Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


BENKI YA NMB YAIPA MKONO JAMII YA GEITA

Meneja wa NMB Kanda ya Ziwa - Abraham Augustino (kulia) akikabidhi madawati kwa Mkuu wa Wilaya ya Geita - Manzie Mangochie (kushoto) kwa niaba ya Shule za Msingi Nyamkumbu na Ukombozi msaada wa madawati 100 yenye thamani ya shilingi milioni 10 kutoka Benki ya NMB katika hafla fupi iliyofanyika mjini Geita jana ambapo kila shule imekabidhiwa madawati 50. Wanafunzi wa Shule za Msingi Nyankumbu wakiwa na nyuso za furaha baada ya...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Tanzania Daima

NMB yaipa ALAT mil. 150/-

BENKI ya NMB imetoa sh milioni 150 kwa Jumuiya ya Tawala za Mitaa Tanzania (ALAT) kwa ajili ya kufanikisha  mkutano mkuu wa 30 wa jumuiya hiyo. Akizungumza na waandishi wa...

 

10 years ago

Michuzi

BENKI YA NMB YAZINDUA RASMI FAMILIA YA KADI ZA BENKI “MASTERCARD DEBIT” ZINAZOKUBALIKA KIMATAIFA

 Wadau wa benki ya NMB pamoja na wageni waalikwa wakisikiliza kwa umakini hotuba ya mgeni rasmi ambaye alikuwa ni Rais mstaafu wa awamu ya tatu Mhe. Benjamin William Mkapa wakati wa uzinduzi wa huduma mpya ya MasterCard itakayoanza kutumiwa rasmi na benki hiyo. Uzinduzi huo ulifanyika katika Hoteli ya Haytt Regency zamani Kilimanjaro, jijini Dar es Salaam. Rais wa Master Card kanda ya Afrika ya kati, Bw. Michael Mieback, akiwahutubia wadau wa Benki ya NMB wakati wa hafla ya uzinduzi wa kadi...

 

11 years ago

Mwananchi

Benki ya NMB yavuna Sh45 bil

Benki ya NMB imeingiza faida ya Sh134 bilioni mwaka jana na kutoa gawio la Sh45 bilioni kwa wanahisa wake .

 

5 years ago

Michuzi

Benki ya NMB yaadhimisha Wiki ya Maziwa


NMB Madaraka
NMB Bank House
NMB Kenyatta
NMB Clock Tower

Meneja Uhusiano Mwandamizi wa NMB Kanda ya Kaskazini anayeshughulikia Kilimo- Oscar Rwechungura alisema katika kuadhimisha Wiki ya Maziwa kwa kushirikiana na wadau wengine katika sekta ya...

 

5 years ago

CCM Blog

MKAPA AFURAHIA UAMUZI WA KUIBINAFSISHA BENKI YA NMB

  Rais Mstaafu wa Awamu ya Tatu Mhe. Benjamin Mkapa, akimkabidhi kitabu  Kaimu Mkurugenzi wa Benki ya NMB-  Ruth Zaipuna wakati wa hafla ya kutambulisha na kutia saini kitabu chake iliyofanyika jijini Mwanza.
 Kaimu Mkurugenzi wa Benki ya NMB - Ruth Zaipuna akitoa mada kuhusu ubinafsishaji wa benki hiyo wakati wa hafla ya utambulisho wa kitabu cha 
"My Life, My Purpose" kilichoandikwa na Mhe. Benjamin Mkapa, Rais Mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.Rais Mstaafu wa Awamu ya Tatu  Mhe....

 

5 years ago

Michuzi

Mkapa Afurahia Uamuzi Kuibinafsisha Benki ya NMB


Rais Mstaafu wa Awamu ya Tatu Mhe. Benjamin Mkapa, akimkabidhi kitabu Kaimu Mkurugenzi wa Benki ya NMB- Ruth Zaipuna wakati wa hafla ya kutambulisha na kutia saini kitabu chake iliyofanyika jijini Mwanza.
Kaimu Mkurugenzi wa Benki ya NMB - Ruth Zaipuna akitoa mada kuhusu ubinafsishaji wa benki hiyo wakati wakati wa hafla ya utambulisho wa kitabu cha "My Life, My Purpose" kilichoandikwa na Mhe. Benjamin Mkapa, Rais Mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
Rais Mstaafu wa Awamu ya Tatu ...

 

9 years ago

Michuzi

Wafanyakazi Benki ya NMB washerehekea 'Family Day'

Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya NMB, Ineke Bussemaker (kushoto) akimkabidhi kikombe mmoja wa washindi katika mchezo wa kuogelea kwenye maadhimisho ya Siku ya Familia iliyofanyika Kunduchi Wet 'n' Wild Water Park ya Jijini Dar es Salaam jana. Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya NMB, Ineke Bussemaker (kushoto) akimkabidhi kikombe mmoja wa washindi katika mchezo wa kuogelea kwenye maadhimisho ya Siku ya Familia iliyofanyika Kunduchi Wet 'n' Wild Water Park ya Jijini Dar es Salaam jana....

 

5 years ago

Michuzi

JAMII YAKIWA KUWASHIKA MKONO WASIOONA


NA DENIS MLOWE,IRINGA
JAMII imeshauriwa kuwashika mkono watu wenye ulemavu wa macho hasa katika kipindi hiki cha mapambano dhidi ya kuenea kwa virusi vya Corona COVID 19 kwani wamekuwa wakikabiliana na changamoto mbalimbali kutokana na hali zao.
Hayo yamezungumzwa na mganga mkuu wa Manispaa ya Iringa, Dk. Jesca Leba wakati wa mafunzo na kupokea msaada wa Barakao 200 na Sanitezer 40 kwa ajili ya walemavu wa macho uliotolewa na mdau wa maendeleo mkoa wa Iringa, Fadhili Ngajilo kuweza kuwasaidia...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani