Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Leticia Nyerere ashushuliwa

MBUNGE wa Kawe, Halima Mdee (CHADEMA), amemtaka mbunge mwenzake, Leticia Nyerere, aache ubunge na akajiunge na Chama Cha Mapinduzi (CCM), kuliko kuendelea kukipigia debe chama hicho akiwa upinzani. Kauli hiyo...

Tanzania daima

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Mwananchi

Leticia: Nyerere, Karume wasiguswe

Mjumbe wa Bunge Maalumu la Katiba, Leticia Nyerere juzi aliwaangukia wajumbe wenzake na kuwaomba wapitishe kanuni inayozuia majina ya waasisi wa Muungano wa Tanzania kutumika kwa dhihaka.

 

9 years ago

Mtanzania

Leticia Nyerere mahututi Marekani

Leticia-Nyerere*Apumulia mashine, familia yaanza kujipanga

Na Veronica Romwald, Dar es Salaam

HALI ya afya ya aliyekuwa Mbunge wa Viti Maalumu kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Leticia Nyerere si nzuri.

Kwa mujibu wa chanzo chetu cha habari, Leticia amelazwa katika Hospitali ya Doctors Community iliyopo Maryland nchini Marekani.

Chanzo hicho kimeeleza kuwa mwanasiasa huyo amelazwa katika Chumba cha Wagonjwa Mahututi (ICU), ingawa haijafahamika anasumbuliwa na tatizo gani.

Tangu juzi...

 

10 years ago

GPL

LETICIA NYERERE AIKACHA CHADEMA, AHAMIA CCM

Mh. Leticia Nyerere (katikati) akiwa na watoto wake Julia Nyerere (kulia) na Helena Nyerere (kushoto) wakati alipokuwa akizungumza na waandishi wa habari. Baadhi ya waandishi wa habari wakifuatilia kwa karibu tukio hilo. Mh. Leticia akikazia jambo. Aliyekuwa Mbunge wa viti maalum kwa tiketi ya Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Leticia Nyerere ametangaza kuCihama rasmi chama hicho na kujiunga na Chama cha Mapinduzi...

 

9 years ago

Mtanzania

Familia ya Leticia Nyerere kutoa tamko Ijumaa

leticia nyerereNA KOKU DAVID, DAR ES SALAAM

FAMILIA ya aliyekuwa Mbunge wa Viti Maalumu kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Leticia Nyerere, imesema baada ya kukamilisha majadiliano inatarajia kutoa tamko la kifamilia Januari mosi.

Akizungumza na MTANZANIA jijini Dar es Salaam, msemaji wa familia ya Msobi Mageni, John Shibuda, alisema kwa sasa haina cha kuzungumza na kwamba baada ya kukaa ndipo itakuwa na neno la kusema.

Alisema mgonjwa bado yupo hospitali na kwamba familia ndiyo...

 

10 years ago

Michuzi

Mbunge wa Viti Maalum Chadema,Leticia Nyerere arejea CCM.

 Mbunge wa Viti Maalum wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema),Leticia Nyerere akinyanyua mikono ikiwa ni sehemu ya ishara ya kuondoka katika chama hicho na kurejea Chama cha Mapinduzi (CCM) wakati alipokutana na waandishi wa habari katika ukumbi wa Idara ya habari Maelezo leo jijini Dar es Salaam.

 Mbunge wa Viti Maalum Chadema,Leticia Nyerere akifafanua jambo kwa waandishi habari juu ya kuondoka katika chama hicho. Waandishi wa habari wakifuatilia kwa umakini maelezo ya Mbunge wa...

 

10 years ago

Vijimambo

PICHA ZINGINE ZA MBUNGE LETICIA NYERERE ALIPOTANGAZA KUJIUNGA NA CCM

  Mbunge wa Viti Maalum wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema),Leticia Nyerere akinyanyua mikono ikiwa ni sehemu ya ishara ya kuondoka katika chama hicho na kurejea Chama cha Mapinduzi (CCM) wakati alipokutana na waandishi wa habari katika ukumbi wa Idara ya habari Maelezo leo jijini Dar es Salaam. Mbunge wa Viti Maalum Chadema,Leticia Nyerere akifafanua jambo kwa waandishi habari juu ya kuondoka katika chama hicho.Mwandishi akiuliza swali kwa Mbunge wa Viti Maalum Chadema,Leticia...

 

10 years ago

Mwananchi

Abwao, Leticia wavua magwanda

>Wabunge wawili wa Viti Maalumu (Chadema) wamekihama chama hicho na kujiunga na na vyama vingine huku mmoja akikiponda chama hicho kuwa hakina dhamira ya dhati ya kupambana na ufisadi.

 

10 years ago

Vijimambo

Msiba wa Mama Leticia Mattei Rwechungura

Tunasikitika kutangaza kifo cha ghafla cha  dada yetu mpendwa Leticia Mattei Rwechungura kilichotokea hapa Ujerumani tarehe 06.01.2015. Mazishi yatafanyika hapa Ujerumani Königswinter, karibu na mji wa Bonn tarehe 24.01.2015. Misa itaanza saa tano asubuhi (11:00 a.m.), katika Kanisa la St. Michael Niederdollendorf, Petersbergerstr. 14, 53639 Königswinter.
Dada Leticia Mattei alikuwa mfanyakazi wa Umoja wa Mataifa huko South Sudan (UNMIS) - United Nations Mission in Südan, Eastern Equatoria...

 

11 years ago

Tanzania Daima

CHADEMA kuwatosa Shibuda, Arfi, Leticia

CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), kimesema kuwa kitawafukuza wabunge wake, John Shibuda (Maswa Magharibi), Said Arfi (Mpanda Mjini) na Leticia Nyerere (Viti Maalum) baada ya kujiridhisha kwamba wameshiriki vikao...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani