MAKAZI YA MICHAEL JACKSON ‘NEVERLAND’ YAINGIA RASMI SOKONI, YAUZWA KWA DOLA MILIONI 100
Makazi maarufu ya marehemu Michael Jackson, yameingizwa sokoni kwa mara ya kwanza tangu kifo chake. Nyumba hiyo ipo katika maeneo ya Santa Barbara, California nchini Marekani. Makazi hayo yanauzwa kwa dola milioni 100.
Makazi hayo yanayouzwa na kampuni ya Sotheby’s and Hilton & Hyland iliyolipa deni alilokuwa akidaiwa MJ na kuyachukua, yana ukubwa wa futi za mraba 12,000 na yamo katikati ya maziwa mawili huku nyumba ikiwa na vyumba 8.
Na sasa yamebadilishwa jina kutoka Neverland na kuwa...
Vijimambo
Habari Zinazoendana
10 years ago
Bongo512 Mar
Michael Jordan anaingiza dola milioni 100 kila mwaka, fahamu zinakotoka
9 years ago
Bongo528 Oct
Michael Jackson aongoza orodha ya ‘Forbes World’s top-earning dead celebrity’ kwa dola M 115 mwaka huu
10 years ago
Habarileo29 Sep
Azania kuboresha makazi Manzese kwa milioni 100/
WAKAZI wa Kata ya Manzese mtaa wa Mvuleni iliyopo jijini Dar es Salaam wamepokea zaidi ya Sh milioni 100 kutoka Benki ya Azania kwa ajili ya kuboresha makazi yao duni.
10 years ago
BBCSwahili26 Jan
Nywele ya Lincoln yauzwa kwa dola 25,000
10 years ago
BBCSwahili19 Feb
Sanamu ya paka yauzwa kwa dola 80,000
9 years ago
BBCSwahili11 Oct
Aliyeiba dola Milioni 100 arejeshwa China
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-tIek3Sfwcdc/Xs0SEul2-_I/AAAAAAALrms/Yq5GY4Bq_zMgJwXSs-W_12-7-5jtNgDewCLcBGAsYHQ/s72-c/1.jpg)
KAMPUNI YA BARRICK YAILIPA SERIKALI DOLA MILIONI 100
![](https://1.bp.blogspot.com/-tIek3Sfwcdc/Xs0SEul2-_I/AAAAAAALrms/Yq5GY4Bq_zMgJwXSs-W_12-7-5jtNgDewCLcBGAsYHQ/s640/1.jpg)
Waziri wa Fedha na Mipango Mheshimiwa Dkt. Philip Isdor Mpango (Mb) wa pili kushoto, akipokea hundi kifani ya dola milioni 100 kutoka kwa Mwakilishi Mkazi wa Kampuni ya Barrick Bw. Hilaire Diarra (wa pili kushoto), Jijini Dodoma Tarehe 26 Mei, 2020, ikiwa ni sehemu ya malipo ya dola milioni 300 ambazo Kampuni hiyo ilikubali kuilipa Serikali kumaliza mzozo uliokuwepo kati ya Serikali na Kampuni hiyo hatua iliyosababisha pia kuanzishwa kwa Kampuni ya Ubia ya Madini ya Twiga kati ya Serikali na...
10 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-D8__OxMGLLo/VCjk6izGNqI/AAAAAAACrw0/YoL_6NSXlFA/s72-c/tafsus%2Bpix%2B1.jpg)
Benki ya Azania, TAFSUS yakabidhi shilingi milioni 100 kuboresha makazi Manzese
![](http://1.bp.blogspot.com/-D8__OxMGLLo/VCjk6izGNqI/AAAAAAACrw0/YoL_6NSXlFA/s1600/tafsus%2Bpix%2B1.jpg)
![](http://4.bp.blogspot.com/-3poS_ZAMwGA/VCjk6wWji-I/AAAAAAACrw4/M3klPMJpS5M/s1600/tafsus%2Bpix%2B2.jpg)