ROSE MUHANDO, BONNY MWAITEGE NA GASTON SAPULA WATINGA OFISI ZA RADIO KASIBANTE
Msanii wa muziki wa Injili, Bonny Mwaitege (kulia) akisalimia na Mtangazaji  wa Radio Kasibante Mwl. Joyce Ruboz mapema leo katika kipindi cha Gospal Flava cha Kasibante FM 88.5. Mtumishi wa Mungu na muimbaji wa nyimbo za Injili, Rose Muhando akiwa kwenye studio za radio Kasibante FM 88.5 akionekana mwingi wa furaha wakati akihojiwa na mtangazaji (hayupo pichani) wa kipindi cha Gospal… ...
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
Michuzi14 Feb
BARNABA BOY NA AMINI WATINGA RADIO KASIBANTE 88.5 FM RADIO BUKOBA, TAYARI KWA KUTOA BURUDANI LEO VALENTINE DAY LINA'S NIGHT CLUB
10 years ago
Michuzi07 Apr
YAMOTO BAND WATINGA RADIO KASIBANTE 88.5 FM BUKOBA TAYARI KWA SHOW YAO USIKU HUU NDANI YA LINA'S CLUB
10 years ago
Vijimambo10 years ago
MichuziUpendo Nkone kumsindikiza Bonny Mwaitege
Kwa mujibu wa Mkurugenzi wa Kampuni ya Msama Promotions, Alex Msama Nkone amekuwa wa kwanza na ameonesha nia ya kumsindikiza Mwaitege kwa sababu ya ubora wa uzinduzi huo. “Uzinduzi wa Mwaitege utakuwa ni wa aina yake kwa sababu maandalizi yake kwa yamefanywa kwa ustadi mkubwa hasa...
10 years ago
MichuziUPENDO KILAHIRO KUMPIGA TAFU BONNY MWAITEGE
Kwa mujibu wa Mkurugenzi wa Msama Promotions, Alex Msama, Kilahiro ataungana na Kwaya ya Wakorintho wa pili ya Mufindi mkoani Iringa.Msama alisema Kwaya hiyo ni mojawapo ya watakaomsindikiza mwimbaji huyo kwa sababu hivi sasa...
10 years ago
MichuziWaimbaji wa ndani waomba kumsindikiza Bonny Mwaitege
Uzinduzi huo unaotarajia kufanyika kwenye ukumbi wa Diamond Jubilee jijini Dar es Salaam ambao utashirikisha albamu tatu za muimbaji huyo zinazoendelea kurekodiwa jijini Mwanza.
Kwa mujibu wa Mkurugenzi wa Kampuni ya Msama Promotions, Alex Msama hivi sasa utaratibu wa kurekodi albamu hizo unaendelea jijini Mwanza. Msama aliyezungumza...
10 years ago
Michuzi24 Jun
MAASKOFU WABARIKI UZINDUZI WA ALBAMU YA BONNY MWAITEGE
Kwa mujibu wa Mkurugenzi wa Kampuni ya Msama Promotions, Alex Msama sababu za viongozi hao wa dini kutoa baraka kwa albamu hizo ni kutokana na umahiri wa muimbaji huyo.
Msama alisema amepokea baraka hizo kutoka kwa viongozi...
10 years ago
Michuzikwaya ya kijitonyama kumpiga tafu Bonny mwaitege