Abwao, Leticia wavua magwanda
>Wabunge wawili wa Viti Maalumu (Chadema) wamekihama chama hicho na kujiunga na na vyama vingine huku mmoja akikiponda chama hicho kuwa hakina dhamira ya dhati ya kupambana na ufisadi.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
11 years ago
Habarileo25 Apr
Washitakiwa wavua nguo hadharani
MAHABUSI wa Gereza Kuu la Arusha wamevua nguo hadharani katika Mahakama ya Mkoa kwa kile wakishinikiza kesi zao kusikilizwa haraka.
11 years ago
BBCSwahili07 May
Mahabusu wavua nguo kupinga ubaguzi
11 years ago
Mwananchi07 May
Mahabusu wavua nguo kupinga wenzao kuachiwa
11 years ago
Tanzania Daima08 Aug
Chiku Abwao ajibu mapigo
MBUNGE wa Viti Maalum, Chiku Abwao (Chadema), amewashukia wanaomzushia kuwa amewasaliti wenzake wa Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa), na kuhudhuria vikao vya Bunge Maalum la Katiba linaloendelea mjini hapa....
9 years ago
Habarileo21 Sep
Abwao amponda Mchungaji Msigwa
MGOMBEA ubunge wa Jimbo la Iringa Mjini kupitia ACT-Wazalendo, Chiku Abwao amesema heri ya miaka mitano ya aliyekuwa mbunge wa jimbo hilo, Monica Mbega wa CCM kuliko miaka mitano ya Mchungaji Peter Msigwa wa Chadema.
10 years ago
Habarileo05 Aug
Abwao ajitosa ACT,atamba kumng’oa Msigwa
MBUNGE wa Viti Maalumu Chadema, Chiku Abwao ndiye atakayepeperusha bendera ya ACT kuwania ubunge wa Jimbo la Iringa mjini katika uchaguzi mkuu ujao, huku akitamba kwamba atambwaga mbunge anayemaliza muda wake, Mchungaji Peter Msigwa (Chadema).
11 years ago
Mtanzania06 Aug
Chiku Abwao avinjari viwanja vya Bunge
![Mbunge wa Chadema, Chiku Abwao](http://mtanzania.co.tz/wp-content/uploads/2014/08/Chiku-Abwao.jpg)
Mbunge wa Chadema, Chiku Abwao
NA MWANDISHI WETU, DODOMA
WAJUMBE wanaounda Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa), wameendelea kumiminika mjini hapa, unakoendelea mkutano wa Bunge Maalum la Katiba, ambao umoja huo umesusia.
Jana Mbunge wa Viti Maalum, Chiku Abwao (Chadema), alionekana ndani ya viwanja vya Bunge.
Hata hivyo, mbunge huyo alisema alifika kwenye viwanja hivyo kwa lengo la kuchukua gari lake alilokuwa ameliacha na si kuudhuria mkutano wa Bunge la Katiba unaoendelea.
Alisema amekuwa...
10 years ago
Mtanzania13 Sep
Sura mpya Chadema, Mdee juu, Abwao nje
![SURA MPYA CHADEMA](http://mtanzania.co.tz/wp-content/uploads/2014/09/Mtanzania-130914.jpg)
SURA MPYA CHADEMA
NA ELIZABETH HOMBO
KATIKA hali ambayo haikutarajiwa na wengi, Uchaguzi Mkuu wa ndani wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), umeonekana kuwa wenye mchuano mkali huku majina ya wanasiasa wenye ushawishi katika chama hicho waliojitokeza kuwania nafasi za uongozi yakishindwa kutamba.
Mwenendo huo unaochukua mwelekeo wa kuwepo mapinduzi ya kiuongozi ndani ya jumuiya za chama hicho, ulijitokeza jana wakati wa uchaguzi wa viongozi wapya wa Baraza la Wanawake wa chama...
11 years ago
Tanzania Daima19 Jun
Leticia Nyerere ashushuliwa
MBUNGE wa Kawe, Halima Mdee (CHADEMA), amemtaka mbunge mwenzake, Leticia Nyerere, aache ubunge na akajiunge na Chama Cha Mapinduzi (CCM), kuliko kuendelea kukipigia debe chama hicho akiwa upinzani. Kauli hiyo...