Leticia Nyerere mahututi Marekani
*Apumulia mashine, familia yaanza kujipanga
Na Veronica Romwald, Dar es Salaam
HALI ya afya ya aliyekuwa Mbunge wa Viti Maalumu kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Leticia Nyerere si nzuri.
Kwa mujibu wa chanzo chetu cha habari, Leticia amelazwa katika Hospitali ya Doctors Community iliyopo Maryland nchini Marekani.
Chanzo hicho kimeeleza kuwa mwanasiasa huyo amelazwa katika Chumba cha Wagonjwa Mahututi (ICU), ingawa haijafahamika anasumbuliwa na tatizo gani.
Tangu juzi...
Mtanzania
Habari Zinazoendana
11 years ago
Tanzania Daima19 Jun
Leticia Nyerere ashushuliwa
MBUNGE wa Kawe, Halima Mdee (CHADEMA), amemtaka mbunge mwenzake, Leticia Nyerere, aache ubunge na akajiunge na Chama Cha Mapinduzi (CCM), kuliko kuendelea kukipigia debe chama hicho akiwa upinzani. Kauli hiyo...
11 years ago
Mwananchi10 Mar
Leticia: Nyerere, Karume wasiguswe
9 years ago
Mtanzania30 Dec
Familia ya Leticia Nyerere kutoa tamko Ijumaa
NA KOKU DAVID, DAR ES SALAAM
FAMILIA ya aliyekuwa Mbunge wa Viti Maalumu kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Leticia Nyerere, imesema baada ya kukamilisha majadiliano inatarajia kutoa tamko la kifamilia Januari mosi.
Akizungumza na MTANZANIA jijini Dar es Salaam, msemaji wa familia ya Msobi Mageni, John Shibuda, alisema kwa sasa haina cha kuzungumza na kwamba baada ya kukaa ndipo itakuwa na neno la kusema.
Alisema mgonjwa bado yupo hospitali na kwamba familia ndiyo...
10 years ago
GPL
LETICIA NYERERE AIKACHA CHADEMA, AHAMIA CCM
10 years ago
Michuzi
Mbunge wa Viti Maalum Chadema,Leticia Nyerere arejea CCM.



10 years ago
Vijimambo
PICHA ZINGINE ZA MBUNGE LETICIA NYERERE ALIPOTANGAZA KUJIUNGA NA CCM



11 years ago
Vijimambo6TH ANNUAL JULIUS K. NYERERE COMMEMORATION YAFANYIKA CAPITOL HEIGHTS MARYLAND NCHINI MAREKANI
10 years ago
Michuzi
10 years ago
Mwananchi28 Jul
Abwao, Leticia wavua magwanda