Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


JAMII YAKIWA KUWASHIKA MKONO WASIOONA


NA DENIS MLOWE,IRINGA
JAMII imeshauriwa kuwashika mkono watu wenye ulemavu wa macho hasa katika kipindi hiki cha mapambano dhidi ya kuenea kwa virusi vya Corona COVID 19 kwani wamekuwa wakikabiliana na changamoto mbalimbali kutokana na hali zao.
Hayo yamezungumzwa na mganga mkuu wa Manispaa ya Iringa, Dk. Jesca Leba wakati wa mafunzo na kupokea msaada wa Barakao 200 na Sanitezer 40 kwa ajili ya walemavu wa macho uliotolewa na mdau wa maendeleo mkoa wa Iringa, Fadhili Ngajilo kuweza kuwasaidia...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

5 years ago

Michuzi

WAZIRI KAIRUKI AIPONGEZA BENKI YA TADB KWA KUWASHIKA MKONO WAWEKEZAJI WAZAWA

Mkurugenzi Mkuu wa Benki ya Maendeleo ya Kilimo (TADB), Japhet Justine akizungumza mbele ya Waziri wa Uwekezaji, Angela Kairuki wakati wa ziara ya kutembelea ujenzi wa kiwanda cha Qstek wilayani Manyoni, Singida leo.

Charles James, Michuzi TV

SERIKALI imeahidi kuiongezea mtaji Benki ya Maendeleo ya Kilimo (TADB) kutokana na namna inavyowasaidia wakulima na kuwapa kipaumbele wawekezaji wazawa.

Hayo yamesemwa na Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu anayeshughulikia Uwekezaji, Angela Kairuki leo...

 

9 years ago

GPL

BENKI YA NMB YAIPA MKONO JAMII YA GEITA

Meneja wa NMB Kanda ya Ziwa - Abraham Augustino (kulia) akikabidhi madawati kwa Mkuu wa Wilaya ya Geita - Manzie Mangochie (kushoto) kwa niaba ya Shule za Msingi Nyamkumbu na Ukombozi msaada wa madawati 100 yenye thamani ya shilingi milioni 10 kutoka Benki ya NMB katika hafla fupi iliyofanyika mjini Geita jana ambapo kila shule imekabidhiwa madawati 50. Wanafunzi wa Shule za Msingi Nyankumbu wakiwa na nyuso za furaha baada ya...

 

10 years ago

Michuzi

JAMII YATAKIWA KUUNGA MKONO MAPAMBANO DHIDI YA UKOSEFU LISHE BORA-MNG’ONG’O

Na Chalila Kibuda,Globu ya Jamii.JAMII imeaswa kuunga mkono juhudi mbalimbali dhidi ya mapambano  ya ukosefu lishe bora  kutokana kudumaza watoto na kushindwa taifa kukosa nguvu kazi katika jitihada za kusukuma uchumi.


Hayo ameyasema Mwenyekiti wa Mtandao wa Wabunge wa Masuala ya Lishe pamoja na Haki za Watoto,Lediana Mng’ong’o wakati akizindua ripoti lishe Duniani iliyokutanisha nchi mbalimbali kwa ajili ya kuweza kupata nguvu katika kupamba na lishe iliyofanyika leo katika Hoteli ya Protea,...

 

11 years ago

GPL

MABASI YAENDAYO KASI YAKIWA KWENYE MAJARIBIO JIJINI DAR

Mmoja ya basi la mwendo kasi likikatiza mtaa wa Lumumba ikiwa sehemu ya majaribio ya mabasi hayo ambayo yanaaminika yataondoa kabisa tatizo la usafiri katika jiji la Dar es Salaam.

 

10 years ago

Vijimambo

MAVAZI YA LB YAKIWA KWENYE TOLEO JIPYA LA WOMEN OF WEALTH MAGAZINE


Linda akionyesha picha kwenye magazine za Mavazi ya LINDA BEZUIDENHOUT yaliofunika usiku wa FASHION EXPERIENCE kwenye ukumbi waFERNBANK MUSEUM week iliopita jijini Atlanta Linda akiwa na mumewe MaliAlie kati ni STEVIE BAGGS JR. aliekuwa mmoja wa MC's yeye na Renee Ndo walikuwa MA-MC.STEVIE anajurikana pia kama mchezaji pekee aliechezea team 11 professional

 

10 years ago

Mwananchi

Mwaitege kuwashika mashabiki

Mwimbaji nguli wa muziki wa Injili nchini, Boniface Mwaitege amesema shughuli ya uzinduzi wa albamu zake tatu inayotarajiwa kufanyika leo jijini Dar es Salaam itaambatana na matukio kadhaa kwa ajili ya hadhara.

 

9 years ago

BBCSwahili

Uturuki yaapa kuwashika waliomuua wakili mashuhuri

Wakili Tahir Elci alipigwa risasi jana katika mji wa Kusini Mashariki wa Diyarbakir.

 

10 years ago

Bongo5

Gadner alitongoza na kuwashika makalio wanawake mbele yangu — Lady Jaydee

Wiki hii Lady Jaydee amewapa nafasi mashabiki wake kumuuliza maswali naye kuyajibu kupitia akaunti yake ya Instagram. Ameulizwa maswali mengi, na miongoni mwa maswali hayo ni la kuhusu ndoa yake na mtangazaji wa Radio E-FM Gadner G. Habash. Haya ni maswali na majibu kama alivyopost Instagram. “Tunasikia umeachana na mume ni kweli au uzushi? JIBU […]

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani