Ndugai-Msirudie, naweza kuwa mbabe
WAKATI Rais John Magufuli akieleza kusikitishwa na vitendo vya kitoto vilivyofanywa bungeni na Kambi ya Upinzani jana, Spika wa Bunge, Job Ndugai amewataka wabunge wasimfanye awe Spika mbabe.
habarileo
Habari Zinazoendana
10 years ago
GPLJB NAWEZA KUWA KAMA ZAMANI
9 years ago
Habarileo19 Dec
Ndugai akerwa kusingiziwa kuwa mahututi
SPIKA wa Bunge, Job Ndugai ameeleza kusikitishwa na taarifa zinazosambazwa kwenye mitandao ya kijamii na katika baadhi ya vyombo vya habari zikieleza kuwa ni mgonjwa mahututi.
9 years ago
StarTV18 Nov
Job Ndugai achaguliwa kuwa spika, wabunge waapishwa
Bunge la 11 la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania limeanza vikao vyake mjini Dodoma kwa kumchagua Job Ndugai wa Chama cha Mapinduzi CCM kuwa spika wa bunge hilo kati ya wagombea wenzake nane kutoka vyama vya upinzani waliojitokeza kuwania nafasi hiyo.
Ndugai amepata kura 254 akifuatiwa na Dokta Ole Medeye wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA aliyepata kura 109 na wagombea wengine wakikosa kura yoyote.
Bunge la 11 limeanza vikao vyakao vyake majira ya 3 asubuhi kwa katibu wa bunge Dk...
10 years ago
Mwananchi09 Nov
Uhamiaji msirudie kutoa ajira za upendeleo
11 years ago
Tanzania Daima04 Mar
Mradi wa ‘Sasa Naweza’ wadhaminiwa
KAMPUNI ya Promasidar imedhamini mradi wa ‘Sasa Naweza’ wenye lengo la kuinua kiwango cha ufaulu kwa watoto wa kike hapa nchini kuanzia Halmashauri ya Wilaya ya Temeke, Dar es Salaam....
10 years ago
GPLMARIAH CAREY: SASA NAWEZA KUPENDA
11 years ago
MichuziKampeni ya "Najiamini Naweza" Ya Mitandao Ya Jamii
Kampeni hii imelenga kuonyesha harakati za kila siku za maisha ya Watanzania. Kampeni inahamasisha wananchi kutambua uwezo na wajibu walio nao katika kutafuta suluhu za kero/changamoto wanazokumbana nazo. Tunafahamu kwamba mabadiliko huanza na mtu mmoja na pia jinsi huyo mmoja anavyoweza...
10 years ago
MichuziDanny Bulenge: Naweza kumsindikiza Mwaitege
9 years ago
BBCSwahili27 Dec
LVG; Naweza kuondoka mwenyewe Man United