TIMU YA MADAKTARI BINGWA WA AFYA YA KINYWA NA MENO YATUA IKOLA MKOANI KATAVI
Rais wa Chama cha Wataalamu wa Afya ya Kinywa na Meno Tanzania. (TDA) Dkt. Ambege Mwakatobe akizungumza jambo kabla ya Uchunguzi wa Afya ya Kinywa na Meno Kata ya Ikola Wilaya ya Tanganyika Mkoa wa Katavi katika kuelekea Kilele cha Maadhimisho ya Siku ya Afya ya Kinywa na Meno Duniani Tarehe 20, Machi . (PICHA ZOTE NA KHAMISI MUSSA)
Timu ya Madaktari ikielekea kutia kambi katika Kata ya Ikola Wilaya ya Tanganyika Mkoani Katavi kutoa Elimu na huduma ya matibabu ya Afya ya Kinywa na Meno...
CCM Blog
Habari Zinazoendana
5 years ago
CCM BlogCORONA YAKATISHA MAADHIMISHO YA AFYA YA KINYWA NA MENO MKOANI KATAVI
5 years ago
CCM Blog
MKUU WA MKOA KATAVI JUMA HOMERA AFANYIWA UCHUNGUZI WA KINYWA NA MENO

Daktari Bingwa wa Upasuji Uso na Mataya Hospitali ya Taifa Muhimbili Dkt. Arnold Mtenga akimfanyi uchunguzi wa Kinywa na Meno Mkuu wa Mkoa wa Katavi Mh. Juma Homera wakati wa Uzinduzi wa Wiki ya Afya ya Kinywa na Meno Tanzania katika kuelekea Kilele cha Maadhimisho ya Siku ya Afya ya Kinywa na Meno Duniani. (PICHA NA KHAMISI MUSSA)
9 years ago
Dewji Blog19 Dec
Mfuko wa taifa wa bima ya afya (NHIF) wazindua huduma za madaktari bingwa mkoani Singida!!
10 years ago
Dewji Blog16 Mar
Waziri Fenella azindua wiki ya Afya ya Kinywa na Meno
Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Mhe. Dkt. Fenella Mukangara (MB) (wapili kutoka kushoto) akiwa katika matembezi ya amani ikiwa ni katika hafla ya uzinduzi wa Wiki ya Afya ya Kinywa na Meno jana jijini Dar es Salaam.
Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Mhe. Dkt. Fenella Mukangara (MB) katikati akiingia katika viwanja vya Salender Bridge Club wmara baada ya kumalizika kwa matembezi ya amani yaliyolenga kuhamasisha umma kuhusu kujali afya zao jana jijini Dar es...
10 years ago
Dewji Blog18 Mar
Chama cha Madaktari wa Kinywa na Meno chatoa huduma ya bure katika kituo cha watoto wenye Albinism
Raisi Mstaafu wa Chama cha Madaktari wa Kinywa na Meno na Daktari Bingwa wa Watoto Rachel Mhavile toka Hospitali ya Taifa Muhimbili, akifanya ukaguzi wa kinywa na Meno kwa Kuyela Masuka, aliyeanguka toka juu ya mti nakusababisha jino lake lambele juu kushotolikawa linaninginia na kunadaktari aliye jaribu kulirudishia lakini tiba hiyo ikamshinda kwa sababu hakua amepiga mswaki vuzuri na kumsababishia kupata maambukizi na kushindwa kufumba mdomo na kutokula chakula, matibabu aliyoyapata...
10 years ago
MichuziTIMU YA MADAKTARI BINGWA KUTOKA NCHINI CHINA WAKISHIRIKIANA NA MADAKTARI WA ZANZIBAR WATOA HUDUMA ZA KIJAMII KATIKA KIJIJI CHA KISAUNI ZANZIBAR
10 years ago
Vijimambo18 Mar
CHAMA CHA MADAKTARI WA KINYWA NA MENO WAENDELEA KUTOA HUDUMA YA BURE KATIKA KITUO CHA WATOTO WENYE ULEMAVU WA NGOZI ALBINO


5 years ago
CCM Blog
CHAMA CHA WATAALAM WA AFYA YA KINYWA NA MENO TANZANIA (TDA) YATIA SAINI MAKUBALIANO YA USHIRIKIANO NA (MoU)




10 years ago
GPL
CHAMA CHA MADAKTARI WA KINYWA NA MENO WAENDELEA KUTOA HUDUMA YA BURE KATIKA KITUO CHA WATOTO WENYE ULEMAVU WA NGOZI ALBINO