Grow yatua Mwanza kumsaka Mama Shujaa wa Chakula
KAMPENI ya Grow inayotetea haki ya chakula na uzalishaji imetua jijini Mwanza kwa ajili ya kuhamasisha wanawake wakulima na wafugaji kujitokeza na kujaza fomu za kushiriki shindano la Mama Shujaa wa Chakula.
habarileo
Habari Zinazoendana
11 years ago
MichuziHATIMAYE MAMA SHUJAA WA CHAKULA 2014 AKABIDHIWA ZAWADI YAKE WILAYANI UKEREWE MWANZA
Mama Shujaa wa Chakula 2014 Bahati Muriga akitoa neno la Shukurani Baada ya Kukabidhiwa zawadi rasmi zawadi zake Wilayani kwake UkereweEluka Kibona kutoka Oxfam akimkabidhi ufunguo wa Pikipiki Mshindi wa Mama shujaa wa Chakula Mama Shujaa wa Chakula 2014 Bahati Muriga akisaini kupokea zawadi zake kutoka OXFAM kupitia Programu ya GROW, Wekeza kwa wakulima wadogo wadogo Inalipa. Kwa picha zaidi na habari BOFYA HAPA
11 years ago
GPLHATIMAYE MAMA SHUJAA WA CHAKULA 2014 AKABIDHIWA ZAWADI ZAKE WILAYANI UKEREWE MWANZA
Mama Shujaa wa Chakula 2014 Bahati Muriga akitoa neno la Shukurani Baada ya Kukabidhiwa zawadi rasmi Wilayani Ukerewe jijini Mwanza. Eluka Kibona kutoka Oxfam akimkabidhi ufunguo wa Pikipiki Mshindi wa…
9 years ago
VijimamboMAMA SHUJAA WA CHAKULA 2014 BAHATI MURIGA KUHUDHURIA MKUTANO WA SIKU YA CHAKULA DUNIANI WASHINGTON DC
Kutoka kulia ni Mshindi wa Mama Shujaa wa Chakula 2013 Bahati Muriga , Edina Kiogwe aliyeshiriki Shindano la Mama Shujaa wa Chakula 2015 na Eva Mogeni pia alikuwa Mshiriki wa Shindano la mama Shujaa wa Chakula ambalo linaandaliwa na OXFAM Kupitia Kampeni yake ya Grow Aliyekuwa Mshiriki wa Shidano la Mama Shujaa wa Chakula Msimu wa nne 2015 Eva Mogeni (Kushoto) akielezea kuhusu safari yao ya kwenda Addis Ababa Ethiopia kwa ajili ya kuhudhuria mkutano wa African Rural Woman Assembly (ARWAA) ...
9 years ago
MichuziVOA AFRICA 54 YAFANYA MAHOJIANO NA MAMA SHUJAA WA CHAKULA , AMBAYE YUPO WASHINGTON DC KWA AJILI YA MKUTANO WA SIKU YA CHAKULA DUNIANI.
Kushoto ni Mtangazaji Voice of America wa Africa 54 Linord Moudou akiwa na Mama Shujaa wa Chakula 2014 msimu wa Tatu Bahati Muliga na Meneja Utetezi na Ushawishi kutoka Oxfam Eluka Kibona wakihojiwa kuhusiana na Shindano la Mama shujaa wa chakula na Jinsi linavyo wasaidia wakulima hasa wanawake.Bahati Muliga(Kushoto) Mama Shujaa wa Chakula 2014 msimu wa tatu, shindano linaloandaliwa na Oxfam kupitia Kampeni yake ya Grow ambapo kauli mbiu yao ni Wekeza kwa Wakulima wadogo wadogo inalipa...
9 years ago
Mwananchi06 Oct
Mama Shujaa wa Chakula 2013 aula
Mshindi wa mashindano ya Mama Shujaa wa Chakula mwaka 2013, Bahati Muriga, amepewa mwaliko wa kuhudhuria mkutano mkuu wa Siku ya Chakula Duniani unaotarajiwa kufanyika Washington DC nchini Marekani, Oktoba 15 na 16.
10 years ago
Michuzi18 WATAJWA SHINDANO LA MAMA SHUJAA WA CHAKULA 2015
Baada ya zoezi la kupokea na kusahihisha fomu za washiriki wa shindano la Mama Shujaa wa Chakula 2015 kukamilika, takribani washiriki 18 kutoka mikoa tofauti nchini wamefanikiwa kupita katika mchujo wa kwanza kabla ya washiriki watatu kuyaaga mashindano hayo na kubakia 15 ambao ndiyo wataingia kijijini kwa ajili ya kumpata mshindi.
akizungumza na waandishi wa habari mmoja wa majaji waliohusika katika zoezi la kusahihisha fomu za washiriki, Zephania Mugittu alisema kuwa idadi ya washiriki...
akizungumza na waandishi wa habari mmoja wa majaji waliohusika katika zoezi la kusahihisha fomu za washiriki, Zephania Mugittu alisema kuwa idadi ya washiriki...
10 years ago
VijimamboWASHIRIKI 18 WATAJWA SHINDANO LA MAMA SHUJAA WA CHAKULA 2015
Jopo la Majaji, Kutoka Kulia ni Zephaniah Muggitu wa Digital Consulting Ltd, Jairos Mahenge Mhifadhi Mwandamizi wa Hifadhi za Bahari na Maeneo Tengefu, Dora Myinga Mkulima na Mjasiliamali, Mwandiwe Makame Mkulima na Mfugaji, Roselyn Kaihula kutoka Ekama Development Eluka Kibona, Meneja Utetezi na Ushawishi Oxfam akikaribisha majaji kwa ajili ya kutaja majina ya washindi watakao ingia shindano la Mama shujaa wa Chakula 2015.
Mmoja wa majaji Zephaniah Muggitu Akieleza kwa ujumla Jinsi...
Mmoja wa majaji Zephaniah Muggitu Akieleza kwa ujumla Jinsi...
11 years ago
MichuziMama Shujaa wa chakula mtandaoni akabidhiwa zawadi ya shamba
Mshindi wa shindano la Mama shujaa wa chakula mtandaoni, Neema Urassa Kivugo jana alikabidhiwa zawadi ya shamba la hekari 10 alilochagua kwa ajili ya shughuli za kilimo.
Neema Urassa Kivugo ambaye alishinda vifaa vya kilimo vyenye thamani ya Tshs. Milioni 5 alichagua kununua shamba ili amiliki ardhi yake mwenyewe. Akiongea wakati wa makabidhiano hayo, Neema alisema, ''kupitia kilimo katika shamba langu mwenyewe, sasa nitaweza kumalizia ada ya wanangu na pia ujenzi wa nyumba yangu...
Neema Urassa Kivugo ambaye alishinda vifaa vya kilimo vyenye thamani ya Tshs. Milioni 5 alichagua kununua shamba ili amiliki ardhi yake mwenyewe. Akiongea wakati wa makabidhiano hayo, Neema alisema, ''kupitia kilimo katika shamba langu mwenyewe, sasa nitaweza kumalizia ada ya wanangu na pia ujenzi wa nyumba yangu...
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
12-February-2025 in Tanzania