Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


kutoka maktaba: Siku michael Jackson alipotembelea Tanzania Februari 1992

Michael Jackson alipoitembelea Tanzania Februari 1992. Alitua uwanja wa ndege wa Dar kwa ndege yake mwenyewe  akiwa amevalia shati la kijani lenye mikono mirefu, suruali nyeusi na kofia nyeusi, akapandishwa kwenye Benzi s iliyompeleka hadi Kilimanjaro Hotel (wakati huo) ambayo baadaye ikawa Kilimanjaro Hotel Kempinsk, ambapo sasa ni  Hyatt Regency Kilimanjaro Dar es Salaam. Mwanamuziki huyo aliyekuwa maarufu zaidi duniani kama Mfalme wa Pop hadi anakufa mwaka 2009, alifika nchini akiwa...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

GPL

5 years ago

Mirror Online

Michael Jackson 'predicted coronavirus and that's why he wore a facemask'

Michael Jackson 'predicted coronavirus and that's why he wore a facemask'  Mirror OnlineView Full coverage on Google News

 

9 years ago

Michuzi

Zuriel Oduwole - Making A Documentary on Michael Jackson's Story

As the worlds youngest film maker, Zuriel Oduwole has already etched her place in history in the movie making industry and she is learning a thing or two about documentary film making. Last year at age 12, she wrapped up filming and production of her 5th documentary [but the first made for the big screen], which premiered in Lagos at the Civic Center. It debuted in the Film House Cinema, and the Genesis Deluxe Cinema in Lekki, making her the youngest person to ever show their self produced...

 

9 years ago

Bongo5

Chris Brown ana kipaji sawa na Michael Jackson na Tupac wakiunganishwa pamoja — Nick Cannon

Nick Cannon anaamini kuwa Chris Brown ana kipaji ambacho ni sawa na ukiwaunganisha Michael Jackson na Tupac. Kupitia Instagram Cannon alisema: Damn right I said it! The level of talent, passion, and artistic ability that this young man possesses makes @ChrisBrownOfficial a true legend amongst legends. A lot of times we don’t realize or acknowledge […]

 

10 years ago

Vijimambo

MAKAZI YA MICHAEL JACKSON ‘NEVERLAND’ YAINGIA RASMI SOKONI, YAUZWA KWA DOLA MILIONI 100

292899DB00000578-3101512-Everlasting_There_are_still_a_few_small_signs_that_the_property_-a-18_1432854494050Makazi maarufu ya marehemu Michael Jackson, yameingizwa sokoni kwa mara ya kwanza tangu kifo chake.  Nyumba hiyo ipo katika maeneo ya Santa Barbara, California nchini Marekani. Makazi hayo yanauzwa kwa dola milioni 100.292899E700000578-3101512-Not_the_same_Neverland_pictured_2001_now_known_as_Sycamore_Valle-a-25_1432854494339Makazi hayo yanayouzwa na kampuni ya Sotheby’s and Hilton & Hyland iliyolipa deni alilokuwa akidaiwa MJ na kuyachukua, yana ukubwa wa futi za mraba 12,000 na yamo katikati ya maziwa mawili huku nyumba ikiwa na vyumba 8.2928999A00000578-3101512-Mini_town_While_the_amusement_park_has_now_been_removed_there_ar-a-23_1432854494233Na sasa yamebadilishwa jina kutoka Neverland na kuwa...

 

9 years ago

Bongo5

Michael Jackson aongoza orodha ya ‘Forbes World’s top-earning dead celebrity’ kwa dola M 115 mwaka huu

Kwa mujibu wa Forbes, marehemu Michael Jackson ndiye mtu maarufu (waliofariki) aliyeingiza pesa nyingi zaidi mwaka huu duniani, kwa kiasi cha dola milioni 115 ikiwa ni miaka sita toka mfalme huyo wa Pop duniani afariki dunia June 25, 2009. Huu ni mwaka wa tatu mfululizo MJ anatajwa kuongoza orodha hiyo ya Forbes. Mwaka jana aliingiza […]

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani