Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


RC HOMERA AFANYIWA UCHUNGUZI WA KINYWA NA MENO


Daktari Bingwa wa Upasuji Uso na Mataya Hospitali ya Taifa Muhimbili Dkt. Arnold Mtenga akimfanyi uchunguzi wa Kinywa na Meno Mkuu wa Mkoa wa Katavi Mh. Juma Homera wakati wa Uzinduzi wa Wiki ya Afya ya Kinywa na Meno Tanzania katika  kuelekea Kilele cha Maadhimisho ya Siku ya Afya ya Kinywa na Meno Duniani. (PICHA NA MPIGAPICHA WETU)

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

5 years ago

CCM Blog

MKUU WA MKOA KATAVI JUMA HOMERA AFANYIWA UCHUNGUZI WA KINYWA NA MENO



Daktari Bingwa wa Upasuji Uso na Mataya Hospitali ya Taifa Muhimbili Dkt. Arnold Mtenga akimfanyi uchunguzi wa Kinywa na Meno Mkuu wa Mkoa wa Katavi Mh. Juma Homera wakati wa Uzinduzi wa Wiki ya Afya ya Kinywa na Meno Tanzania katika  kuelekea Kilele cha Maadhimisho ya Siku ya Afya ya Kinywa na Meno Duniani. (PICHA NA KHAMISI MUSSA)

 

10 years ago

Dewji Blog

Waziri Fenella azindua wiki ya Afya ya Kinywa na Meno

TDA4a

Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Mhe. Dkt. Fenella Mukangara (MB) (wapili kutoka kushoto) akiwa katika matembezi ya amani ikiwa ni katika hafla ya uzinduzi wa Wiki ya Afya ya Kinywa na Meno jana jijini Dar es Salaam.

TDA4b

Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Mhe. Dkt. Fenella Mukangara (MB) katikati akiingia katika viwanja vya Salender Bridge Club wmara baada ya kumalizika kwa matembezi ya amani yaliyolenga kuhamasisha umma kuhusu kujali afya zao jana jijini Dar es...

 

5 years ago

CCM Blog

CORONA YAKATISHA MAADHIMISHO YA AFYA YA KINYWA NA MENO MKOANI KATAVI

  Ugonjwa wa Virusi vya Corona vyakatisha Maadhimisho ya Afya ya Kinywa na Meno Mkoani Katavi ya liyokuwa yameandaliwa kufanyika Kitaifa Machi 20, Duniani ambapo Mgeni rasmi alikuwa Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia Wazee na Watoto Mhe. Ummy Mwalimu. (PICHA NA KHAMISI MUSSA)


 

10 years ago

BBCSwahili

Warner afanyiwa uchunguzi zaidi

Uchunguzi unaendelea kuhusu masuala ya kifedha ya aliyekuwa makamu wa rais wa shirikisho la kandanda dunia FIFA Jack Warner.

 

5 years ago

CCM Blog

TIMU YA MADAKTARI BINGWA WA AFYA YA KINYWA NA MENO YATUA IKOLA MKOANI KATAVI

Rais wa Chama cha Wataalamu wa Afya ya Kinywa na Meno Tanzania. (TDA) Dkt. Ambege Mwakatobe akizungumza jambo kabla ya Uchunguzi wa Afya ya Kinywa na Meno Kata ya Ikola Wilaya ya Tanganyika Mkoa wa Katavi katika kuelekea Kilele cha Maadhimisho ya Siku ya Afya ya Kinywa na Meno Duniani  Tarehe 20, Machi . (PICHA ZOTE NA KHAMISI MUSSA) 
Timu ya Madaktari ikielekea kutia kambi katika Kata ya Ikola Wilaya ya Tanganyika Mkoani Katavi kutoa Elimu na  huduma ya matibabu ya Afya ya Kinywa na Meno...

 

5 years ago

CCM Blog

CHAMA CHA WATAALAM WA AFYA YA KINYWA NA MENO TANZANIA (TDA) YATIA SAINI MAKUBALIANO YA USHIRIKIANO NA (MoU)

 TDA yatia Saini makubaliano ya ushirikiano (MoU) wa masuala ya Afya ya Kinywa na Meno kwa nchi za ukanda wa mto Nile. Aswan, Egypt 27/2/2020
 Rais wa chama cha madaktari wa afya ya kinywa na meno Tanzania, Dkt. Ambege Mwakatobe akisalimiana na Prof. Mohamed Sobhy Omer, Rais wa chama cha madaktari wa meno Aswan Dental Syndicate Egypt mara baada ya hafla hiyo kumalizika Aswan, Egypt 27/2/2020. (PICHA ZOTE NA TDA)

Kushoto ni Dr. Timothy Theuri katibu mkuu chama cha madaktari wa kinywa na meno...

 

5 years ago

CCM Blog

CHAMA CHA WATAALAM WA AFYA YA KINYWA NA MENO TANZANIA (TDA) CHATOA MAELEKEZO KWA WANACHAMA WAKE KUJIKINGA NA CORONA

Ndugu Wanachama na watoa huduma wa Afya ya Kinywa na Meno. Hapa kwetu Tanzania kama ilivyo nchi zingine za Africa mashariki virusi hivi bado havijaingia ...Hata hivyo lazima tukumbuke kuwa, Dunia ya leo ni kijiji...Hivyo lazima tujipange na kujihadhari kwa maambukizi ya COVID-19 na kusambaa kwake. 
Kwa sisi madaktari na wahudumu wa afya ya kinywa na meno tujikumbushe yafuatayo:

1. Kama ilivyo ada tuendelee kutumia vikinga maaambukizo kama mask, gloves, mawani, nk wakati tunahudumia wagonjwa...

 

10 years ago

Dewji Blog

Chama cha Madaktari wa Kinywa na Meno chatoa huduma ya bure katika kituo cha watoto wenye Albinism

unnamed (4)

Raisi Mstaafu wa Chama cha  Madaktari wa Kinywa na Meno na Daktari Bingwa wa Watoto  Rachel Mhavile  toka Hospitali ya Taifa  Muhimbili, akifanya ukaguzi wa kinywa na Meno kwa Kuyela Masuka, aliyeanguka toka juu ya mti nakusababisha jino lake lambele juu kushotolikawa linaninginia na kunadaktari aliye jaribu kulirudishia lakini tiba hiyo ikamshinda kwa sababu hakua amepiga mswaki vuzuri na kumsababishia kupata maambukizi na kushindwa kufumba mdomo na kutokula chakula, matibabu aliyoyapata...

 

10 years ago

Vijimambo

CHAMA CHA MADAKTARI WA KINYWA NA MENO WAENDELEA KUTOA HUDUMA YA BURE KATIKA KITUO CHA WATOTO WENYE ULEMAVU WA NGOZI ALBINO

Prof. Bakari Lembaliti ambaye ni Mwalimu wa Chuo Kikuu Muhas Muhimbili akiwapatia miswaki na Dawa watoto wenye ulemavu wa macho baada ya kuwapa elimu ya matumizi ya usafi wa kinywa na meno inayo endelea kwa siku ya pili katika Shule ya Msingi Buhangija iliyopo ShinyangaProf. Bakari Lembaliti (kushoto) ambaye ni Mwalimu wa Chuo Kikuu Muhas Muhimbili akiongea na Mwanafunzi Khassan Shaban ( aliye vaa kofia kulia) anayesoma katika Sekondari ya Muhumbu Islamic ambaye amedhaminiwa na Shirika...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani