Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Ndugai akerwa kusingiziwa kuwa mahututi

SPIKA wa Bunge, Job Ndugai ameeleza kusikitishwa na taarifa zinazosambazwa kwenye mitandao ya kijamii na katika baadhi ya vyombo vya habari zikieleza kuwa ni mgonjwa mahututi.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Habarileo

Ndugai-Msirudie, naweza kuwa mbabe

WAKATI Rais John Magufuli akieleza kusikitishwa na vitendo vya kitoto vilivyofanywa bungeni na Kambi ya Upinzani jana, Spika wa Bunge, Job Ndugai amewataka wabunge wasimfanye awe Spika mbabe.

 

9 years ago

StarTV

Job Ndugai achaguliwa kuwa spika, wabunge waapishwa

Bunge la 11 la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania limeanza vikao vyake  mjini Dodoma kwa kumchagua Job Ndugai wa Chama  cha Mapinduzi CCM kuwa spika wa bunge hilo  kati ya wagombea wenzake nane kutoka vyama vya upinzani waliojitokeza kuwania nafasi hiyo.

Ndugai amepata kura 254 akifuatiwa na Dokta Ole Medeye wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA aliyepata kura 109 na wagombea wengine wakikosa kura yoyote.

Bunge la 11 limeanza vikao vyakao vyake majira ya 3 asubuhi kwa katibu wa bunge  Dk...

 

11 years ago

Mwananchi

Mawaziri saba ‘mahututi’

Msuguano mkali umekuwa wakati Bunge linapokaa kama kamati kupitia vifungu vya bajeti za wizara husika.

 

11 years ago

BBCSwahili

Je wagonjwa mahututi wasaidiwe kufa?

Desmond tutu amesema kwamba anaunga mkono wagonjwa mahututi wanaotaka kusaidiwa kufariki wafanyiwe hivyo.

 

11 years ago

GPL

ALIYEPIGWA NA CHID BENZ MAHUTUTI

Stori: Richard Bukos
MREMBO Mwanaisha Kiboye, mkazi wa Ilala, Dar anayedaiwa kupigwa na mwanamuziki wa Kizazi Kipya Bongo, Rashid Makwilo ‘Chid Benz’, hali imekuwa mbaya kwani yu mahututi. Mwanaisha Kiboye, akiwa hoi hospitali baada ya kipigo kutoka kwa msanii Chid Benz. Juzi Jumatatu, wakati staa huyo akipandishwa kizimbani katika Mahakama ya Wilaya ya Ilala, Dar kwa kesi hiyo, Mwanaisha alikuwa akipumua kwa...

 

9 years ago

Mtanzania

Leticia Nyerere mahututi Marekani

Leticia-Nyerere*Apumulia mashine, familia yaanza kujipanga

Na Veronica Romwald, Dar es Salaam

HALI ya afya ya aliyekuwa Mbunge wa Viti Maalumu kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Leticia Nyerere si nzuri.

Kwa mujibu wa chanzo chetu cha habari, Leticia amelazwa katika Hospitali ya Doctors Community iliyopo Maryland nchini Marekani.

Chanzo hicho kimeeleza kuwa mwanasiasa huyo amelazwa katika Chumba cha Wagonjwa Mahututi (ICU), ingawa haijafahamika anasumbuliwa na tatizo gani.

Tangu juzi...

 

11 years ago

BBCSwahili

Jogoo wa langalanga bado mahututi

Mwezi mmoja baada ya kujeruhiwa katika ajali ya mchezo wa kuteleza kwenye barafu, Michael Schumacher bado 'amezirai.'

 

11 years ago

Mwananchi

Tazara sasa ‘mahututi’ yaomba kusaidiwa

Mkurugenzi Mtendaji wa Mamlaka ya Reli ya Tanzania na Zambia (Tazara), Ronald Phiri amesema shirika hilo linaweza kufa iwapo wabia wake (Tanzania na Zambia), hawatachukua hatua za dharura ikiwamo kuongeza mitaji ya kuchochea kasi na ufanisi katika uzalishaji.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani