Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Libeneke jipya la biashara mtandaoni — Mavazi Store

Kampuni ya ConnectMoja Technologies  Wamezindua tovuti mpya iitwayo Mavazi Store (www.mavazi.co.tz) ambayo inajumuisha Mkusanyiko wa maduka mbalimbali ya mavazi ya aina zote mtandaoni.

Kwa Mujibu wa Meneja Chapa ambaye pia ni Ambasador wa Mavazi Store bwana  Steve Seducter   mfumo huu wa kisasa umelenga  Kuondoa kero ya kutafuta bidhaa mbalimbali zinazohusiana na Urembo pamoja na Mavazi, pia kuwaokolea muda wateja  kwa kuunganisha  maduka Mengi zaidi kupitia tovuti hii ya...

Dewji Blog

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Michuzi

KIOTA KIPYA CHA BIASHARA MTANDAONI - MAVAZI STORE

 KAMPUNI ya ConnectMoja Technologies  Wamezindua tovuti mpya iitwayo Mavazi Store (www.mavazi.co.tz)  ambayo inajumuisha Mkusanyiko wa maduka mbalimbali ya mavazi ya aina zote mtandaoni. 
Kwa Mujibu wa Meneja Chapa ambaye pia ni Ambasador wa Mavazi Store bwana  Steve Seducter   mfumo huu wa kisasa umelenga  Kuondoa kero ya kutafuta bidhaa mbalimbali zinazohusiana na Urembo pamoja na Mavazi, pia kuwaokolea muda wateja  kwa kuunganisha  maduka Mengi zaidi kupitia tovuti hii ya www.mavazi.co.tz...

 

10 years ago

Michuzi

LIBENEKE JIPYA LA ELIMU


www.elimu.co.tz

 

11 years ago

Michuzi

LIBENEKE JIPYA LA HABARIKA24

Habarika 24 ni blog inayokupa habari mbal mbali za kitafaifa, kimataifa, afya, mapishi, habari za kiingereza n.k
Hivyo ifungue sasa kupitiawww.habarika24.blogspot.com

 

10 years ago

Michuzi

introducing libeneke jipya la monstergala

 

Ankal Michuzi, Salam nyingi na hongera sana. Katika kuendeleza libeneke, nami nimeona sina budi kuunga mkono juhudi za kukuza lugha yetu kwa njia hii. Naomba nitangaze blogu mpya ya kawaida lakini yenye mambo yanayovutia sana kusoma na kufahamu.
Blogu hii itajikita zaidi katika kuelezea mambo mbalimbali kwa muundo mwepesi na kwa Kiswahili ili kukuza uelewa wa mambo mengi katika jamii yetu ambayo yameachwa katika lugha ngumu za kisayansi na hivyo kuwanyima fursa watu wengi kuyafahamu...

 

11 years ago

Michuzi

Introducing libeneke jipya la 4U Movement

Mambo yooooote BOFYA HAPA

 

10 years ago

Vijimambo

LIBENEKE JIPYA LA CHILDBIRTH SURVIVAL INTERNATIONAL

Childbirth Survival International (CSI) is a 501(c)(3) international non-profit humanitarian organization with headquarters in Baltimore, Maryland (USA). CSI works to improve timely access to quality and skilled healthcare services for pregnant women, newborns, children, andadolescents in marginalized communities. Click here For more info

 

10 years ago

Michuzi

Libeneke jipya: Misosi — Jirambe na ladha ya maisha

Habari Ankal Michuzi,

Bila shaka wewe ni bukheri wa afya. Nakupongeza kwa kazi adhimu ya kulihabarisha taifa. Basi na mimi bila kusita naomba kupitia kwenye globu hii maarufu ya jamii nipate kuwahabarisha watanzania wote wanaopenda maisha juu ya libeneke jipya la maakuli.

Nina furaha na shauku kubwa ya kuwaambia watanzania wenzangu kuwa tunawaletea libeneke jipya la Misosi – Ladha ya Maisha. Libeneke la http://www.misosi.co.tz/home ni maalumu kwa kupata habari za mapishi pamoja na kutafuta...

 

10 years ago

Michuzi

INTRODUCING NEW LIBENEKE JIPYA LA HABARI ZA KARIAKO 'Kariakoo Digital'


Naomba kutambulisha kwenu tovuti mpya ya www.kariakootz.com inayofahamika kama Kariakoo Digital ambayo imejikita katika kukusanya orodha ya maduka ya wafanyabiashara wa Kariakoo pamoja na bidhaa wanazouza, mawasiliano yao na mitaa wanayopatikana na kuyaweka sehemu moja ili kukupa urahisi wa kutafuta bidhaa unayohitaji.
Sasa unawaweza kuokoa muda na pesa zako kwa kutumia tovuti hii mpya ya www.kariakootz.com kupata orodha ya maduka mengi yanayouza bidhaa kariakoo kisha unaweza kuwasiliana...

 

10 years ago

Michuzi

Mdau Chris Mauki aja na libeneke lake jipya

Mdau Chris Mauki ameibuka na libeneke lake zuri kabisa lenye lengo la kuwahabarisha wadau kuhusu masuala ya saikolojia, familia, mahusiano, na malezi pindi upatapo nafasi ya kutembelea Libeneke lolote lile,basi usisite kutia baraka katika libeneke la Mdau Chris Mauki ili upate uhondo kwa kubofya hiyo Link hapo chini.www.chrismauki.com

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani