Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mama Shujaa wa Chakula 2013 aula

Mshindi wa mashindano ya Mama Shujaa wa Chakula mwaka 2013, Bahati Muriga, amepewa mwaliko wa kuhudhuria mkutano mkuu wa Siku ya Chakula Duniani unaotarajiwa kufanyika Washington DC nchini Marekani, Oktoba 15 na 16.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

GPL

UZINDUZI RASMI WA MAISHA PLUS, MAMA SHUJAA WA CHAKULA 2013 , KINGOLWIRA MOROGORO WAFANA‏

Bwana Ali Masoud au Maarufu kwa Jina la' Masoud Kipanya' na ambaye Mkurugenzi Mtendaji wa Maisha Plus, akizungumza na wananchi waliofika kushuhudia uzinduzi wa Maisha Plus/Mama Shujaa wa Chakula 2013 Kingolwira Morogoro , pia kumkaribisha Mgeni rasmi Mkuu wa Wilaya ya Mvomero Mh. Anthony Mtaka kufanya uzinduzi huo. Mkuu wa Wilaya ya Mvomero Mh. Anthony Mtaka, Akizungumza pamoja na wakazi wa eneo la Kingolwira pamoja na wageni...

 

9 years ago

Vijimambo

MAMA SHUJAA WA CHAKULA 2014 BAHATI MURIGA KUHUDHURIA MKUTANO WA SIKU YA CHAKULA DUNIANI WASHINGTON DC

Kutoka kulia ni Mshindi wa Mama Shujaa wa Chakula 2013 Bahati Muriga , Edina Kiogwe aliyeshiriki Shindano la Mama Shujaa wa Chakula 2015 na Eva Mogeni pia alikuwa Mshiriki wa Shindano la mama Shujaa wa Chakula ambalo linaandaliwa na OXFAM Kupitia Kampeni yake ya Grow Aliyekuwa Mshiriki wa Shidano la Mama Shujaa wa Chakula Msimu wa nne 2015 Eva Mogeni (Kushoto) akielezea kuhusu safari yao ya kwenda Addis Ababa Ethiopia kwa ajili ya  kuhudhuria mkutano wa African Rural Woman Assembly (ARWAA) ...

 

9 years ago

Michuzi

VOA AFRICA 54 YAFANYA MAHOJIANO NA MAMA SHUJAA WA CHAKULA , AMBAYE YUPO WASHINGTON DC KWA AJILI YA MKUTANO WA SIKU YA CHAKULA DUNIANI.

 Kushoto ni Mtangazaji Voice of America  wa Africa 54 Linord Moudou akiwa na Mama Shujaa wa Chakula 2014 msimu wa Tatu Bahati Muliga na Meneja Utetezi na Ushawishi kutoka Oxfam Eluka Kibona wakihojiwa kuhusiana na Shindano la Mama shujaa wa chakula na Jinsi linavyo wasaidia wakulima hasa wanawake.Bahati Muliga(Kushoto)  Mama Shujaa wa Chakula 2014 msimu wa tatu, shindano linaloandaliwa na Oxfam kupitia Kampeni yake ya Grow ambapo kauli mbiu yao ni Wekeza kwa Wakulima wadogo wadogo inalipa...

 

10 years ago

Michuzi

18 WATAJWA SHINDANO LA MAMA SHUJAA WA CHAKULA 2015

Baada ya zoezi la kupokea na kusahihisha fomu za washiriki wa shindano la Mama Shujaa wa Chakula 2015 kukamilika, takribani washiriki 18 kutoka mikoa tofauti nchini wamefanikiwa kupita katika mchujo wa kwanza kabla ya washiriki watatu kuyaaga mashindano hayo na kubakia 15 ambao ndiyo wataingia kijijini kwa ajili ya kumpata mshindi.
akizungumza na waandishi wa habari mmoja wa majaji waliohusika katika zoezi la kusahihisha fomu za washiriki, Zephania Mugittu alisema kuwa idadi ya washiriki...

 

10 years ago

Vijimambo

WASHIRIKI 18 WATAJWA SHINDANO LA MAMA SHUJAA WA CHAKULA 2015

Jopo la Majaji, Kutoka Kulia ni Zephaniah Muggitu wa Digital Consulting Ltd, Jairos Mahenge Mhifadhi Mwandamizi wa Hifadhi za Bahari na Maeneo Tengefu, Dora Myinga Mkulima na Mjasiliamali, Mwandiwe Makame Mkulima na Mfugaji, Roselyn Kaihula kutoka Ekama Development Eluka Kibona, Meneja Utetezi na Ushawishi  Oxfam akikaribisha majaji kwa ajili ya kutaja majina ya washindi watakao ingia shindano la Mama shujaa wa Chakula 2015.
 Mmoja wa majaji Zephaniah Muggitu  Akieleza kwa ujumla Jinsi...

 

10 years ago

Dewji Blog

18 watajwa kushiriki shindano la Mama Shujaa wa Chakula 2015

Meneja Utetezi na Ushawishi wa Oxfam, Eluka Kibona akifungua mkutano wa kuwatangaza washindi wa waliongia katika shindano la Mama Shujaa wa Chakula 2015.

Majaji, Kutoka Kulia ni Zephaniah Muggitu wa Digital Consulting Ltd, Jairos Mahenge Mhifadhi Mwandamizi wa Hifadhi za Bahari na Maeneo Tengefu, Dora Myinga Mkulima na Mjasiliamali, Mwandiwe Makame Mkulima na Mfugaji, Roselyn Kaihula kutoka Ekama Development.


Ofisa Mahusiano ya Ushawishi  wa Oxfam Tanzania Suhaila Thawer akitoa maelezo...

 

11 years ago

Michuzi

Mama Shujaa wa chakula mtandaoni akabidhiwa zawadi ya shamba

 Mshindi wa shindano la Mama shujaa wa chakula mtandaoni, Neema Urassa Kivugo jana alikabidhiwa zawadi ya shamba la hekari 10 alilochagua kwa ajili ya shughuli za kilimo. 
Neema Urassa Kivugo ambaye alishinda vifaa vya kilimo vyenye thamani ya Tshs. Milioni 5 alichagua kununua shamba ili amiliki ardhi yake mwenyewe. Akiongea wakati wa makabidhiano hayo, Neema alisema, ''kupitia kilimo katika shamba langu mwenyewe, sasa nitaweza kumalizia ada ya wanangu na pia ujenzi wa nyumba yangu...

 

11 years ago

Habarileo

Grow yatua Mwanza kumsaka Mama Shujaa wa Chakula

KAMPENI ya Grow inayotetea haki ya chakula na uzalishaji imetua jijini Mwanza kwa ajili ya kuhamasisha wanawake wakulima na wafugaji kujitokeza na kujaza fomu za kushiriki shindano la Mama Shujaa wa Chakula.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani