Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Muhando, Mwaitege kuimba amani

WAIMBAJI mahiri wa muziki wa Injili wanaotambulika zaidi Afrika Mashariki na Kati, Rose Muhando na Bonny Mwaitege wanatarajia kuzindua albamu zao mpya katika Tamasha la Amani linalotarajia kufanyika Oktoba 4, mwaka huu kwenye Uwanja wa Taifa Dar es Salaam.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

GPL

ROSE MUHANDO, BONNY MWAITEGE NA GASTON SAPULA WATINGA OFISI ZA RADIO KASIBANTE

Msanii wa muziki wa Injili, Bonny Mwaitege (kulia) akisalimia na Mtangazaji  wa Radio Kasibante Mwl. Joyce Ruboz mapema leo katika kipindi cha Gospal Flava cha Kasibante FM 88.5.
Mtumishi wa Mungu na muimbaji wa nyimbo za Injili,  Rose Muhando akiwa kwenye studio za radio Kasibante FM 88.5 akionekana mwingi wa furaha wakati akihojiwa na mtangazaji (hayupo pichani)  wa  kipindi cha Gospal… ...

 

9 years ago

Bongo5

Video: Ommy Dimpoz, Eddy Kenzo na Amani waungana kuimba wimbo wa Les Wanyika ‘Sina Makosa’

Weekend iliyopita Ommy Dimpoz alisafiri hadi jijini Kampala, Uganda, kuungana na mshindi wa tuzo za BET, Eddy Kenzo kwenye tamasha lake kubwa lililopewa jina la ‘Mbilo Mbilo Concert.’ Ommy alitumbuiza nyimbo zake kadhaa ukiwemo Baadaye ambao alisikika akiwaambisha waganda. Ommy akiwa na Eddy Kenzo Baadaye Eddy Kenzo, Amani na Ommy Dimpoz walipanda jukwaani pamoja kutumbuiza […]

 

9 years ago

Raia Mwema

Tufanye yote, wimbo wetu uwe amani, amani, amani

Wiki hii Raia Mwema lilifanya mahojiano na mwanasheria mkuu wa serikali mstaafu, Jaji Mark Bomani

Mwandishi Wetu

 

10 years ago

Mwananchi

Mwaitege kuwashika mashabiki

Mwimbaji nguli wa muziki wa Injili nchini, Boniface Mwaitege amesema shughuli ya uzinduzi wa albamu zake tatu inayotarajiwa kufanyika leo jijini Dar es Salaam itaambatana na matukio kadhaa kwa ajili ya hadhara.

 

10 years ago

Michuzi

Kigoma wataka uzinduzi wa Mwaitege

WAKAZI wa Mkoa wa Kigoma, wameiomba Kampuni ya Msama Promotions kuwapelekea uzinduzi wa albamu tatu za mwimbaji mahiri wa nyimbo za injili nchini Boniface Mwaitege.
Kwa mujibu wa Mkurugenzi wa Msama Promotions, Alex Msama amepokea maombi mengi kwa wakazi wa mkoa huo wakihitaji uzinduzi huo ufanyike mkoani kwao.
“Nimepokea maombi ya wakazi wa Kigoma wakihitaji uzinduzi wa muimbaji nguli, Bonny Mwaitege ambaye anatarajia kuzindua albamu tatu,” alisema Msama.
Msama alisema mbali ya Kigoma mikoa...

 

10 years ago

Michuzi

Upendo Nkone kumsindikiza Bonny Mwaitege

MWIMBAJI nguli wa muziki wa Injili Tanzania, Upendo Nkone amekuwa wa kwanza kujitokeza kusindikiza uzinduzi wa mwenzake Bonny Mwaitege, utakaofanyika Agosti 2 kwenye ukumbi wa Diamond Jubilee jijini Dar es Salaam.
Kwa mujibu wa Mkurugenzi wa Kampuni ya Msama Promotions,  Alex Msama Nkone amekuwa wa kwanza na ameonesha nia ya kumsindikiza Mwaitege kwa sababu ya ubora wa uzinduzi huo. “Uzinduzi wa Mwaitege utakuwa ni wa aina yake kwa sababu maandalizi yake kwa yamefanywa kwa ustadi mkubwa  hasa...

 

10 years ago

Vijimambo

Soma Mwanangu song by Bony Mwaitege



Song ; Soma MwananguArtist ; Bony Mwaitege feat Bahati BukukuProduced By KAMETAWritten By Boniface Mwaitege

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani