kipanya, Balozi Henry Mdimu Mgaya na katibu Salome...

 

10 years ago

Michuzi

TIMU YA HARAKATI YA IMETOSHA YATEMBELEA KITUO CHA BUHANGIJA, MKOANI SHINYANGA

Ilikua mishale ya saa kumi kamili jioni ujumbe wa harakati za Imetosha ulipowasili katika kituo cha Buhangija cha kulea watoto wenye mahitaji maalumu mjini Shinyanga. Sauti za furaha za watoto zilisikika zikiimba nyimbo za kukaribisha ujumbe wa wana harakati hao ambao wako Mwanza kutambulisha harakati za Imetosha ambazo ni kupambana na kupinga unyanyapaa, ukatili na mauaji kwa watu wenye Ulemavu wa ngozi. Akiongea na watoto kituoni hapo Mwenyekiti wa harakati za Imetosha Masoud Ali...

 

11 years ago

GPL

HOMA YA DENGU YATUA MWANZA

Mbu aina ya Aedes anayeeneza virusi vya homa ya dengue. UGONJWA wa homa ya dengue yaani “dengue fever” umeingia jijini Mwanza ambapo mgonjwa wa kwanza ameripotiwa kulazwa hospitali ya mkoa, Sekou Toure. Mganga Mkuu wa Mkoa wa Mwanza, Valentino Bangi amehibitisha kuingia ugojwa huo ndani ya mkoa wake. Ugonjwa huu ulithibitishwa kuingia nchini baada ya sampuli zilizochukuliwa kutoka kwa watu waliohisiwa kuwa na ugonjwa...

 

10 years ago

Michuzi

AIRTEL FURSA YATUA MWANZA

 Meneja Uhusiano wa Airtel Tanzania Jackson Mmbando akiongea na vijana
wa Mwanza wakati wa uzinduzi  wa warsha maalum kwa vijana  ya'Airtel
Fursa'  kutoka Airtel Tanzania yenye lengo la kuwawezesha Vijana
wajasiliamali nchini iliyofanyika katika ukumbi wa Halmashauri ya jiji
Mwanza. Baadhi ya vijana wa mwanza wakifuatilia kwa makini mafunzo yalikuwa
yakiendeshwa na Airtel Fursa yenye lengo la kuwawezesha vijana kupata
mafunzo kwenye usimamizi wa fedha, upatikanaji wa mikopo, kufungua
akaunti ya...

 

11 years ago

Michuzi

TIMU YA TANZANIA KATIKA MICHEZO YA JUMUIYA YA MADOLA YATUA JIJINI GLASGOW, SCOTLAND

 Timu ya Tanzania kwenye Michezo ya Jumuiya ya Madola imewasili katika  uwanja wa ndege wa Kimataifa Glasgow, Scotland jana usiku wa kuamkia leo kwa ndege ya Shirika la ndege la Falme za Kiarabu (Emirates).

 Jumla ya wanamichezo 42 waliwasili Uwanjani hapo na kupokelewa  na Afisa Ubalozi wa Tanzania London Bw. Amos Msanjila. Pamoja na mapokezi na shamrashamra za wenyeji, baadhi ya Watanzania waishio Glasgow walikuwepo Uwanjani hapo wakipeperusha bendera za Tanzania kuwahamasisha wanamichezo...

 

5 years ago

CCM Blog

TIMU YA MADAKTARI BINGWA WA AFYA YA KINYWA NA MENO YATUA IKOLA MKOANI KATAVI

Rais wa Chama cha Wataalamu wa Afya ya Kinywa na Meno Tanzania. (TDA) Dkt. Ambege Mwakatobe akizungumza jambo kabla ya Uchunguzi wa Afya ya Kinywa na Meno Kata ya Ikola Wilaya ya Tanganyika Mkoa wa Katavi katika kuelekea Kilele cha Maadhimisho ya Siku ya Afya ya Kinywa na Meno Duniani  Tarehe 20, Machi . (PICHA ZOTE NA KHAMISI MUSSA) 
Timu ya Madaktari ikielekea kutia kambi katika Kata ya Ikola Wilaya ya Tanganyika Mkoani Katavi kutoa Elimu na  huduma ya matibabu ya Afya ya Kinywa na Meno...

 

11 years ago

Habarileo

Grow yatua Mwanza kumsaka Mama Shujaa wa Chakula

KAMPENI ya Grow inayotetea haki ya chakula na uzalishaji imetua jijini Mwanza kwa ajili ya kuhamasisha wanawake wakulima na wafugaji kujitokeza na kujaza fomu za kushiriki shindano la Mama Shujaa wa Chakula.

 

10 years ago

Michuzi

KAMPENI YA ZUIA AJALI SASA,TOA TAARIFA MAPEMA YATUA JIJINI MWANZA

  Mkuu wa Vodacom Tanzania kanda ya ziwa Dominician Mkama akifafanua jambo kwa waandishi wa habari(Hawapo pichani)wakati wa kuendeleza kampeni ya kuzuia ajali barabarani inayojulikana kama“Zuia Ajali Sasa,Toa Taarifa Mapema” kupitia namba 0800757575 kwa watumiaji wote wa simu ikiwa nibure kwa wateja wa Vodacom.Kampeni hiyo inayoendeshwa na jeshi la polisi  kikosi cha Usalama barabarani,Vodacom Tanzania na vyombo vya habari vya ITV/Radio one ilifanyika  katika stendi ya mabasi ya Nyegezi...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani