Leo ni siku ya kuzaliwa mwalimu julius kambarage nyerere

Kutoka maktaba: Mwalimu Julius Kambarage Nyerere akiwa na umri wa miaka 20 (wa tatu kulia waliokaa) na wanafunzi wenzie wakiwa na Mwalimu Mkuu wa Tabora Boys Bw. E.S Williams, mwaka 1942. Mwalimu alizaliwa Aprili 13, 1922 na mwaka huu angekuwa na umri wa miaka 93.
Michuzi
Habari Zinazoendana
11 years ago
GPLMWALIMU JULIUS KAMBARAGE NYERERE - BIOGRAPHY
10 years ago
Michuzi
10 years ago
Dewji Blog14 Oct
MODEWJIBLOG na Kumbukumbu ya miaka 16 ya tangu kifo cha Mwalimu Julius Kambarage Nyerere!
Hayati Baba wa Taifa, Mwalimu Julius Kambarage Nyerere alizaliwa mwaka 1922 katika kijiji cha Butiama, wilaya ya Musoma, mkoa wa Mara, Tanzania (wakati ule: Tanganyika). leo hii ni miaka 16 tangu atangulie mbele za haki huku taifa na vizazi vyake vikiendelea kumkumbuka na kuenzi utashi na uongozi wake ulitukuka katika taifa hili la Tanzania.
Mtandao wa Modewjiblog unaungana na Watanzania wote popote pale walipo katika kuombeleza kumbukumbu hii ya Baba wa Taifa, Mwl. Nyerere. Pia tunatumia...
10 years ago
Michuzi
11 years ago
Vijimambo14 Oct
10 years ago
Vijimambo14 Oct
LEO NI MIAKA 16 YA KUMBUKUMBU YA KIFO CHA MWALIMU JULIUS NYERERE

By Pius Msekwa
Ni dhahiri kwamba Mwalimu Nyerere anakumbukwa kwa mambo mengi ya msingi aliyoyapa kipaumbele wakati wa uongozi wake. Jambo mojawapo alilisema Julai 29 Julai, 1985, kwamba: “Kazi iliyokuwa muhimu kuliko zote kwangu mimi, ilikuwa ni kujenga Taifa lenye umoja kwa msingi wa heshima na usawa wa binadamu”.
Lakini yapo mambo mengine mengi ya uongozi wake ambayo...
11 years ago
Dewji Blog04 Nov
6th Annual Julius Kambarage Nyerere Commemoration Capital Heights, Maryland
Wasanii Luci Marphy Mmarekani (kushoto) na Anna Mwalagho kuoka Kenya wakiimba wimbo wa Taifa.

11 years ago
Michuzi03 Nov
6TH ANNUAL JULIUS KAMBARAGE NYERERE COMMEMORATION CAPITOL HEGHTS, MARYLAND
11 years ago
CloudsFM16 Oct
Mapokezi ya Victoria Kimani na Waje Jana Uwanja wa Julius Kambarage Nyerere International Airport
Msanii kutoka Kenya ,Victoria Kimani (Kulia) aliwasili jana majira ya saa moja jioni katika uwanja wa Julius Kambarage Nyerere International Airport.
Msanii mwingine wa kimataifa atakayetoa burudani ndani ya Serengeti Fiesta Dar 2014 ni WAJE kutoka Nigeria aliwasili Dar jana tayari kukinukisha pande za Leaders Club katika Serengeti Fiesta Dar Jumamosi hii.