Msiba wa Mama Leticia Mattei Rwechungura
Tunasikitika kutangaza kifo cha ghafla cha dada yetu mpendwa Leticia Mattei Rwechungura kilichotokea hapa Ujerumani tarehe 06.01.2015. Mazishi yatafanyika hapa Ujerumani Königswinter, karibu na mji wa Bonn tarehe 24.01.2015. Misa itaanza saa tano asubuhi (11:00 a.m.), katika Kanisa la St. Michael Niederdollendorf, Petersbergerstr. 14, 53639 Königswinter.
Dada Leticia Mattei alikuwa mfanyakazi wa Umoja wa Mataifa huko South Sudan (UNMIS) - United Nations Mission in Südan, Eastern Equatoria...
Vijimambo
Habari Zinazoendana
10 years ago
VijimamboMsiba wa Dada Leticia Mattei Rwechungura
Dada Leticia Mattei alikuwa mfanyakazi wa Umoja wa Mataifa huko South Sudan (UNMIS) - United Nations Mission in Südan, Eastern Equatoria...
10 years ago
MichuziTAARIFA YA MSIBA WA DADA LETICIA MATTEI RWECHUNGURA ULIOTOKEA NCHINI UJERUMANI
Dada Leticia Mattei alikuwa mfanyakazi wa Umoja wa Mataifa huko South Sudan (UNMIS) - United Nations Mission in Südan, Eastern...
11 years ago
MichuziMaendeleo ya Msiba wa Mama Kagaruki na Safari ya Marehemu Mama Harriette Peace Kagaruki kuelekea Tanzania
· Watanzania Marekani wametoa dolla 5,300 · Familia, ndugu na Jamaa wa Tanzania wametoa dolla 11,000 · Watoto wa Marehemu Erick na Mary Kagaruki wametoa kiasi kilichobakia cha dolla 3,700. Watoto wa Marehemu Erick Kagaruki na Mary Kagaruki na...
11 years ago
MichuziMaendeleo ya Msiba wa Mama Theonestina Rweyemamu
10 years ago
Michuzi28 Oct
Msiba wa Mama Maleko Lema -Update 2
Kwa Marekani,Msiba utakuwepo nyumbani kwa CM & Martha huko Apple Valley -Minnesota.Adress:15483 Flight Way,Apple Valley MN 55124.
Kama ilivyo desturi yetu,tunaendelea kukutanika nyumbani kwao ili kuwafariji na kuleta rambi rambi zetu kwa pamoja.
Jumatano 10/29/14 kutakuwa na Ibada maalum ya kuomba...
9 years ago
MichuziTANGAZO LA MSIBA WA MAMA JUDITH TARIMO
Mipango ya mazishi inafanyika nyumbani kwa marehemu Ukonga-Mombasa jijini Dar es salaam na Rombo Mahida, Mkoani Kilimanjaro.
Habari ziwafikie ndugu jamaa na marafiki wote wa ukoo wa Tarimo na Shayo, popote pale walipo.
Mwili wa marehemu unataraji kuagwa Oktoba 28, 2015 kabla ya kusafirishwa siku...
10 years ago
VijimamboTANGAZO LA MSIBA WA MAMA FLORA KAAYA
Familia ya Marehemu Freddrick Nicholaus Kaaya wa Mikocheni Dar es Salaam, wanasikitika kutangaza kifo cha mama yao mpendwa Flora Kaaya kilichotokea 11/04/2015 katika Hospitali ya TMJ.
Mwili wa Marehemu utaagwa nyumbani kwake Mikocheni siku ya jumatano Aprili 15,2015 kuanzia saa 4 asubuhi.
Mazishi yatafanyika kijiji cha Akheri –Arumeru, Arusha suku ya Alhamisi Aprili 16,2015 saa 4 Asubuhi.
BWANA AMETOA NA BWANA AMETWAA, JINA LA BWANA LIHIMIDIWE.
10 years ago
Vijimambo27 Oct
Maendeleo ya Msiba wa Mama Maleko Lema
Kwa Marekani,Msiba utakuwepo nyumbani kwa CM & Martha huko Apple Valley -Minnesota.Adress:15483 Flight Way,Apple Valley MN 55124.
Kama ilivyo desturi yetu,tunaendelea kukutanika nyumbani kwao ili kuwafariji na kuleta rambi rambi zetu kwa pamoja.
Jumatano 10/29/14 kutakuwa na Ibada maalum ya kuomba...
11 years ago
Michuzi16 Apr
TANGAZO LA MSIBA MAMA BERNADA ALOYCE NJELEKELA
Mazishi yanatarajiwa kufanyika kesho mchana Makaburi ya Agape huko Mbezi Luis. Tumeambatanisha ratiba ya mazishi pamoja na ramani inayoonyesha ulipo msiba.
RATIBA YA MAZISHI YA MAMA BERNADA ALOYCE NJELEKELA (26 NOV 1933 – 14 APRILI 2014)
SIKU YA JUMATANO, 16 APRILI...