Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Danny Bulenge: Naweza kumsindikiza Mwaitege

Mkurugenzi wa Msama Promotions, Alex Msama MUIMBAJI wa Muziki wa Injili anayekuja kasi katika muziki huo, Danny Bulenge amesema anakidhi kuwa mmoja wa watakaomsindikiza mwenzake Bonni Mwaitege uzinduzi unaotarajia kufanyika Agosti 2 mwaka huu.Kwa mujibu wa Bulenge anakidhi kumsindikiza Mwaitege anayetarajia kuzindua albamu tatu ambazo ni moto wa kuotea mbali katika muziki huo.Bulenge alisema hivi sasa anaendelea na mazoezi kwa lengo la kufikisha ujumbe wa neno la Mungu na kuahidi kusindikiza...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

Upendo Nkone kumsindikiza Bonny Mwaitege

MWIMBAJI nguli wa muziki wa Injili Tanzania, Upendo Nkone amekuwa wa kwanza kujitokeza kusindikiza uzinduzi wa mwenzake Bonny Mwaitege, utakaofanyika Agosti 2 kwenye ukumbi wa Diamond Jubilee jijini Dar es Salaam.
Kwa mujibu wa Mkurugenzi wa Kampuni ya Msama Promotions,  Alex Msama Nkone amekuwa wa kwanza na ameonesha nia ya kumsindikiza Mwaitege kwa sababu ya ubora wa uzinduzi huo. “Uzinduzi wa Mwaitege utakuwa ni wa aina yake kwa sababu maandalizi yake kwa yamefanywa kwa ustadi mkubwa  hasa...

 

10 years ago

Michuzi

Waimbaji wa ndani waomba kumsindikiza Bonny Mwaitege

IDADI kubwa ya waimbaji  wa nyimbo za Injili Tanzania wameonesha nia ya kumsindikiza mwenzao, Bonny Mwaitege anayetarajia kuzindua albamu yake Agosti 2 mwaka huu.
Uzinduzi huo unaotarajia kufanyika kwenye ukumbi wa Diamond Jubilee jijini Dar es Salaam ambao utashirikisha albamu tatu za muimbaji huyo zinazoendelea kurekodiwa jijini Mwanza.
Kwa mujibu wa Mkurugenzi wa Kampuni ya Msama Promotions, Alex Msama hivi sasa utaratibu wa kurekodi albamu hizo unaendelea jijini Mwanza. Msama aliyezungumza...

 

10 years ago

GPL

JB NAWEZA KUWA KAMA ZAMANI

MKONGWE wa filamu Bongo, Jacob Steven ‘JB’ amefunguka kwamba anaweza kuuweka kando ubonge na kurejea kwenye muonekano wake wa zamani kama atatakiwa kuwa hivyo. Mkongwe wa filamu Bongo, Jacob Steven ‘JB’ akila tizi. JB aliyasema hayo alipoulizwa kuhusiana na picha yake ya zamani inayomuonesha akiwa mwembamba sana tofauti na ubonge alionao sasa ambapo alijitetea kwamba yeye ni msanii na filamu ndizo...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Mradi wa ‘Sasa Naweza’ wadhaminiwa

KAMPUNI ya Promasidar imedhamini mradi wa ‘Sasa Naweza’ wenye lengo la kuinua kiwango cha ufaulu kwa watoto wa kike hapa nchini kuanzia Halmashauri ya Wilaya ya Temeke, Dar es Salaam....

 

11 years ago

GPL

NAOGOPA - DANNY PAS FT MR BLUE

Song: Naogopa by Danny Pas Ft Mr Blue Producer: Mr T. Touchez Studio: Sulductive Rec

 

9 years ago

Habarileo

Ndugai-Msirudie, naweza kuwa mbabe

WAKATI Rais John Magufuli akieleza kusikitishwa na vitendo vya kitoto vilivyofanywa bungeni na Kambi ya Upinzani jana, Spika wa Bunge, Job Ndugai amewataka wabunge wasimfanye awe Spika mbabe.

 

11 years ago

Michuzi

Kampeni ya "Najiamini Naweza" Ya Mitandao Ya Jamii

Napenda kukutambulisha juhudi yetu mpya inayoitwa “Najiamini Naweza” - ambayo ni matokeo ya ushirikiano kati ya Maanisha! Limited (http://www.maanisha.co.tz/) na Hivos Twaweza (http://www.twaweza.org/).  
Kampeni hii imelenga kuonyesha harakati za kila siku za maisha ya Watanzania.  Kampeni inahamasisha wananchi kutambua uwezo na wajibu walio nao katika kutafuta suluhu za kero/changamoto wanazokumbana nazo. Tunafahamu kwamba mabadiliko huanza na mtu mmoja na pia jinsi huyo mmoja anavyoweza...

 

10 years ago

GPL

MARIAH CAREY: SASA NAWEZA KUPENDA

Staa wa muziki wa Pop, Mariah Carey STAA wa muziki wa Pop, Mariah Carey ameweka bayana kuwa sasa anaweza kupenda tena baada ya kuachana na mzazi mwenzake, Nick Cannon. Mariah Carey akiwa na aliyekuwa mumewe Nick Cannon.
Staa huyo alisema kuwa lolote linawezekana chini ya jua na kwamba akipata anayempenda, hatajizuia kuwa naye hadharani.Akizungumza na  tovuti ya people.com, staa huyo alisema kwamba hatasita… ...

 

9 years ago

Mtanzania

Danny Lyanga ampa jeuri Kerr

danie-lynga-390x390NA JENNIFER ULLEMBO, DAR ES SALAAM

KOCHA Mkuu wa timu ya Simba, Dylan Kerr, amesema kwa sasa anaweza kutembea kifua mbele baada ya kikosi chake kuanza kukaa katika mstari ulionyooka katika Ligi Kuu Tanzania Bara.

Jeuri ya Mwingereza huyo imekuja baada ya Simba kuonyesha kiwango cha hali ya juu katika mchezo wao dhidi ya Azam, uliokwisha kwa sare ya mabao 2-2, huku mshambuliaji wao, Danny Lyanga, aking’ara vilivyo.

Akizungumza na MTANZANIA jana, Kerr alisema awali walipokuwa kambini visiwani...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani