Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


UZINDUZI RASMI WA MAISHA PLUS, MAMA SHUJAA WA CHAKULA 2013 , KINGOLWIRA MOROGORO WAFANA‏

Bwana Ali Masoud au Maarufu kwa Jina la' Masoud Kipanya' na ambaye Mkurugenzi Mtendaji wa Maisha Plus, akizungumza na wananchi waliofika kushuhudia uzinduzi wa Maisha Plus/Mama Shujaa wa Chakula 2013 Kingolwira Morogoro , pia kumkaribisha Mgeni rasmi Mkuu wa Wilaya ya Mvomero Mh. Anthony Mtaka kufanya uzinduzi huo. Mkuu wa Wilaya ya Mvomero Mh. Anthony Mtaka, Akizungumza pamoja na wakazi wa eneo la Kingolwira pamoja na wageni...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Michuzi

MAMA SHUJAA WA CHAKULA WAINGIA RASMI KIJIJI CHA MAISHA PLUS

Profesa Anna Tibaijuka Waziri wa Nyumba Ardhi na  maendeleo ya Makazi wa pili kutoka kulia pamoja na Babu wa Kijiji cha Maisha Plus akiwasalimia akina mama Shujaa wa Chakula ambao wameingia Rasmi Kijiji cha Maisha Plus Jana usiku. Akina Mama Shujaa wa Chakula Wakiwa wanamuimbia wimbo maalum Profesa Anna Tibaijuka Waziri wa Nyumba Ardhi na  maendeleo ya Makazi mara baada ya kuwasili Kijijini hapo. Hawa ndio Mama Shujaa wa Chakula ambao jana usiku wameingia Rasmi katika Kijiji Cha Maisha...

 

11 years ago

GPL

MAMA SHUJAA WA CHAKULA WAINGIA RASMI KIJIJI CHA MAISHA PLUS, PROFESA ANNA TIBAIJUKA MGENI RASMI KATIKA SHEREHE HIZO

Profesa Anna Tibaijuka Waziri wa Nyumba Ardhi na  maendeleo ya Makazi wa pili kutoka kulia pamoja na Babu wa Kijiji cha Maisha Plus akiwasalimia akina mama Shujaa wa Chakula ambao wameingia Rasmi Kijiji cha Maisha Plus Jana usiku. Akina Mama Shujaa wa Chakula Wakiwa wanamuimbia wimbo maalum Profesa Anna Tibaijuka Waziri wa Nyumba Ardhi na  maendeleo ya Makazi mara baada ya kuwasili Kijijini… ...

 

11 years ago

GPL

ZOEZI LA KUWACHAGUA WASHIRIKI WA MAISHA PLUS/ MAMA SHUJAA WA CHAKULA LAANZA RASMI

Afisa utetezi wa haki za kiuchumi wa OXFAM Mkamiti Mgawe akielezea kwa kina namna ambavyo wanafanya mchujo  wa kumpata mshiriki wa awali wa mama shujaa wa chakula/ Maisha Plus ambapo washiriki wanatarajia kuingia katika kijiji cha Maisha Plus  mwezi wa tatu mwaka huu 2014.  Afisa mtendaji wa Kampuni ya DMB ambao ni wamiliki wa…

 

11 years ago

GPL

HATIMAYE MAJINA YA WALIOCHAGULIWA KWA AJILI YA MAISHA PLUS/MAMA SHUJAA WA CHAKULA YATANGAZWA RASMI

Kutoka kushoto ni Afisa Mtendaji wa Kampuni ya DMB ambao ni wamiliki wa Maisha Plus Masoud Ally (Kipanya) , Sharon Mariwa  Meneja wa Mahusiano OXFAM, Francis Bonda(Kaka Bonda) Mkurugenzi wa Usanifu katika Kampuni ya DMB pamoja na Mkamiti Mgawe Afisa utetezi wa haki za kiuchumi OXFAM, wakati wa kutangaza rasmi majina ya waliochaguliwa katika Maisha Plus/ Mama Shujaa wa Chakula leo.
Afisa Mtendaji wa Kampuni ya DMB ambao ni...

 

11 years ago

GPL

HATIMAYE WASHINDI WA MAISHA PLUS NA MAMA SHUJAA WA CHAKULA 2014 WAPATIKANA NA KUONDOKA NA MILIONI 50.‏

Bahati Muriga mshindi wa Mama Shujaa wa Chakula 2014 akipokea mfano wa hundi yenye thamani ya Tzshs. Milioni 25 aliyoshinda kwa ajili ya vifaa vya kilimo. Kutoka kulia ni Babu wa kijiji, Epheta Msiga wa DMB na Mkamiti Mgawe kutoka Oxfam. Mshiriki Boniphace Meng'anyi Nyakena akipokea mfano wa hundi ya Tzshs.…

 

11 years ago

Michuzi

HATIMAYE ZOEZI LA KUWACHAGUA WASHIRIKI WA MAISHA PLUS/ MAMA SHUJAA WA CHAKULA LAANZA RASMI. FOMU ZAIDI YA 4,000 ZAKUSANYWA

 Afisa mtendaji wa Kampuni ya DMB ambao ni wamiliki wa Maisha Plus Masoud Ally (Masoud kipanya) Akitoa ufafanuzi namna ya mchujo unavyo fanyika ili kuwapata vijana na akina mama watakao ingia katika Maisha Plus/Mama shujaa wa Chakula, Wakati wa kufanya zoezi la kuwachagua wale watakaoingia katika kijiji cha Maisha Plus 2013/2014.  Majaji wakuu walioteuliwa kwa ajili ya kufanya mchujo wa kuchagua Mama Shujaa wa Chakula 30 na vijana 45 ambao baadae watafanyiwa usahili na kubakiza wanawake...

 

11 years ago

GPL

PROFESA ANA TIBAIJUKA AKABIDHI RASMI ZAWADI YAKE YA TSH 9,500,000 MAMA SHUJAA WA CHAKULA‏

 Mkurugenzi mtendaji wa DMB ambao ndio wamiliki wa Shindano la Maisha Plus Masoud Ally 'Kipanya' akiwa anaendelea kuendesha ratiba wakati wa Sherehe fupi za Waziri wa Nyumba Ardhi na maendeleo ya Makazi Profesa Anna Tibaijuka kukabidhi zawadi kwa washindi wa Mama shujaa wa Chakula pamoja na washiriki wote wa Maisha Plus 2014.
 Afisa Mradi wa UKIMWI kutoka OXFAM Ester Mhagama akifungua rasmi sherehe hiyo fupi ya utoaji...

 

11 years ago

GPL

TOP 20 YA 'MAMA SHUJAA WA CHAKULA' WATAKAOINGIA KIJIJI CHA MAISHA PLUS WIKIENDI HII‏

GRACE G.D MAHUMBUKA (46) mkazi wa Karagwe Kagera nambari yake ya ushiriki ni MS 08, ni mkulima wa shamba la ekari 18 na na mfugaji wa ng’ombe, kondoo na mbuzi. ANADHANI YEYE NI MFANO WA KUIGWA: Kwa sababu anawahamasisha wana kijiji kutumia vyema mvua za kwanza na kupanda miti kwa ajili ya…

 

9 years ago

Mwananchi

Mama Shujaa wa Chakula 2013 aula

Mshindi wa mashindano ya Mama Shujaa wa Chakula mwaka 2013, Bahati Muriga, amepewa mwaliko wa kuhudhuria mkutano mkuu wa Siku ya Chakula Duniani unaotarajiwa kufanyika Washington DC nchini Marekani, Oktoba 15 na 16.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani