Mwaitege kuwashika mashabiki
Mwimbaji nguli wa muziki wa Injili nchini, Boniface Mwaitege amesema shughuli ya uzinduzi wa albamu zake tatu inayotarajiwa kufanyika leo jijini Dar es Salaam itaambatana na matukio kadhaa kwa ajili ya hadhara.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-Co0L-MZbciQ/XqQVAJ25vvI/AAAAAAALoK0/7Fp7rG6Dy988_vI6-dBgIFPBrRG-JC3EACLcBGAsYHQ/s72-c/IMG_20200425_113402_358.jpg)
JAMII YAKIWA KUWASHIKA MKONO WASIOONA
NA DENIS MLOWE,IRINGA
JAMII imeshauriwa kuwashika mkono watu wenye ulemavu wa macho hasa katika kipindi hiki cha mapambano dhidi ya kuenea kwa virusi vya Corona COVID 19 kwani wamekuwa wakikabiliana na changamoto mbalimbali kutokana na hali zao.
Hayo yamezungumzwa na mganga mkuu wa Manispaa ya Iringa, Dk. Jesca Leba wakati wa mafunzo na kupokea msaada wa Barakao 200 na Sanitezer 40 kwa ajili ya walemavu wa macho uliotolewa na mdau wa maendeleo mkoa wa Iringa, Fadhili Ngajilo kuweza kuwasaidia...
9 years ago
BBCSwahili29 Nov
Uturuki yaapa kuwashika waliomuua wakili mashuhuri
10 years ago
Bongo513 Feb
Gadner alitongoza na kuwashika makalio wanawake mbele yangu — Lady Jaydee
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-Vjwvt9KQdDQ/XtFXiuciRoI/AAAAAAALsCI/CFhoCaN2p2czEjpZykdDfrfy5tXr0e5TwCLcBGAsYHQ/s72-c/c74db66d-73a3-48c6-8cfe-4152fd24fdf4.jpg)
WAZIRI KAIRUKI AIPONGEZA BENKI YA TADB KWA KUWASHIKA MKONO WAWEKEZAJI WAZAWA
![](https://1.bp.blogspot.com/-Vjwvt9KQdDQ/XtFXiuciRoI/AAAAAAALsCI/CFhoCaN2p2czEjpZykdDfrfy5tXr0e5TwCLcBGAsYHQ/s640/c74db66d-73a3-48c6-8cfe-4152fd24fdf4.jpg)
Charles James, Michuzi TV
SERIKALI imeahidi kuiongezea mtaji Benki ya Maendeleo ya Kilimo (TADB) kutokana na namna inavyowasaidia wakulima na kuwapa kipaumbele wawekezaji wazawa.
Hayo yamesemwa na Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu anayeshughulikia Uwekezaji, Angela Kairuki leo...
9 years ago
Dewji Blog25 Dec
Rebecca Malope awasili nchini tayari kwa kutoa burudani, kuwashika vilivyo watanzania Diamond Jubilee leo
Rebecca Malope Mwimbaji wa muziki wa injili kutoka nchini Afrika ya Kusini akiwasili kwenye uwanja wa ndege wa JNIA jana jioni tayari kutumbuiza kwenye tamasha la Krismass litakalofanyika kwenye ukumbi wa Diamond Jubilee jijini Dar es salaam leo likishirikisha waimbaji mbalimbali wakiwemo wa nchini Tanzania kama vile Rose Muhando, Upendo Nkone, Joshua Mlelwa na wengine wengi, kushoto katika picha anayefurahia ni Mkurugenzi wa Kampuni ya Msama Promotion iliyoandaa na kumleta mwimbaji huyo...
10 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-xqwm29SMuQA/VZF7qzE9KKI/AAAAAAAC72o/6PgaYxgIuRM/s72-c/68408-2.jpg)
Kigoma wataka uzinduzi wa Mwaitege
![](http://1.bp.blogspot.com/-xqwm29SMuQA/VZF7qzE9KKI/AAAAAAAC72o/6PgaYxgIuRM/s640/68408-2.jpg)
Kwa mujibu wa Mkurugenzi wa Msama Promotions, Alex Msama amepokea maombi mengi kwa wakazi wa mkoa huo wakihitaji uzinduzi huo ufanyike mkoani kwao.
“Nimepokea maombi ya wakazi wa Kigoma wakihitaji uzinduzi wa muimbaji nguli, Bonny Mwaitege ambaye anatarajia kuzindua albamu tatu,” alisema Msama.
Msama alisema mbali ya Kigoma mikoa...
9 years ago
Habarileo11 Sep
Muhando, Mwaitege kuimba amani
WAIMBAJI mahiri wa muziki wa Injili wanaotambulika zaidi Afrika Mashariki na Kati, Rose Muhando na Bonny Mwaitege wanatarajia kuzindua albamu zao mpya katika Tamasha la Amani linalotarajia kufanyika Oktoba 4, mwaka huu kwenye Uwanja wa Taifa Dar es Salaam.
10 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-2EJLpT64Zi8/VZVMD2UCcaI/AAAAAAAC8HE/I0XpW_yOf14/s72-c/Upendo%2BNkone.jpg)
Upendo Nkone kumsindikiza Bonny Mwaitege
![](http://1.bp.blogspot.com/-2EJLpT64Zi8/VZVMD2UCcaI/AAAAAAAC8HE/I0XpW_yOf14/s320/Upendo%2BNkone.jpg)
Kwa mujibu wa Mkurugenzi wa Kampuni ya Msama Promotions, Alex Msama Nkone amekuwa wa kwanza na ameonesha nia ya kumsindikiza Mwaitege kwa sababu ya ubora wa uzinduzi huo. “Uzinduzi wa Mwaitege utakuwa ni wa aina yake kwa sababu maandalizi yake kwa yamefanywa kwa ustadi mkubwa hasa...