KIOTA KIPYA CHA BIASHARA MTANDAONI - MAVAZI STORE

KAMPUNI ya ConnectMoja Technologies Wamezindua tovuti mpya iitwayo Mavazi Store (www.mavazi.co.tz) ambayo inajumuisha Mkusanyiko wa maduka mbalimbali ya mavazi ya aina zote mtandaoni. Kwa Mujibu wa Meneja Chapa ambaye pia ni Ambasador wa Mavazi Store bwana Steve Seducter mfumo huu wa kisasa umelenga Kuondoa kero ya kutafuta bidhaa mbalimbali zinazohusiana na Urembo pamoja na Mavazi, pia kuwaokolea muda wateja kwa kuunganisha maduka Mengi zaidi kupitia tovuti hii ya www.mavazi.co.tz...
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Dewji Blog08 Sep
Libeneke jipya la biashara mtandaoni — Mavazi Store
Kampuni ya ConnectMoja Technologies Wamezindua tovuti mpya iitwayo Mavazi Store (www.mavazi.co.tz) ambayo inajumuisha Mkusanyiko wa maduka mbalimbali ya mavazi ya aina zote mtandaoni.

Kwa Mujibu wa Meneja Chapa ambaye pia ni Ambasador wa Mavazi Store bwana Steve Seducter mfumo huu wa kisasa umelenga Kuondoa kero ya kutafuta bidhaa mbalimbali zinazohusiana na Urembo pamoja na Mavazi, pia kuwaokolea muda wateja kwa kuunganisha maduka Mengi zaidi kupitia tovuti hii ya...
10 years ago
Michuzi21 Dec
KIOTA KIPYA CHA MARAHA CHA UEFA GOO NIGHT CLUB KUZINDULIWA MKESHA WA KRISMAS

10 years ago
Vijimambo
KIOTA KIPYA CHA MARAHA CHA JOZI LOUNGE CHAZINDULIWA MSASANI VILLAGE JIJINI DAR ES SALAAM



10 years ago
Michuziintroducing kiota kipya cha maraha na kilaji cha "Break Point Carnivore" Kinondoni, jijini Dar es salaam
11 years ago
Michuzi
10 years ago
Michuzi
Kiota Kipya cha maraha ndani ya Bunju, jijini Dar es salaam

Chimbo jipya kwa jina La Posto Bella Resort limefunguliwa nje kidogo ya mji wa Dar. Kwa wale wanaopenda maeneo private, utulivu na salama, hakuna haja ya kuumiza kichwa.
Kama inavyoonekana kwenye picha, pana garden nzuri iliyotengenezwa kwenye miinuko ya Bunju A, 1.2km toka Bagamoyo road, njia ya kuingia DogoDogo Centre, ikipata upepo baridiii unaotokea bahari ya Hindi.
Ni mazingira ya kiutu-uzima na...
10 years ago
Vijimambo
11 years ago
Michuzi.jpg)
KIOTA KIPYA CHA MARAHA CHAIBUKA KATIKATI YA JIJI LA DAR, UFUNGUZI RASMI JUMAMOSI
.jpg)
10 years ago
Dewji Blog05 Jun
Skylight Band yaendelea kuunguruma ndani ya kiota kipya cha Lukas Pub Masaki, usikose leo
Mwimbaji kutoka Bendi ya Skylight, Sony Masamba akitoa burudani ndani ya kiota cha Lukas Pub huku akisindikizwa na wasanii wenzake ambao ni Meneja wa Skylight Band Aneth Kushaba AK...