Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


KUTOKA MAKTABA: Mwalimu Julius Kambarage Nyerere alipotembelea Ikulu ya White House Marekani mwaka 1963

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

GPL

MWALIMU JULIUS KAMBARAGE NYERERE - BIOGRAPHY

Mwalimu Julius Nyerere in a meeting. Julius Nyerere (R) with Benjamin Mkapa (C) and Joseph Warioba (L). Julius Kambarage Nyerere (April 13, 1922 - October 14, 1999) was…

 

10 years ago

Michuzi

Leo ni siku ya kuzaliwa mwalimu julius kambarage nyerere

Kutoka maktaba: Mwalimu Julius Kambarage Nyerere akiwa na umri wa miaka 20 (wa tatu kulia waliokaa)  na wanafunzi wenzie wakiwa na Mwalimu Mkuu wa Tabora Boys Bw.  E.S Williams, mwaka 1942.  Mwalimu alizaliwa Aprili 13, 1922 na mwaka huu angekuwa na umri wa miaka 93.

 

9 years ago

Dewji Blog

MODEWJIBLOG na Kumbukumbu ya miaka 16 ya tangu kifo cha Mwalimu Julius Kambarage Nyerere!

nyerere

Hayati Baba wa Taifa, Mwalimu Julius Kambarage Nyerere alizaliwa mwaka 1922 katika kijiji cha Butiama, wilaya ya Musoma, mkoa wa Mara, Tanzania (wakati ule: Tanganyika). leo  hii ni miaka 16 tangu atangulie mbele za haki huku taifa na vizazi vyake vikiendelea kumkumbuka na kuenzi utashi na  uongozi wake ulitukuka katika taifa hili la Tanzania.

Mtandao wa Modewjiblog unaungana na Watanzania wote popote pale walipo katika kuombeleza kumbukumbu hii ya Baba wa Taifa, Mwl. Nyerere. Pia tunatumia...

 

10 years ago

Michuzi

6TH ANNUAL JULIUS KAMBARAGE NYERERE COMMEMORATION CAPITOL HEGHTS, MARYLAND

Bwana na Bibi Rick Tingling wakiwashukuru watu kwa kuja kumuenzi Baba wa Taifa Mwalimu Julius Nyerere ambayo hiyo jana siku ya Jumapili Novemba 2, 2014 ilikua ni kumbukumbu ya 6 tangia bwn. Rick Tingling alipoanzisha kumbukumbu za Mwalimu Nyerere mwaka 2009 hapa DMV. Yeye bwn. Tingling ni Mmarekani aliyemjua Mwalimu Nyerere kwa kusoma vitabu vyake na kuanza kumfuatilia na kutambua kwamba Mwalimu Julius Nyerere ni kiongozi asiyekua na mfano na ambaye huwezi kumlinganisha na kionozi yeyeyote...

 

10 years ago

Dewji Blog

6th Annual Julius Kambarage Nyerere Commemoration Capital Heights, Maryland

Wasanii Luci Marphy Mmarekani (kushoto) na Anna Mwalagho kuoka Kenya wakiimba wimbo wa Taifa.

IMG_9036 Bwana na Bibi Rick Tingling wakiwashukuru watu kwa kuja kumuenzi Baba wa Taifa Mwalimu Julius Nyerere ambayo hiyo jana siku ya Jumapili Novemba 2, 2014 ilikua ni kumbukumbu ya 6 tangia bwn. Rick Tingling alipoanzisha kumbukumbu za Mwalimu Nyerere mwaka 2009 hapa DMV. Yeye bwn. Tingling ni Mmarekani aliyemjua Mwalimu Nyerere kwa kusoma vitabu vyake na kuanza kumfuatilia na kutambua kwamba...

 

10 years ago

CloudsFM

Mapokezi ya Victoria Kimani na Waje Jana Uwanja wa Julius Kambarage Nyerere International Airport

Msanii kutoka Kenya ,Victoria Kimani (Kulia) aliwasili jana majira ya saa moja jioni katika uwanja wa Julius Kambarage Nyerere International Airport.

Msanii mwingine wa kimataifa atakayetoa burudani ndani ya Serengeti Fiesta Dar 2014 ni WAJE kutoka Nigeria aliwasili Dar jana tayari kukinukisha pande za Leaders Club katika Serengeti Fiesta Dar Jumamosi hii.

 

11 years ago

Michuzi

kutoka maktaba: Siku michael Jackson alipotembelea Tanzania Februari 1992

Michael Jackson alipoitembelea Tanzania Februari 1992. Alitua uwanja wa ndege wa Dar kwa ndege yake mwenyewe  akiwa amevalia shati la kijani lenye mikono mirefu, suruali nyeusi na kofia nyeusi, akapandishwa kwenye Benzi s iliyompeleka hadi Kilimanjaro Hotel (wakati huo) ambayo baadaye ikawa Kilimanjaro Hotel Kempinsk, ambapo sasa ni  Hyatt Regency Kilimanjaro Dar es Salaam. Mwanamuziki huyo aliyekuwa maarufu zaidi duniani kama Mfalme wa Pop hadi anakufa mwaka 2009, alifika nchini akiwa...

 

11 years ago

Michuzi

Kutoka maktaba: Mzee Ruksa na kamati ya saidia taifa stars ishinde mwaka 1994 na wanahabari Ikulu

Mwaka 1994: Rais Ali Hassan Mwinyi akiwa na wajumbe wa kamati ya Saidia Taifa Stars ishinde Ikulu jijini Dar es salaam baada ya timu hiyo kunyakua ubingwa wa Chalenji. Kutoka kulia mstari wa mbele ni Ankal, Brigedia Moses Nnauye (RiP), Mwenyekiti wa FAT Alhaj Muhidin Ndolanga, Rais Mwinyi, Waziri wa Elimu na Utamaduni Profesa Philemon Sarungi, Mwenyekiti wa kamati hiyo na Mwenyekiti wa makampuni ya IPP Reginald Mengi, Mbunge wa Dodoma Kuwayawaya S. Kuwayawaya na Kamanda Richard Mwaikenda....

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani