Waziri Fenella azindua wiki ya Afya ya Kinywa na Meno
Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Mhe. Dkt. Fenella Mukangara (MB) (wapili kutoka kushoto) akiwa katika matembezi ya amani ikiwa ni katika hafla ya uzinduzi wa Wiki ya Afya ya Kinywa na Meno jana jijini Dar es Salaam.
Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Mhe. Dkt. Fenella Mukangara (MB) katikati akiingia katika viwanja vya Salender Bridge Club wmara baada ya kumalizika kwa matembezi ya amani yaliyolenga kuhamasisha umma kuhusu kujali afya zao jana jijini Dar es...
Dewji Blog
Habari Zinazoendana
5 years ago
CCM BlogCORONA YAKATISHA MAADHIMISHO YA AFYA YA KINYWA NA MENO MKOANI KATAVI
5 years ago
CCM BlogTIMU YA MADAKTARI BINGWA WA AFYA YA KINYWA NA MENO YATUA IKOLA MKOANI KATAVI
5 years ago
CCM Blog![](https://1.bp.blogspot.com/-Sm6A1n-dOnA/XltEOduRv_I/AAAAAAAAm48/WMgXvrj98R4N0m2b8W_c8RVloBISCUZ0wCLcBGAsYHQ/s72-c/2e793cde-43a9-4082-87e9-6071b9d4378d.jpg)
CHAMA CHA WATAALAM WA AFYA YA KINYWA NA MENO TANZANIA (TDA) YATIA SAINI MAKUBALIANO YA USHIRIKIANO NA (MoU)
![](https://1.bp.blogspot.com/-Sm6A1n-dOnA/XltEOduRv_I/AAAAAAAAm48/WMgXvrj98R4N0m2b8W_c8RVloBISCUZ0wCLcBGAsYHQ/s640/2e793cde-43a9-4082-87e9-6071b9d4378d.jpg)
![](https://1.bp.blogspot.com/-7FfuwRYfV7M/XltEOjpcj_I/AAAAAAAAm5A/KXZe4Jl7zAYuaKG378T4h3lqMxyrhO1EwCLcBGAsYHQ/s640/9fd08f60-b4f1-46ac-bf3b-d2af41992007.jpg)
![](https://1.bp.blogspot.com/-iSq20yJjvbg/XltEOq0Pa6I/AAAAAAAAm44/jgBNiUcuxG4H7kpiXoF0nULRB1IQdm5yACLcBGAsYHQ/s640/2302f5fe-f41d-45bf-a92e-f73d85291fb8.jpg)
![](https://1.bp.blogspot.com/-xfJFenFefTw/XltEPcaXBZI/AAAAAAAAm5E/oQeKUDeYF50ik7CueIHwRhmoWwPtZNU4QCLcBGAsYHQ/s640/f1dc4270-0dc2-4def-9641-0bf5d52a9ff2.jpg)
5 years ago
CCM BlogCHAMA CHA WATAALAM WA AFYA YA KINYWA NA MENO TANZANIA (TDA) CHATOA MAELEKEZO KWA WANACHAMA WAKE KUJIKINGA NA CORONA
Kwa sisi madaktari na wahudumu wa afya ya kinywa na meno tujikumbushe yafuatayo:
1. Kama ilivyo ada tuendelee kutumia vikinga maaambukizo kama mask, gloves, mawani, nk wakati tunahudumia wagonjwa...
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-_FVL5DVcaX4/XmzkNGa2x7I/AAAAAAALjqA/l2YfUu76M7k7Hu7U5k4IjcONEfqs-a9GACLcBGAsYHQ/s72-c/AAA-4-768x512.jpg)
RC HOMERA AFANYIWA UCHUNGUZI WA KINYWA NA MENO
![](https://1.bp.blogspot.com/-_FVL5DVcaX4/XmzkNGa2x7I/AAAAAAALjqA/l2YfUu76M7k7Hu7U5k4IjcONEfqs-a9GACLcBGAsYHQ/s640/AAA-4-768x512.jpg)
Daktari Bingwa wa Upasuji Uso na Mataya Hospitali ya Taifa Muhimbili Dkt. Arnold Mtenga akimfanyi uchunguzi wa Kinywa na Meno Mkuu wa Mkoa wa Katavi Mh. Juma Homera wakati wa Uzinduzi wa Wiki ya Afya ya Kinywa na Meno Tanzania katika kuelekea Kilele cha Maadhimisho ya Siku ya Afya ya Kinywa na Meno Duniani. (PICHA NA MPIGAPICHA WETU)
5 years ago
CCM Blog![](https://1.bp.blogspot.com/-_FVL5DVcaX4/XmzkNGa2x7I/AAAAAAALjqA/l2YfUu76M7k7Hu7U5k4IjcONEfqs-a9GACLcBGAsYHQ/s72-c/AAA-4-768x512.jpg)
MKUU WA MKOA KATAVI JUMA HOMERA AFANYIWA UCHUNGUZI WA KINYWA NA MENO
![](https://1.bp.blogspot.com/-_FVL5DVcaX4/XmzkNGa2x7I/AAAAAAALjqA/l2YfUu76M7k7Hu7U5k4IjcONEfqs-a9GACLcBGAsYHQ/s640/AAA-4-768x512.jpg)
Daktari Bingwa wa Upasuji Uso na Mataya Hospitali ya Taifa Muhimbili Dkt. Arnold Mtenga akimfanyi uchunguzi wa Kinywa na Meno Mkuu wa Mkoa wa Katavi Mh. Juma Homera wakati wa Uzinduzi wa Wiki ya Afya ya Kinywa na Meno Tanzania katika kuelekea Kilele cha Maadhimisho ya Siku ya Afya ya Kinywa na Meno Duniani. (PICHA NA KHAMISI MUSSA)
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/8KOwdycLvXSl2s8NkHz4bXBkO6k973UcLHYwLI8JxrUt675icPcE3rTdBr7m5kjeRD2N-0qIn4-0NzVvQgG*2cPGeiMo3836/02.jpg?width=650)
NAIBU WAZIRI OFISI YA WAZIRI MKUU TAWALA ZA MIKOA NA SERIKALI ZA MITAA(TAMISEMI)MH.KASSIM MAJALIWA AZINDUA RASMI KAMPENI YA FISTULA MWISHONI MWA WIKI
Naibu waziri ofisi ya Waziri Mkuu Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI)Mh. Kassim Majaliwa (Kulia)akikabidhiwa hundi yanye thamani ya shilingi milioni 100/- na Meneja Biashara Idara ya Uhusiano wa Vodacom Tanzania,Grace Lyon, kwa niaba ya hospitali ya CCBRT kwa ajili ya kampeni ya kutokomeza Fistula nchini wakati wa Maadhimisho ya Kimataifa ya Fistula yaliyofanyika kitaifa katika Wilaya ya Mbogwe mkoani...
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
15-February-2025 in Tanzania