Soma Mwanangu song by Bony Mwaitege
Song ; Soma MwananguArtist ; Bony Mwaitege feat Bahati BukukuProduced By KAMETAWritten By Boniface Mwaitege
Vijimambo
Habari Zinazoendana
10 years ago
Michuzi12 Nov
10 years ago
Mwananchi02 Aug
Mwaitege kuwashika mashabiki
10 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-xqwm29SMuQA/VZF7qzE9KKI/AAAAAAAC72o/6PgaYxgIuRM/s72-c/68408-2.jpg)
Kigoma wataka uzinduzi wa Mwaitege
![](http://1.bp.blogspot.com/-xqwm29SMuQA/VZF7qzE9KKI/AAAAAAAC72o/6PgaYxgIuRM/s640/68408-2.jpg)
Kwa mujibu wa Mkurugenzi wa Msama Promotions, Alex Msama amepokea maombi mengi kwa wakazi wa mkoa huo wakihitaji uzinduzi huo ufanyike mkoani kwao.
“Nimepokea maombi ya wakazi wa Kigoma wakihitaji uzinduzi wa muimbaji nguli, Bonny Mwaitege ambaye anatarajia kuzindua albamu tatu,” alisema Msama.
Msama alisema mbali ya Kigoma mikoa...
9 years ago
Habarileo11 Sep
Muhando, Mwaitege kuimba amani
WAIMBAJI mahiri wa muziki wa Injili wanaotambulika zaidi Afrika Mashariki na Kati, Rose Muhando na Bonny Mwaitege wanatarajia kuzindua albamu zao mpya katika Tamasha la Amani linalotarajia kufanyika Oktoba 4, mwaka huu kwenye Uwanja wa Taifa Dar es Salaam.
10 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-KE3JCdvi5do/VaT7Hid73bI/AAAAAAAC8gI/dLio0Thz4zk/s72-c/aduivcd.jpg)
Faustine Munishi kwenda sambamba na Mwaitege
![](http://1.bp.blogspot.com/-KE3JCdvi5do/VaT7Hid73bI/AAAAAAAC8gI/dLio0Thz4zk/s400/aduivcd.jpg)
MWIMBAJI wa Kimataifa anayeishi, Kenya Faustine Munishi anatarajia kumsindikiza mwenzake Bonny Mwaitege anayetarajia kuzindua albamu tatu kwenye ukumbi wa Diamond Jubilee jijini Dar es Salaam. Kwa mujibu wa Mkurugenzi wa Msama Promotions, Alex Msama, Munishi ataungana na Mwaitege, uzinduzi utakaofanyika Agosti 2 mwaka huu.Msama alisema Munishi ni mojawapo ya watakaomsindikiza mwimbaji huyo kwa sababu hivi sasa sambamba na Kilahiro na Kwaya ya Wakorintho wapili. “Uzinduzi wa albamu tatu...
10 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-GFxjMb9sNAA/VaPOKUTNh8I/AAAAAAAHpYI/ytx-oABxVtU/s72-c/p.txt.jpg)
Danny Bulenge: Naweza kumsindikiza Mwaitege
![](http://4.bp.blogspot.com/-GFxjMb9sNAA/VaPOKUTNh8I/AAAAAAAHpYI/ytx-oABxVtU/s640/p.txt.jpg)
10 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-2EJLpT64Zi8/VZVMD2UCcaI/AAAAAAAC8HE/I0XpW_yOf14/s72-c/Upendo%2BNkone.jpg)
Upendo Nkone kumsindikiza Bonny Mwaitege
![](http://1.bp.blogspot.com/-2EJLpT64Zi8/VZVMD2UCcaI/AAAAAAAC8HE/I0XpW_yOf14/s320/Upendo%2BNkone.jpg)
Kwa mujibu wa Mkurugenzi wa Kampuni ya Msama Promotions, Alex Msama Nkone amekuwa wa kwanza na ameonesha nia ya kumsindikiza Mwaitege kwa sababu ya ubora wa uzinduzi huo. “Uzinduzi wa Mwaitege utakuwa ni wa aina yake kwa sababu maandalizi yake kwa yamefanywa kwa ustadi mkubwa hasa...
11 years ago
Tanzania Daima15 Dec
Waliowaibua Makongorosi, Mwaitege waachia albamu
WAZALISHAJI muziki waliorekodi albamu za kwanza za Kwaya ya Makongorosi na Bony Mwaitege, wameungana na kuingia kazini wenyewe na kufyatua albamu yao inayokwenda kwa jina la ‘Siku za Mwisho’. Akizungumza...