Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


TUNAIMANI NA WEWE MWIGULU NCHEMBA(Rose Muhando,Upendo Nkone,Mwaitege,Mwa...

Vijimambo

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Michuzi

Upendo Nkone kumsindikiza Rose Muhando


MWIMBAJI mahiri wa nyimbo za Injili, Upendo Nkone ni miongoni mwa wasanii watakaosindikiza uzinduzi wa albamu ya Rose Muhando.Muhando anatarajia kuzindua albamu hiyo Agosti 3, mwaka huu ukumbi wa Diamond Jubilee, Dar es Salaam na kuendelea katika mikoa mbalimbali nchini ukiwemo Mwanza Uwanja wa CCM Kirumba, Agosti 10.  Akizungumza na gazeti hili,  Muhando alisema Nkone tayari amekubali kushiriki katika uzinduzi huo na ana matumaini litakuwa tamasha la aina yake.Nkone ametamba na albamu...

 

10 years ago

Michuzi

Upendo Nkone kumsindikiza Bonny Mwaitege

MWIMBAJI nguli wa muziki wa Injili Tanzania, Upendo Nkone amekuwa wa kwanza kujitokeza kusindikiza uzinduzi wa mwenzake Bonny Mwaitege, utakaofanyika Agosti 2 kwenye ukumbi wa Diamond Jubilee jijini Dar es Salaam.
Kwa mujibu wa Mkurugenzi wa Kampuni ya Msama Promotions,  Alex Msama Nkone amekuwa wa kwanza na ameonesha nia ya kumsindikiza Mwaitege kwa sababu ya ubora wa uzinduzi huo. “Uzinduzi wa Mwaitege utakuwa ni wa aina yake kwa sababu maandalizi yake kwa yamefanywa kwa ustadi mkubwa  hasa...

 

10 years ago

GPL

ROSE MUHANDO, BONNY MWAITEGE NA GASTON SAPULA WATINGA OFISI ZA RADIO KASIBANTE

Msanii wa muziki wa Injili, Bonny Mwaitege (kulia) akisalimia na Mtangazaji  wa Radio Kasibante Mwl. Joyce Ruboz mapema leo katika kipindi cha Gospal Flava cha Kasibante FM 88.5.
Mtumishi wa Mungu na muimbaji wa nyimbo za Injili,  Rose Muhando akiwa kwenye studio za radio Kasibante FM 88.5 akionekana mwingi wa furaha wakati akihojiwa na mtangazaji (hayupo pichani)  wa  kipindi cha Gospal… ...

 

10 years ago

Vijimambo

Mwigulu Nchemba mgeni rasmi Tamasha la Upendo wa Mama Dar

Naibu Waziri wa Fedha, Mwigulu Nchemba akizungumza. Naibu Waziri wa Fedha, Mwigulu Nchemba akizungumza.
 Na Mwandishi Wetu NAIBU Waziri wa Fedha, Mwigulu Nchemba anatarajiwa kuongoza Tamasha Maalumu la 'Upendo wa Mama' linalotarajiwa kufanyika katika Kanisa la Rutheran Mabibo Extenal jijini Dar es Salaam na kushirikisha waimbaji wengi kutoka ndani na nje ya Tanzania. Akizungumzia tamasha hilo leo jijini Dar es Salaam, Rais wa taasisi ya Upendo kwa Mama Foundation yenye makao makuu yake mkoani Arusha, Injinia Carlos Mkundi alisema Naibu...

 

9 years ago

Vijimambo

COMRADE MWIGULU NCHEMBA ATUA BUKOMBE,SASA JIMBO LA BUKOMBE MIKONONI MWA CCM

    Mwigulu Nchemba akiteta jambo na Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Geita Ndg.Msukuma "KING" Mshindi wa nafasi ya Ubunge wa Viti Maalum Mkoa wa Geita Bi.Vick Kamata akiwashukuru na kuomba kura kwa Wananchi wa Bukombe wampigie J.P.Magufuli ifikapo tar.25.10.2015 Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Geita Ndg.Joseph Msukuma akizungumza na Wananchi wa Bukombe kuwa yupo tayari kuzunguka Nchi nzima kuinadi Ilani ya CCM,Pia kumnadi Mgombea Urais wa CCM Dk.J.P.Magufuli kwasababu ndiye Mgombea pekee mwenye dhamira...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Nkone kumpamba Muhando

MWIMBAJI mahiri wa nyimbo za injili, Upendo Nkone, ni miongoni mwa wasanii watakaosindikiza uzinduzi wa albamu ya Rose Muhando, ‘Kamata Pindo la Yesu’ utakaofanyika Agosti 3. Baada ya uzinduzi huo...

 

9 years ago

Habarileo

Muhando, Mwaitege kuimba amani

WAIMBAJI mahiri wa muziki wa Injili wanaotambulika zaidi Afrika Mashariki na Kati, Rose Muhando na Bonny Mwaitege wanatarajia kuzindua albamu zao mpya katika Tamasha la Amani linalotarajia kufanyika Oktoba 4, mwaka huu kwenye Uwanja wa Taifa Dar es Salaam.

 

9 years ago

Habarileo

Upendo Nkone kuombea amani

MWIMBAJI mahiri wa muziki wa Injili anayetamba katika muziki huo, Upendo Nkone amekubali kushiriki katika Tamasha la Kuombea Amani katika Uchaguzi Mkuu unaotarajia kufanyika Oktoba 25, mwaka huu.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani