MAVAZI YA LB YAKIWA KWENYE TOLEO JIPYA LA WOMEN OF WEALTH MAGAZINE
Linda akionyesha picha kwenye magazine za Mavazi ya LINDA BEZUIDENHOUT yaliofunika usiku wa FASHION EXPERIENCE kwenye ukumbi waFERNBANK MUSEUM week iliopita jijini Atlanta Linda akiwa na mumewe Mali
Alie kati ni STEVIE BAGGS JR. aliekuwa mmoja wa MC's yeye na Renee Ndo walikuwa MA-MC.STEVIE anajurikana pia kama mchezaji pekee aliechezea team 11 professional
Vijimambo
Habari Zinazoendana
11 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-ULBBK28WyRk/U1c_ZF3qpXI/AAAAAAAFcaw/AIf8Kn1u2zw/s72-c/Linda+Profile+Picture+small.jpg)
TANZANIAN FASHION DESIGNER LINDA BEZUIDENHOUT TO BE HONORED BY WOMEN OF WEALTH MAGAZINE AT THE 2014 WOW GLOBAL SUMMIT
![](http://3.bp.blogspot.com/-ULBBK28WyRk/U1c_ZF3qpXI/AAAAAAAFcaw/AIf8Kn1u2zw/s1600/Linda+Profile+Picture+small.jpg)
Designer Linda Bezuidenhout (pictured) is set to be honored as “Fashion Designer of the Year” at the 4th WOW GLOBAL SUMMIT http://wowglobalsummit.com/ which will be held at the elegant Château Élan Winery & Resort - May 30th to 31st 2014. http://www.chateauelan.com/
The WOW Global Women Mentoring and Philanthropy Summit is the brain child of Women Of Wealth Magazine.http://www.womenofwealthmagazine.com/ . It was created for the purpose of connecting women around the world with each...
11 years ago
GPL![](http://dewjiblog.com/wp-content/uploads/2014/04/Linda-Profile-Picture-small.jpg)
TANZANIAN FASHION DESIGNER LINDA BEZUIDENHOUT TO BE HONORED BY WOMEN OF WEALTH MAGAZINE AT THE 2014 WOW GLOBAL SUMMIT
11 years ago
Michuzi09 May
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/sGeqV*sT8d1eE7lQ1U**2JDN5DZZ5MVAMLC0FBRqlRqARJRZnB1Pn9FykSLmeQ27aBmxL6aIsdpqB3Of9DBKxRWSiU8C*WY6/2.jpg)
MABASI YAENDAYO KASI YAKIWA KWENYE MAJARIBIO JIJINI DAR
9 years ago
Dewji Blog08 Sep
Libeneke jipya la biashara mtandaoni — Mavazi Store
Kampuni ya ConnectMoja Technologies Wamezindua tovuti mpya iitwayo Mavazi Store (www.mavazi.co.tz) ambayo inajumuisha Mkusanyiko wa maduka mbalimbali ya mavazi ya aina zote mtandaoni.
![](http://2.bp.blogspot.com/-wZOWZRHgxrc/Ve1PlJZacoI/AAAAAAAAWgM/crO9wlH0Ng4/s640/MAVAZI%2BSTORE.jpg)
Kwa Mujibu wa Meneja Chapa ambaye pia ni Ambasador wa Mavazi Store bwana Steve Seducter mfumo huu wa kisasa umelenga Kuondoa kero ya kutafuta bidhaa mbalimbali zinazohusiana na Urembo pamoja na Mavazi, pia kuwaokolea muda wateja kwa kuunganisha maduka Mengi zaidi kupitia tovuti hii ya...
9 years ago
Bongo525 Nov
Video: Tazama kionjo cha toleo jipya la filamu ya ‘The Barbershop: The Next Cut’
![barbershopheader](http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2015/11/barbershopheader-300x194.jpg)
Filamu ya comedy, ‘The Barbershop’ imerudi tena ikiwa na sura mpya ambazo hazikuwepo katika filamu zilizopita.
Waigizaji waliokuwepo toka filamu ya kwanza ni Ice Cube, Eve, Cedric The Entertainer na Anthony Anderson. Katika filamu mpya ‘The Barbershop: The Next Cut’ walioongezeka ni Nicki Minaj, Tyga na Comon. Inatarajiwa kutoka April 15, 2016.
Tazama trailer
Jiunge na Bongo5.com sasa Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose...